mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,789
Mungu ni mmoja.Kwa iyo mkuu ni Mungu yupi atakaetoa hukumu
(A)Mungu anayeabudiwa na wakristo
(B)" " " " na waislam
(C)" " " " na ( wahindu, wachina n.k)
Yupi atakayetoa HUKUMU siku ya MWISHO???
kwaio kabla haujatenda ,hajui lolote kuwa wewe utelekea wapi??mungu umjua MTU wa motoni na peponi kwa matendo yake.
kila umma utahukumiwa kutokana na ujumbe walioletewa na manabii na mitume.
Kama hawakufikiwa na ujumbe.uenda wakasamehewa.
Mungu anajua zaidi
umepewa kuchagua.kutenda wema au mabaya.unaishi kutokana na matakwa yako.siwezi kusema hajui.ila binadamu amepewa utashi wa akili.wa kuchagua.afanye nini..kwaio kabla haujatenda ,hajui lolote kuwa wewe utelekea wapi??
kitu unachonieleza ni sawa na nakijua tangu utoto wangu ila swali bado lipo palepale anajua au hajui??umepewa kuchagua.kutenda wema au mabaya.unaishi kutokana na matakwa yako.siwezi kusema hajui.ila binadamu amepewa utashi wa akili.wa kuchagua.afanye nini..
Yeye ndo anajua KAMA HAJUI AU ANAJUA.kitu unachonieleza ni sawa na nakijua tangu utoto wangu ila swali bado lipo palepale anajua au hajui??
Mungu ni mmoja.
Sisi binadamu ndo tunamtofausha kutokana na mapokeo tunayotapata kutoka kwa jamii zetu.
Mfano Mimi ni muislam.
Mungu tunamuita Allah.
Wakristo wanamuita yehova n.k
Lakini ndo huyo huyo.
Achana na Yale masanamu ya kihindi.
Huyo huyo mmoja.ndo wa kweli.tatizo binadamu wamechafua maandiko kwa kujifanya wanajua.Sasa mkuu kama Mungu ni mmoja kwa waislam wanatofautiana kwny kufanya ibada/kuabudu?
Alaf kingine ni hv unajua kwamba kitu wanachoamini waislam kwa wakristo hawakiamini?
Inakuaje Mungu awe ni mmoja alaf hajulikani yupi ni wa kweli!
Kwahiyo mkuu una experience na hili suala la kufa na yanayoendelea baada ya hicho kifo?ha ha vyote mkuu
Ila ni vizuri kabla ya kutaka kujua ni yupi Mungu wa kweli,kwanza ungejiuliza kwanini uhitaji kutaka kumjua Mungu?Sasa mkuu kama Mungu ni mmoja kwa waislam wanatofautiana kwny kufanya ibada/kuabudu?
Alaf kingine ni hv unajua kwamba kitu wanachoamini waislam kwa wakristo hawakiamini?
Inakuaje Mungu awe ni mmoja alaf hajulikani yupi ni wa kweli!
Ukiondoa neno mungu utaona maswali mengi unayajibu bila tatizo
Maswali kama kuna thawabu na dhambi au moto na mbingu yote yatakuwa yamepotea kichwani kwako kiuhaliisia hakuna mungu
Kama ukijiamini katika kichwa chako utafanya mambo makubwa na utakayoyataka akili yako ndio inayoamua uwe katika level ya uungu au mtu ila hakuna mungu
Dah kwahiyo watakaochomwa moto ni wengi sana kuliko watakaoingia peponi? Wahindi, wachina, wajapani, burma, sri lanka, mongolia, thailand nao vp?Mungu ni mmoja.
Sisi binadamu ndo tunamtofausha kutokana na mapokeo tunayotapata kutoka kwa jamii zetu.
Mfano Mimi ni muislam.
Mungu tunamuita Allah.
Wakristo wanamuita yehova n.k
Lakini ndo huyo huyo.
Achana na Yale masanamu ya kihindi.
Sasa utaabudu vipi masanamu.wakati hayana pepo wala moto?Dah kwahiyo watakaochomwa moto ni wengi sana kuliko watakaoingia peponi? Wahindi, wachina, wajapani, burma, sri lanka, mongolia, thailand nao vp?
mmh..mkuu hapana bana... 😀 😀Kwahiyo mkuu una experience na hili suala la kufa na yanayoendelea baada ya hicho kifo?
Huyo huyo mmoja.ndo wa kweli.tatizo binadamu wamechafua maandiko kwa kujifanya wanajua.
kila MTU anapita njia yake kumfikia mungu kwa maombi.lakini ndo huyo huyo mmoja.
Ubadilishe dini kwenda ukristo.unakosa nini kwenye UISLAM?Kwa iyo km Mimi ni muislam nikibadilisha dini na kua mkristo ni sawa??
Na je vipi kuhusu Jewish ?
Jibu lako la pili nimekuelewa na liko timam kwa upande wangu1.Mungu ameziweka sheria zake mioyoni mwa watu na ndo maana watu wanaweza kuhukumu.kwa hivyo hata hai mababu wa zamani sio kwamba hawakujua lengo la MUNGU katika maisha.walijua Sana wameletwa hapa Ili kujaribiwa katika shida na raha.God is wise and knowing.he Will inform disbelieve what they used to corrupt.na hio siku haiko mbali.ni siku yako ya kufa.utaletwa Moto kupima matendo yako.
Swali la pili jibu Ni kwamba Mungu amempa mwanadamu Uhuru kamili wa kuamua katika njia mbili na mbaya.ni Kama tuseme Mungu ameingia mkataba na uzao wa watu kwamba atakuacha kwa muda uamue wewe unataka uwe kundi gani.ila kwake yeye lazima turejee wote.
Ubadilishe dini kwenda ukristo.unakosa nini kwenye UISLAM?