Yani Mange ameboogieeee....
Hii pic inanifanya niamini
Domo alishawahi kupost pic na hao watoto upande wa pili wanaonekana na huyu dada
Domo alishawahi kupost pic na hao watoto upande wa pili wanaonekana na huyu dada
tobaa yule naeee makubwa hayaa
ndo mana jaji wa kino star search
kajala malaya jamani duuh
kweli mjaa asili haachi asili
duuuh ina maana walichafua na nnya mashuka lllooohhh
Vichambo vya JF navyo vichambo? Vichambo uchambwe 'live' kwa sare na matarumbeta, kitu kinaingia hadi katika Medulla Oblangata. Lakini humu, waaala. Ikiandaliwa mechi Leaders Club Vichambo JF vs Vichambo Uswazi walahi JF mtabinuka biduuuu......

Naona watu taratibu wanajitaja....
Ukiuza utumbo, usiogope nzi
Ngoja nakuja mwaya
Chaaa!
Mnaanzaje kunisahau sasa😱
Hahahaaa nimecheka sana aiseeh!
Haya nakusubiri mwaya.Japo naona umeshanichomesha mahindi tayari..
Unaanzaje kusahaulika sasa? Usijali nikitupiwa nawe nitafanya hivyohivyo.
huyu wema anaweza kuanzisha dini na akapata waumini...
nifah hebu nipe ubuyu kule kwa pm tayari.Unaanzaje kusahaulika sasa? Usijali nikitupiwa nawe nitafanya hivyohivyo.