kichwa nazi, ndani hewa na majiWengine hua mnasoma biblia gani, biblia inasema mtu asimwache mkewe ila kwa iasherati kama umepewa talaka yako uko free kuolewa na ndoa nyingine na Ata ukisoma agano LA kale talaka ilikuwepo tu, je ni wangap wamefunga ndoa Za pill Tena wachungaji walioshindwa ndoa zao au ni wakristu wa ngap wanandoa Za pill Za kanisani, na aliyesema Za waroma had Pope aamue Talaka huyo muongo, ndoa zilizoshindikana kwa Roma maaskofu wanajadili wakishindwa wanawapeleka mahakaman mahakama ndio itatoa uamuz wa ndoa hiyo nakuangalia sheria Za ndoa xinasemaje kama huyo Dada mahakama ilitoa talaka kwake kuolewa ruksa ila awe makin asije Pata pasua kichwa kama huyo aliyeachana nae
sababu ambayo inaweza kupelekea Baba Mtakatifu, kuivunja sacrament ya ndoa;-Inategemea ni ndoa ya kanisa gani, ndoa za kikatoliki ni mpaka kifo kiwatenganishe, inaweza kuvunjwa na Pope kama kuna sababu maalum (nimezisahau). Mkiachana kinyume na hayo, ndoa ya bomani inahusu.
uzi unakosa ukakasi kwakuwa ujatanabaisha ni ndoa ya dhehebu gani, coz ndoa pia jambo la kiimani zaidi, kwa waislamu ni tofauti na madhhebu mengine, na kwa ss wakatoliki ndio tofauti kabisa, hakunaga neno TALAKA, ndio maana tunaimizwa kusoma na kuudhuria seminer za ndoa kwa kadir ya uwezo wako, utakiwi kukurupukaHabari,
Naomba kwa wenye uelewa mpana hasa kwa wakristo kuhusu MTU aliyepeana talaka na mumewe Je, anawezekana kuolewa tena kwa ndoa ya kanisani kama ilivyokuwa awali?
Ukizingatia MTU hiyo umri bado MDOGO huko Kwenye 20s tumsaidiaje MTU huyu ili asiangukie kwenye uzinzi?
Wakristo nisaidieni Tafadhali.
Umefafanua vizuri kama mleta uzi ni mkatoliki, aangalie kama talaka yake moja ya chanzo ni hayo uliyoeleza.sababu ambayo inaweza kupelekea Baba Mtakatifu, kuivunja sacrament ya ndoa;-
1. ni pale kama kuna moja kati ya wanandoa alimuongopea mwenzake, mfno labda alikuwa kaisha funga ndoa nyingne na kanisa lingne, ila kubwa zaidi ni pale mmoja kubainika kuwa na matatizo ya akili ila alimficha mwenzake
2.moja kati ya wanandoa anamatatzo ya kibiolojia, ether asimamishi lkn alimficha mwenzake n.k. ila hii ya pili sio sabbu kubwa sana...
namaliza kwa kusema, ndoa ieheshimiwe na watu wote, kwani kulingana na mafundisho ya kanisa takatifu katoliki, Adui mkuu wa kwanza wa ndoa ni wanandoa wenyewe wala si wengne...
Inategemea ni ndoa ya kanisa gani, ndoa za kikatoliki ni mpaka kifo kiwatenganishe, inaweza kuvunjwa na Pope kama kuna sababu maalum (nimezisahau). Mkiachana kinyume na hayo, ndoa ya bomani inahusu.
unasoma maandishi kwa 3D au HD[emoji121]
HILI NI TANGAZO LA KIAINA,
INGAWA LIMEKOSA PICHA.
Asante. Binti mwenyewe anasali kabisa la walokole na bado yuko kanisani anasali. Ila mchungaji kamwambia akiolewa tu anatengwa kanisani, ndo hapo anawaza na umri MDOGO huo asipoolewa so ndo anaruhisu kuwa mzinzi na muasherati.?Ndoa, hapa sizungumzii ya kanisa fulani ila kwa mujibu wa Biblia, talaka ipo ila kama chanzo cha ugomvi ni uasherati........ Though Mungu anachukia kuachana na hajapanga ndoa iharibiwe.
Soma Mathayo 5:31-32.
Na baada ya kuachana kwa talaka. Waweza oa/olewa......
Lakini, ktk ukristo, kila kanisa lina utaratibu wake,
Chanzo cha kuachana n nn?Asante. Binti mwenyewe anasali kabisa la walokole na bado yuko kanisani anasali. Ila mchungaji kamwambia akiolewa tu anatengwa kanisani, ndo hapo anawaza na umri MDOGO huo asipoolewa so ndo anaruhisu kuwa mzinzi na muasherati.?
Ni mlokoleuzi unakosa ukakasi kwakuwa ujatanabaisha ni ndoa ya dhehebu gani, coz ndoa pia jambo la kiimani zaidi, kwa waislamu ni tofauti na madhhebu mengine, na kwa ss wakatoliki ndio tofauti kabisa, hakunaga neno TALAKA, ndio maana tunaimizwa kusoma na kuudhuria seminer za ndoa kwa kadir ya uwezo wako, utakiwi kukurupuka
Asante Mssinyor Mbiku, Paroko wa chuo kikuu cha DSM kunipa ujasiri wa kuingia kwenye sacrament ya ndoa hapo badae
Kupigwa sana kuhatarisha maisha yake.kuna kipindi alipigwa hadi kupoteza fahamu Siku tatuChanzo cha kuachana n nn?
Mfalme selemani alioa wake wangap, huyo Ibrahim baba wa Imani alizaa had na kijakaz wake, hivyo hivyo acheni kukomalia ndoa had kifo ndio mana Ata bada yesu Kuja alisema mtu asimwache mkewe ila kwa uasherati hivyo hapo katika Hilo hapo hakuna ndoa na mengineo, hayo ni mawazo yangu tu
Si arudi kwenye makanisa mengine? Mbona kazi rahisi tu? Well, in my opinion though.Asante. Binti mwenyewe anasali kabisa la walokole na bado yuko kanisani anasali. Ila mchungaji kamwambia akiolewa tu anatengwa kanisani, ndo hapo anawaza na umri MDOGO huo asipoolewa so ndo anaruhisu kuwa mzinzi na muasherati.?
uzi unakosa ukakasi kwakuwa ujatanabaisha ni ndoa ya dhehebu gani, coz ndoa pia jambo la kiimani zaidi, kwa waislamu ni tofauti na madhhebu mengine, na kwa ss wakatoliki ndio tofauti kabisa, hakunaga neno TALAKA, ndio maana tunaimizwa kusoma na kuudhuria seminer za ndoa kwa kadir ya uwezo wako, utakiwi kukurupuka
Asante Mssinyor Mbiku, Paroko wa chuo kikuu cha DSM kunipa ujasiri wa kuingia kwenye sacrament ya ndoa hapo badae
Nashangaa watu wanasema hakuna kuachana, lakini ukweli upo kwenye biblia na sababu za msingi za kuachana kwenu zipo.Ndoa, hapa sizungumzii ya kanisa fulani ila kwa mujibu wa Biblia, talaka ipo ila kama chanzo cha ugomvi ni uasherati........ Though Mungu anachukia kuachana na hajapanga ndoa iharibiwe.
Soma Mathayo 5:31-32.
Na baada ya kuachana kwa talaka. Waweza oa/olewa......
Lakini, ktk ukristo, kila kanisa lina utaratibu wake,
Kwa hiyo bilblia iliposema ni sawa kumwacha mwenzio kwa uasherati inapingana na kauli ya kiapo mpaka kifo?Zinatenguliwa kidunia ila ulimwengu wa roho inakua palepale ndo mana MTU akianza kuachika ndoa moja na nyingine hivi hivi, maagano hata ukienda mahakamani huwatesa wengi mno tena kiapo MTU anachosema Mpaka kifo kiwatenganishe nalilofungwa duniani ni mpaka mbinguni.
Kosa la kuachana ni moja tu "uaesharati" kadiri ya maandiko ya Biblia.. Na neno hili UASHERATI kibiblia Lina maana na uhusiano wa kimapenzi ya wanandugu.. Yaani mtapogundua Kuwa ndoa yenu imebainika Kuwa mlioana wana ndugu ambao hamkufahamiana kabla ya ndoa yenu, hivyo mtapobaini Kuwa nyie ni ndugu mkiwa kwenye ndoa yenu, basi ndipo ndoa hiyo itavunjwa kwa kupeana talaka... Na sio jambo lingine..... Sasa ndg yangu, leo hii ni rahisi kutokea jambo hilo?Ndoa, hapa sizungumzii ya kanisa fulani ila kwa mujibu wa Biblia, talaka ipo ila kama chanzo cha ugomvi ni uasherati........ Though Mungu anachukia kuachana na hajapanga ndoa iharibiwe.
Soma Mathayo 5:31-32.
Na baada ya kuachana kwa talaka. Waweza oa/olewa......
Lakini, ktk ukristo, kila kanisa lina utaratibu wake,
Naomba fungu ktk maandiko kuthibitisha kauli yako.Kosa la kuachana ni moja tu "uaesharati" kadiri ya maandiko ya Biblia.. Na neno hili UASHERATI kibiblia Lina maana na uhusiano wa kimapenzi ya wanandugu.. Yaani mtapogundua Kuwa ndoa yenu imebainika Kuwa mlioana wana ndugu ambao hamkufahamiana kabla ya ndoa yenu, hivyo mtapobaini Kuwa nyie ni ndugu mkiwa kwenye ndoa yenu, basi ndipo ndoa hiyo itavunjwa kwa kupeana talaka... Na sio jambo lingine..... Sasa ndg yangu, leo hii ni rahisi kutokea jambo hilo?