Maisha baada ya kifo

Ulishawahi kufa? kama jibu ni la, uhakika wa aina hii unaupata wapi?
 
Ha ha ha ha mkuu wewe ulishakufa?
Umeona mahali nimeandika kitu kinafanana na ulichoandika? Umeongea kana kwambwa ulishawahi kufa ukajua hakuna maisha baada ya hapo ukarudi. Kitu ambacho sio kweli. Unapotoa ushauri ni vyema ukawa makini maana unawajibika na ushauri wako!
 
Umeuliza maswali sahihi, lakini sehemu yenyewe ndio chaka! Tafuta mtu serious ujadili naye heart to heart kama lengo ni kupata majibu. Hapa utaishia kuwa confused...

My gentleman advice!
asante kaka ila nahisi pia humu wapo watu serious ,,,
 
asante kwa mafunzo yako nimepata kitu,,,,ila bado sijaridhikakidogo
 
asante kaka ila nahisi pia humu wapo watu serious ,,,
Serious wengi hawaandiki tena kwa sababu JF imebadilika sana. wachache wanaoandika wanamezwa na "Millitant Pumbalizers". Unaweza soma huu uzi ukaona mwenyewe. Ila kama unadhani unaweza chukua hayo maoni, chaguo ni lako!
 
Serious wengi hawaandiki tena kwa sababu JF imebadilika sana. wachache wanaoandika wanamezwa na "Millitant Pumbalizers". Unaweza soma huu uzi ukaona mwenyewe. Ila kama unadhani unaweza chukua hayo maoni, chaguo ni lako!
ni kweli mkuu ila si kwamba kila jibu nitalichukua, mengine ninapuuzia tu
 
Mwenyezi Mungu haizurumu Nafsi ya mtu wala watu hawahukumiwa isipokuwa baada ya kufikishiwa ujumbe.Mungu anakua tusiyoyajua wala hana haja yakuuliza wewe ulifanya nini sababu habar zote anazo.Mwenyezi mungu anadil na moyo huo ndio unabainisha nini dhamira yako.
 
Kwa mujibu wa maelezo yako mazuri mkuu ni kwamba HAKUNA KUFA. Swali langu ni je! inawezekana hata hapa tulipo ni tumehama kutoka universe nyingine kuja hapa duniani?. Yawezekana hapa tulishakufa huko kwingine tukahamia huku ila ni vile hatukuwa na CONSCIOUS ya kutosha ndo maana tunaishi maisha ya shuruba na kula kwa jasho wakati wenye CONSCIOUS kubwa wanakula maisha.. Asante sana
 

Life never end.....

Kila siku tuna upgrade from lower conscious level to higher dimension state of entity..

So sisi sote tumetoka kwenye lower dimension form yenye aina flani ya body form ya kuexist..

ulimwenguu huu tunauishi unaruhusu souls( nafsi) zetu kuexist katika bodly form( avator) ..

Yani ili nafsi yako iweze kuexist katika 3 dimension universe hii ni lazima iwe na umbo la mtu ( Avator) la sivyo haitaweza kujiexpress na kupata full awareness ya namna ya kuinteract na mazingira yanayozunguka..

Ni somo pana kidgo hapa ..
You need to learn and read more books zinazoelezea conscious and subconscious mind ..
 
Hakuna maisha baada ya kifo, umeshesema baada ya kifo, sasa maisha yatakuwepo kwa vipi tena? Maisha au Living is about activities of living body while interacting with other living creatures in lively hood. This end at the time life is taken from the body. Mimi sio muumini wa dini, dini ni imani, na imani hata iwe karibu na ukweli kiasi gani haitoshi kuwa ni KWELI. Swala hukumu ni za kutunga tuu, our trueself does exist beyong the time and space far beyong living (maisha) hence there will be no time or a place for judgment to take place. For as is to be not to live, what is living is our body and mind that accumulate living memories and had beginning and and End, our trueself let as to be. Kifo kinatenganisha Mwili, akili na Roho, panakosekana akili na mwili hakuna muda wala nafasi, sasa kama hakutawepo na muda na nafasi (mahali) hiyo hukumu itakuweko vipi kwani ni ya kufikirika zaidi kuriko hali ya kuwa (To be).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks sana mkuu, honestly am interested na hii elimu. Am a book worm, and as a new pupil in this field I ask you a favor, Have me some books recommendation to start with. ASANTE SANA
 
Kifo kinatenganisha Mwili, akili na Roho
sasa hapo kwenye roho kwasababu najua mwili utazikwa na utaoza vip kuhusu roho itakuwa wap
 
Thanks sana mkuu, honestly am interested na hii elimu. Am a book worm, and as a new pupil in this field I ask you a favor, Have me some books recommendation to start with. ASANTE SANA

mind reality pdf kitafute hicho kitabu kitakusaidia sana .. sikumbuki nilikiweka wapi kwenye makablasha yangu but its one of the most book kubadili fikra zako juu ya ulichokuwa unaamini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…