aisee, hii avatar yako mbona inaniamshia dude dadaangu!Ni weusi na wachafu warundi
Mbona unashangaa? Wenyeji wa Burundi ni wale wale wa Rwanda yaani ni hao hao Watsi na Wahutu. Kutokana na fujo zao za mika nenda rudi hawapendi na sisi hatupendi kuwaita kwa makabila yao. Bali wanaitwa Wanyerwanda kwa wale wa Rwanda au Warundi kwa wale wa Burundi Lakini ni makabila hayo hayo ya Watsi, Wahutu na Watwaa. Ni wazuri wa sura hasa Watsi.Warundi???
Pichawanawake wa kirundi ni warembo sana
Kwani ni vibaya kua mweusi?Ni weusi na wachafu warundi
pale mtukania mtu mamayake unatafta kifo
kumiliki silaha zaidi ya moja ni kesi, yaani bora uwe nayo moja zingine rudisha hamna kesi, ila wakija wao kuzichukua ujue unalo
polisi au wanajeshi kuwakuta bar mida ya kazi na mikwasa ni kawaida,
ukikamatwa town huna kitambulisho unapelekwa boda la congo uvira hata kama wewe ulijitambulisha ni m bongo
watutsi wanajiona wako juu, kuliko wahutu
wafanyakazi wa ndani ni wanaume
ukijiamini saana unafuatiliwa kwa muda wote utaoishi nchi ile
wengi hula milo miwili kwa siku
ni rahisi kwenda nchi za nje, na wana[okelewa hasa, Canada, Australia, Sweden, Finland, norway, Belgium na France, katika kila familia lazma wapo member wako nje ya nchi
jumamosi ni siku ya usafi
ukimkuta muislam ni muislam kweli, na ukimkuta mkristo ni mkristo kweli, wanashika dini vilivyo, na ukimkuta asie na dini ndio hivyo hivyo humuelezi kitu
wanapenda sana sombe na maharage ya mawese, mikeke, u rohe na michopo
wana hasira sana hawa jamaa
ukiwa mgeni ni lazma utajulikana tuu, hasa mitaa ya watutsi wengi, kama kinindo, kibenga, kiriri, ila ukijichanganya uswazi bwiza na buyenzi ni kama upo bongo tuu tofauti ni zile sare za bluu na mikwasa yenye magazine zidi ya sita.
yapo mengi tu mazuri kuhusu burundi...nimeweza kumbuka machache, ila la zaidi ni kutunuku, hawana noma wabongo wanatuelewa mno...shida yetu huwa chapa ilale
umenena kabisa naifahamu burundi sana, muyinga, kayanza, ngozi, borabora beach, clubs zao pake ktkt ya mji nimetimba sana.
Uzuri jamaa wanatuelewa sn wabongo asa wadada
Wahudumu wa bars/hotels ni wanaume
Wanafunzi wa sekondari wanavyovaa utadhani ni wahudumu wa bar
Mitaa ya bwiza ina wabongo weng sn, nimekula sana michopoo ila ule ugali wa baridi nilidhindwa.
Mkuu umetembea sana
Mishia=Mishiha. panaitwa Commune Mishiha. MARA YA MWISHO KUPITA HUKO ILIKUWA 1993, NIKITOKEA BUJUMBURA KUJA MWANZA, THEN TOOK FLIGHT TO DAR...MAISHA YALIKUWA MATAMU THOSE DAYS..Nishakunywa sana Primus pale Mishia District.
Dah siku nyingi sana ulikuwepo kule..Mimi nilikuwa 2014-2015 bado Burundi ni nzuri kwa hali ya hewa na rutuba. Wangetulia wangekuwa mbali sana.Mishia=Mishiha. panaitwa Commune Mishiha. MARA YA MWISHO KUPITA HUKO ILIKUWA 1993, NIKITOKEA BUJUMBURA KUJA MWANZA, THEN TOOK FLIGHT TO DAR...MAISHA YALIKUWA MATAMU THOSE DAYS..
Mademu wa kinyaki wanakujaje hapa hakuna demu mbaya ni maisha tu yanamfanya hivyo akiwa na good life anang'aaMademu Wakirundi hawana tofauti na mademu wakinyakiyusa, hamna wazuri kule