Nilipata zali la kwenda kwa Trump, tulikwenda club ndani ni all ages. Unamkuta babu wa 80+ anayarudi hapa na beer yake, pembeni kuna wa 30+ na mpenzi wake wanayarudi
Nilielewa maisha ya Le Mutuz siku ile.
Ni kweli , umenikumbusha mbali sana mara ya kwanza kufika US mwaka 2000 tulienda club na mwenyeji wangu ikapigwa 'Back That Thang Up' ya Juvenile. Kuna mzee kwa muonekano umri ni zaidi ya miaka 60 alienda nayo hiyo ngoma hadi chini akakamata floor du.. nikawa natoa macho tu wenyeji wanaona kawaida.