Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,083
- 6,921
Habari Jf.
SALAMU ZENU WADADA NA WAKAKA WENYE TABIA HII.
~Yaanike matiti yako kwenye mitandao wee, yabane vizuri na vaa vinguo vya ajabu ili yaonekane...
~Jaa kiburi wanavyokusifia wanaume wazinzi kuwa wewe ni mzuri na umependeza...
~Vaa visiketi vyako vya kubana na kuacha vimapaja vyako nje wanaume wasio na huruma wakusifie kisha wakulaghai na kuzini na wewe...
~Zitoe mimba hizo wanazokupa endelea na huo mchezo mpaka pale utakapoona kuua sio maagizo ya Mungu na wakati huo umeshaua kizazi.
~Fanya vituko vyote mtaani na kwenye mitandao ya kijamii si bado unalipa?! Kila picha inatoka vizuri ukiipiga.
Ikifika muda wa kuolewa na wale waliokuwa wanakuambia wewe ni mrembo baada ya kuwaanikia matiti yako na mapaja yako hadharani alafu hawakutaki tena USIANZE KUMLAUMU MUNGU NA KUWAAMBIA WATU WEWE UNA MIKOSI NA UMELOGWA.
Na nyie wakaka mnaowakwa na maroho ya uzinzi ndani yenu, tembeeni wee na kila mdada mnayemwona barabarani na mitandaoni maana guest zipo nyingi tu na hayo mageto ya kupanga yapo si wazazi wenu hawaoni mnafikiri na Mungu hawaoni ila ikifika MUDA WA KUOA MKAOA VIMEO MSIANZE KUKATISHA WATU TAMAA ETI HAKUNA MWANAMKE ALIYETULIA WOTE NI WALEWALE WAKATI WEWE MWENYEWE NI AFADHALI YA WALE WALE KILA MDADA UKIMWONA UNATAMANI UUJUE UCHI WAKE...
CHA KUFANYA; Mrudie Mungu sasa sio usubiri yakufike shingoni na shetani akutupe nje ya zizi ndio uanze kutafuta kila mtumishi akuombee wakati unaharisha tumbo lisiloisha..
Jioni njema wakuu