Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,078
- 1,227
Naombeni msaada wakuu,
Nimekuwa na walaghai sana mabinti wa watu hadi kupagawa na kunitambulisha kwao wakidhani nitakuja kuwaoa lakini akili yangu haipo huko , nimekuwa nikiwaonea sana huruma kwani wengine hujikuta wanajishugulisha sana katika mapenzi kwa namna moja ama nyingine wakidhani nitawaoa.
Natamani niwaambie tu ukweli lakini naona huruma sana jinsi ya kuwaacha kwani nimewapotezea sana muda wao.
Naombeni ushauri nini nifanye kuepuka kugandwa hivi na hawa wapenzi wangu. Nataka niwapunguze angalau nibaki na mmoja lakini wote wanaonesha kunipenda na kuniapia kutoniacha sijui nifanyeje mie.