Maisha halisi ya Burundi

Maisha halisi ya Burundi

Mbona unashangaa? Wenyeji wa Burundi ni wale wale wa Rwanda yaani ni hao hao Watsi na Wahutu. Kutokana na fujo zao za mika nenda rudi hawapendi na sisi hatupendi kuwaita kwa makabila yao. Bali wanaitwa Wanyerwanda kwa wale wa Rwanda au Warundi kwa wale wa Burundi Lakini ni makabila hayo hayo ya Watsi, Wahutu na Watwaa. Ni wazuri wa sura hasa Watsi.
Kwenda huko!! Warundi wana sura Kubwa na mbaya! Wachafu! Primitive flani! Hayo makabila kweli yako pande zote lakini Mtutsi wa Burundi ni wa Burundi! Mhutu vile vile! Ukiniwekea mtutsi wa Rwanda na wa Burundi mahali pamoja I can tell who's Rwandese and who's Rundi!!
 
Kwenda huko!! Warundi wana sura Kubwa na mbaya! Wachafu! Primitive flani! Hayo makabila kweli yako pande zote lakini Mtutsi wa Burundi ni wa Burundi! Mhutu vile vile! Ukiniwekea mtutsi wa Rwanda na wa Burundi mahali pamoja I can tell who's Rwandese and who's Rundi!!

Wewe siyo mtu wa kwanza kusema Warundi ni wachafu. Sijui asili ya uchafu wao. Labda shule zilichelewa kufika huko Burundi. But usafi wa nje has nothing to do with morphology. Tutsi ni wazuri kwa maumbile yao siyo usafu wa sabuni. They are tall enough, tall neck with long noises.
 
kuna fursa gani huko za kibiashara tufanye mkuu
Mkuu fursa zipo nyingi ila tatizo ni machafuko ya kisiasa. Mimi naishi huku kigoma na mwendo wa burudi nikama nauri ya elfu 5000, na mfano wa fursa za biashara kutoka burudi kuja Tz. Unaweza nunua sabuni za burundi katoni inauza 2000/= na ukifanikiwa kuifikisha Tanzania inauzwa kwa bei ya 11000.
Fursa ya pili ni vitenge vya burundi moja ni imara kutokana na viwanda vyao asilimia nyingi wanatumia magome ya miti maka low matirial ya nguo.
Furusa ya biashara kutoka Tz kwenda burundi. Ukiwa na mahindi ukaenda kuuza burundi faida itaipata mara mbili. Vipo vitu vingi ukitaka niambie nikuelezee kwa upana zaidi but pia kuna changamoto zake
 
Back
Top Bottom