Mzee Mapenzi
Senior Member
- Jan 9, 2019
- 122
- 439
Yani bado tena umekosea kuandika na hapo hapo unajitapa una elimu kubwa. Aisee!!Mzee mimi ni human being typing error ni vitu vya kawaida sana katika uandishi na laiti ungejua kiwango cha elimu yangu kwakweli husingekuwa unakosoa watu ovyo jifunze kunyamaza kwa vitu visivyo na faida na badala yake concentrate kwenye mada husika
Mwalimu wako anapaswa kupunguziwa mshahara mana kakufundisha mambo ya hakili badala ya akili
