Maisha hayatabiriki dunia sio yetu

Maisha hayatabiriki dunia sio yetu

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
330
Reaction score
1,244
Diogo Jota amefariki wakati ambao alikuwa anaendesha gari kuelekea Kaskazini mwa Hispania kwenye Mji wa Santander akiwa na Mdogo wake Adrian, ambapo wangefika Mji huo wangevuka kupitia Ferry (kivuko) mpaka upande wa pili kisha waendelee kuendesha kuelekea England ( Uingereza) kwa barabara ili aripoti kambini kwa ajili ya Pre Season ambayo inaanza Julai 8.

Jota (28) alilazimika kusafiri kwa barabara kwasababu alitoka kufanyiwa Upasuaji wa mapafu ambapo Madaktari walishauri asitumie Ndege kwa muda hivyo ndio sababu imemlazimu aendeshe gari ambapo ndipo akapata ajali kupelekea mauti yake. ⚽💔🕊️

Kifo hakiepukiki wala hakikwepeki

R.I.P Jota
1000103042.jpg
MA
 
Mzee wangu alivojiona hawezi tena gari anatumia wanawe tu yy mwenyewe anakiri kua kwa hali ya sasa asingeweza kuendesha gari barabarani madereva wengi fujo tuuu mahoni kila wakati
Kuna level ya maisha ukifikia don't drive your own car. Ajiri a professional driver
 
Kuna muda ukitafakari sana haya maisha unaona kabisa hakukuwa na sababu yoyote ya wewe kuzaliwa🥹 sababu dunia imejaa maumivu makubwa mno
 
Back
Top Bottom