Write your reply...watatu unaangaika wengine tunao saba Leo dp whatsap tunamuweka huyu huku wengine tunawahide kweny status view nkitoka na demu moja mtaani navaa kapelo na nguo ambayo hawajawah niona nayo cha msingi wasigongane ghetto
dah naisha Sana kwa mashaka yaani chumba changu nakiona uchungu kukaa
Huyo mwanamke anaemganda mwanaume anaeandika hakiri, sipati picha ni mwanamke wa aina gani


Usipende kupeleka mademu zako gheto kwako. Kwako mpeleke mchumba wako tu, wanawake sio watu wazuri watakulia timing wakugeuze ndondocha bule.Write your reply...watatu unaangaika wengine tunao saba Leo dp whatsap tunamuweka huyu huku wengine tunawahide kweny status view nkitoka na demu moja mtaani navaa kapelo na nguo ambayo hawajawah niona nayo cha msingi wasigongane ghetto
dah naisha Sana kwa mashaka yaani chumba changu nakiona uchungu kukaa
Tayari mkuu
kajina kako, (KAPEPO) kana sadifu tabia yako!Naombeni msaada wakuu , nimekuwa na walaghai sana mabinti wawatu hadi kupagawa nakunitambulisha kwao wakizani nitakuja kuwaoa lakini hakiri yangu haipo huko , nimekuwa nikiwaonea sana huruma kwani wengine ujikuta wanajishugurisha sana katika mapenzi kwa namna moja ama nyingine wakizani nitawaoa natamani niwaambie tu ukweli lakini naona huruma sana jinsi ya kuwaacha kwani nimewapotezea sana muda wao naombeni ushauri nini nifanye kuepuka kugandwa hivi na hawa wapenzi wangu, nataka niwapunguze angalau nibaki na mmoja lakini wote wanaonesha kunipenda na kuniapia kutoniacha sijui nifanyeje mie
Funga nao ndoa wote watanoWatano tu mkuu
♂️Kwa hiyo waona mi nimekosea? Si wewe ndo umeandika "Hakili" au umesahau hata ulichokiandika? Kweli wewe unahakili aisee ila ungekuwa na akili basi ungerejea kuedit ulichoandika.Akiri? Hakiri? Akili? Wewe ndio umenikosoa mimi mwandiko![]()
Naye hana hakiriHuyo mwanamke anaemganda mwanaume anaeandika hakiri, sipati picha ni mwanamke wa aina gani
Kwa hiyo waona mi nimekosea? Si wewe ndo umeandika "Hakili" au umesahau hata ulichokiandika? Kweli wewe unahakili aisee ila ungekuwa na akili basi ungerejea kuedit ulichoandika.
Endelea na hakili zako