Nimeshaachana na wasichana wawili pisi kweli kweli kwasababu ya pesa
YAan inafika wakat unaona mtoto wa watu kuna vitu anavikosa kwasababu ya kuwa na mimi,unaamua kumruhusu akatafute machungio mengine huko kwa wenye nazo,ingawaje huwa ni kama hawatak kuondoka