Nyimbo za Aslay ndo zimetawala kwenye bar nyingi kwa sasaNi kero mkuu, niko bar moja time hii, yaani nyimbo ni za aslay , wasafi, bongo flava. Its too boring, tunatamani genres nyingine, ila madj wengi ni 'washamba'
Sure, ila bar zingine inakua ni kero. Huwezi sikiliza 2 hrs nyimbo za mtu mmojaNyimbo za Aslay ndo zinatawala kwenye bar nyingi kwa sasa
Nipo kwenye grocery 1 sahivi ni mwendo wa Aslay kwenda mbele, full playlist kuanzia ule Mama hadi huu mpya 'Raha'Sure, ila bar zingine inakua ni kero. Huwezi sikiliza 2 hrs nyimbo za mtu mmoja
, ila dogo anangoma kali wacha tuenjoyCompletely sure, jamaa ana kipaji na ana kua kucheza na haraiki iliyopo. nimecheza Disco lake toka Morogoro hotel (Shimoni), Mambo Club, Billz, Synegy Lounge, Isumba Lounge, Kilimanjaro Hyatt Lounge na sasa Club The Legends. Wazee John Dillinga Matilou is Talented Tuache utani!!
!
Sogea Club Legend Kwa Mkongwe Dj Jd
kudadeki
Hahahhhh Kasie "when two senior bachelors mingle"
Aiseee, daaah! Umetisha.
Queen Latifah na Common?
Heee.......Chineke!!!
Bukoba, Liquid ama The Mint?
Unabambiwa
Completely sure, jamaa ana kipaji na ana kua kucheza na haraiki iliyopo. nimecheza Disco lake toka Morogoro hotel (Shimoni), Mambo Club, Billz, Synegy Lounge, Isumba Lounge, Kilimanjaro Hyatt Lounge na sasa Club The Legends. Wazee John Dillinga Matilou is Talented Tuache utani!
pia unapenda kuchezewa pale katikati ya miguu minene bila shaka...maana club mafisi ni mrngi na huchomoki hata ma nje umepake range. bishaUko sawia kabisa.....
Kuna club moja nilienda bukoba, hadi saa saba usiku anapiga nyimbo ambazo hata hazieleweki..... nikachukia nikatoka kwenda zangu kulala japo nilikuwa na mzuka wa kubambiwa ile mbaya.
Ila kuna club nilienda mwanza ile iko underground juu kuna hotel, nilicheza mziki mwanzo mwisho, niliingia pale saa 4 usiku hakuna hata watu nikaondoka club saa 10 alfajir na hapo niliacha watu bado wanayarudi hehehehehee.
Napenda sana kucheza mziki, unachokisema nakuelewa vizuri, nafikiri baadhi ya wamiliki wanamwambia DJ afanye hivo ili wauze vinywaji, kumbe hawajui mtu ukicheka sana unasikia kiu utanunua tuu vinywaji vingi kuliko ukikaa bila kucheza.
Muziki wa Disco haujawahi kumuacha mtu salama.Bilz ilinoga sana😀😀Completely sure, jamaa ana kipaji na ana kua kucheza na haraiki iliyopo. nimecheza Disco lake toka Morogoro hotel (Shimoni), Mambo Club, Billz, Synegy Lounge, Isumba Lounge, Kilimanjaro Hyatt Lounge na sasa Club The Legends. Wazee John Dillinga Matilou is Talented Tuache utani!
"Wengine club kila mwisho wa wiki ,haina maana huwa nafata tu mziki....."Club huwa nafuata kimoja tu na SIO MUZIKI....
Ngwair aka Mimiwengine club ni kudance mwanzo,,,,,vinywaji vipo daily....ila dance umejipangia kila mwisho wa wiki....DJ mzuri anabandika bandua nyimbo zinazo heat na anachanganya bolingo reggae muffin rnb hip hop za ki Nigeria bongo fleva na zote zinazochezeka.
Music is an art kama DJ sio artist.... atakuwa anamkosesha mapato mwenye club kwa tamaa ya kuuza vinywaji.
Club watu wamefata mziki, vinywaji wanakunywa kukidhi kiu inayokuja baada ya kucheza. Hawaelewi tuu.
pia unapenda kuchezewa pale katikati ya miguu minene bila shaka...maana club mafisi ni mrngi na huchomoki hata ma nje umepake range. bisha
wengine club ni kudance mwanzo,,,,,vinywaji vipo daily....ila dance umejipangia kila mwisho wa wiki....
Bukoba panaboa sehemu iliyobamba ni moja tu panaitwa SkyHata sikumbuki inaitwaje hiyo club ilikuwa miaka 5 iliyopita. Iko opposite na hotel moja nje ina sanamu kubwa la sato. Bukoba mjini.