kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 4,296
- 8,294
Jinsi Ulivyodadavua inaonekana Wazi Mzazi Wako au Ndugu yako Wa Karibu Akifariki ,Faster Unakata Tiketi ya Go and Return Kwenda Kumzika...!Unajua maana ya mbeba box? Huku you are factory worker, au tunafanya Warehouse,ndugu yangu singangi njaa! Nina health insurance,life insurance Nina saving ya Uzeeni 401K nina Social Security, nina magari, Nina nyumba worthy $350000,Mimi na mke hata tukijirusha net saving$ 1500-2000, utasema naganga njaa.Hii ni miaka kumi niliyokaa US.Naomba niulize ni Watanzania wangapi kila mwezi ana saving hiyo? Najua wapo,lakini mimi mtu wa kawaida US, niambie Mtanzania wa kawaida kabisa anaweza kuwa na maisha hayo! Maisha ni kupanga jamaa yangu.
Sasa Jiulize Wangapi Wana Uwezo huo...!.