Ndio ilitakiwa umwambie sasa,,kwani we binti ukisikia mtu anaenda kutafuta maisha sehemu ni kwamba anaenda kuishi huko??anaenda kuangalia kuna fursa ganiHivi kweli kwa akili zako unaweza kwenda kutafutia maisha Comoro au ndo mshadanganywa maisha popote
Awamu hii vichaa mnapewa shavu kila mahali nasikia mmenunua mpaka tochi za kusakia maishaNdio ilitakiwa umwambie sasa,,kwani we binti ukisikia mtu anaenda kutafuta maisha sehemu ni kwamba anaenda kuishi huko??anaenda kuangalia kuna fursa gani
Ubinafsi huu, kwa nini usitowe hapa kwa faida ya wengi?Nitafute, nitakupa vionjo vya Comoro
Hata watoto wa hiyo Day Care Centre yake hawako salamaMwalimu wa Madras a unaomba papuchi. Be serious brother acha utoto
Siwezi kukushangaa Sufi (mfuasi wa Bakwata) kuwa mzinifu, maana hilo la USUFI ni kubwa mno kuliko yote utakayoyafanya.Kingereza nikijuacho mm ni kile cha kuombea papuch tu yaani ile I love u,I miss u na n.k.
Dini yangu mwanamke kapewa heshma kubwa sana. Mwanamke kapewa Daraja tatu lkn mwanaume daraja moja tu.
Pia Tumefundishwa,pepo ipo chini ya nyayo za kinamama. Kiukweli ukimuudhi mama ukafa haliyakuwa haujapatana nae au yy amekufa haliyakuwa hana radhi na ww,ndugu yangu ww pepo hata harufu yake hutoisikia yaani hata kama ulikuwa unaswali sana had ukatoka sijuda kama pipa la pombe

Muasherati huyu,Siwezi kukushangaa Sufi (mfuasi wa Bakwata) kuwa mzinifu, maana hilo la USUFI ni kubwa mno kuliko yote utakayoyafanya.
Kujitangaza kabisa wewe mwalimu wa madrasa lakin mzinifu. Je hao watoto unaowafundisha wanasalimika kiasi gani?
ALLAH akuongoe,na kama hatakuongoza akuondoe maana utafanya uharibifu zaidi.
๐๐๐ Acha tu bebeUnasafiri babe hatarii๐
Siwezi kukushangaa Sufi (mfuasi wa Bakwata) kuwa mzinifu, maana hilo la USUFI ni kubwa mno kuliko yote utakayoyafanya.
Kujitangaza kabisa wewe mwalimu wa madrasa lakin mzinifu. Je hao watoto unaowafundisha wanasalimika kiasi gani?
ALLAH akuongoe,na kama hatakuongoza akuondoe maana utafanya uharibifu zaidi.
Muasherati huyu,
Kama unaona ubahili kutumia akili yako mkuu basi azima hata za kuku wako ili usitie aibu siku nyingine. Wapi nimekiri mm ni mzinifu?Akili yako ipo salama kweli?
Unasema wanawake wamepewa daraja ya kubwa huku ukikiri wewe umzinifu!!
Shame on you!
Wahabi katika ubora wako. Kumbe ndomaana mnapotosha maandiko ya Quran kama umeshindwa kuelewa nilichoandika ukaamuwa kutafsir vile inavyotaka akili yako mbovu utashindWaje kupotosha maandiko?
Nikisema najua namna wanawake wanavyojifunguwa utanihukumu na mm najifungua kama mwanamke? Hovyo kabisa asee