Maisha club na utoto

Maisha club na utoto

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,548
Reaction score
11,517
Sisi wengine ni wapenzi wa Mziki japo mara moja au mbili kwa juma. Zamani nilikuwa naenda club/bar kuanzia Ijumaa lakini sasa nimepunguza sana. Pengine mara moja au mbili kwa wiki. Na kwa hakika kinachonipeleka ni Muziki.

Jambo la ajabu au kijinga ukifuatilia, hakuna mpangilio wa Mziki. Ni kama Dj anaamua nyimbo zinazomfurahisha tu!!! Kuna nyakati zaidi ya dk 20 unaona wateja hawajachangamka!!!

U-Dj ni kazi kabisa, si usharobaro wa kijinga. Read your customer needs then respond reciprocal!
 
Uko sawia kabisa.....

Kuna club moja nilienda bukoba, hadi saa saba usiku anapiga nyimbo ambazo hata hazieleweki..... nikachukia nikatoka kwenda zangu kulala japo nilikuwa na mzuka wa kubambiwa ile mbaya.

Ila kuna club nilienda mwanza ile iko underground juu kuna hotel, nilicheza mziki mwanzo mwisho, niliingia pale saa 4 usiku hakuna hata watu nikaondoka club saa 10 alfajir na hapo niliacha watu bado wanayarudi hehehehehee.

Napenda sana kucheza mziki, unachokisema nakuelewa vizuri, nafikiri baadhi ya wamiliki wanamwambia DJ afanye hivo ili wauze vinywaji, kumbe hawajui mtu ukicheka sana unasikia kiu utanunua tuu vinywaji vingi kuliko ukikaa bila kucheza.
 
Umeona na wewe!!
Djs wanafikiri ukishakuwa pale ni kubonyabonya vimitambo vyao. Hawajui wako pale kuwafurahisha wateja wao.
 
DJ mzuri anabandika bandua nyimbo zinazo heat na anachanganya bolingo reggae muffin rnb hip hop za ki Nigeria bongo fleva na zote zinazochezeka.

Music is an art kama DJ sio artist.... atakuwa anamkosesha mapato mwenye club kwa tamaa ya kuuza vinywaji.

Club watu wamefata mziki, vinywaji wanakunywa kukidhi kiu inayokuja baada ya kucheza. Hawaelewi tuu.
 
Sometimes wanafikiri tunafuata vinywaji wakati tunaweza kuvipata mtaani!

Ila bana kuna Dj Tripple 7 Mikocheni Dar anajua kazi yake! Wachache wa aina yake.

Cc Mzigua90
 
Ooh ok, sijawahi kaa pale usiku. Nilipita kama mara 2 hivi mida ya mchana na penyewe sikukaa sana. Nilikuwa namsabahi mtu na kuendelea na safari yangu.

Watching JUST WRIGHT.... when two senior bachelors mingle.....
 
Uko sawia kabisa.....

Kuna club moja nilienda bukoba, hadi saa saba usiku anapiga nyimbo ambazo hata hazieleweki..... nikachukia nikatoka kwenda zangu kulala japo nilikuwa na mzuka wa kubambiwa ile mbaya.

Ila kuna club nilienda mwanza ile iko underground juu kuna hotel, nilicheza mziki mwanzo mwisho, niliingia pale saa 4 usiku hakuna hata watu nikaondoka club saa 10 alfajir na hapo niliacha watu bado wanayarudi hehehehehee.

Napenda sana kucheza mziki, unachokisema nakuelewa vizuri, nafikiri baadhi ya wamiliki wanamwambia DJ afanye hivo ili wauze vinywaji, kumbe hawajui mtu ukicheka sana unasikia kiu utanunua tuu vinywaji vingi kuliko ukikaa bila kucheza.
kudadeki
 
Hahahhhh Kasie "when two senior bachelors mingle"
 
Aiseee, daaah! Umetisha.
 
Ooh ok, sijawahi kaa pale usiku. Nilipita kama mara 2 hivi mida ya mchana na penyewe sikukaa sana. Nilikuwa namsabahi mtu na kuendelea na safari yangu.

Watching JUST WRIGHT.... when two senior bachelors mingle.....
Queen Latifah na Common?
 
Uko sawia kabisa.....

Kuna club moja nilienda bukoba, hadi saa saba usiku anapiga nyimbo ambazo hata hazieleweki..... nikachukia nikatoka kwenda zangu kulala japo nilikuwa na mzuka wa kubambiwa ile mbaya.

Ila kuna club nilienda mwanza ile iko underground juu kuna hotel, nilicheza mziki mwanzo mwisho, niliingia pale saa 4 usiku hakuna hata watu nikaondoka club saa 10 alfajir na hapo niliacha watu bado wanayarudi hehehehehee.

Napenda sana kucheza mziki, unachokisema nakuelewa vizuri, nafikiri baadhi ya wamiliki wanamwambia DJ afanye hivo ili wauze vinywaji, kumbe hawajui mtu ukicheka sana unasikia kiu utanunua tuu vinywaji vingi kuliko ukikaa bila kucheza.
Heee.......Chineke!!!
 
Sisi wengine ni wapenzi wa Mziki japo mara moja au mbili kwa juma. Zamani nilikuwa naenda club/bar kuanzia Ijumaa lakini sasa nimepunguza sana. Pengine mara moja au mbili kwa wiki. Na kwa hakika kinachonipeleka ni Muziki.

Jambo la ajabu au kijinga ukifuatilia, hakuna mpangilio wa Mziki. Ni kama Dj anaamua nyimbo zinazomfurahisha tu!!! Kuna nyakati zaidi ya dk 20 unaona wateja hawajachangamka!!!

U-Dj ni kazi kabisa, si usharobaro wa kijinga. Read your customer needs then respond reciprocal!

!
!
Sogea Club Legend Kwa Mkongwe Dj Jd
 
Back
Top Bottom