BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Nilichek ile pichaaa jamni ya mai,,mmeona huda kaiba picha ya watu
Shosti huddah kaumbukaje....
Ila Mai nae kiki ushuzi zitamuua
Nasubiri kesho gazeti kwa mange hhhhaaa
Hahahaj
Tena nimeona ig ya kule hudda alipoiba picha wamemtag mange kwa juhudi zote
Nahisi atakuwa kesha download
Ingawa huddah mjanja nahisi kaifuta hiyo posti...... maanza kuamini maneno ya mange haka katoto ni kapunda plus kauza papuchi
Mi nishaamin kua ni punda na mabuzi tu ,,,kazifutaa hhhhhaaaa chezeaaaaaaaa
Hiv faiza ana buzi lipi hilo shosti naona dubai mara china mmmmmhh au ndio kujiuzaaa,naona husna mke mwenzie na lulu nae yupo brazil heheeeee uwiiiiiiiiiii kazi poo
Kazi kwani kidogo
Faiza niliona aliposti mkono tu wa huyo mwanaume...umejaA misuli tu
Husna simsomi na huko brazil....
Mie nina mashak ma sembe na hoci mfadhili hayupo mmmmh
Ngoja warumi aje atupe ubuyu
Mh hapo kama umeongezea chumvi chief.. hajatamka hiyo sentensi,
Mh hapo kama umeongezea chumvi chief.. hajatamka hiyo sentensi,
Halooooh hlo jiso hzi cream
Huyo Mai uso ka umeungua kweli mikorogo ni janga. Yani hadi anatisha.
chezea mkorogo kachabwa hadi kasalenda
chezea mkorogo kachabwa hadi kasalenda
Nimeona chief 😂😂 ila as much as team zote zinqnikera IG ila kuna watu acha tu vichambo viwahusu.. maana mtu unashindwa kujiheshim acha vitoto vya form two B vikuadhiri
Na yeye ni hovyo tu mana naona ni mtu mzima lakini anahangaika na hizo team. Na akomeshwe tu kama hapendi team flani hakupaswa kuziita hilo neno.