Mail & Guardian: Shot 16 times, but still defiant

Xolani

Member
Oct 26, 2017
84
150
How is your recovery going?

I was shot 16 times. Broken legs, broken arms. They extracted eight bullets from my stomach. One is still lodged somewhere near my spine. But after 22 surgeries I feel much better. I can move about, I walk with crutches. I still have one more surgery to go. On the 20th of this month, I will go for surgery number 23.

If you survive 16 bullet hits, and you wake up after seven days and you come out of it alive, I think it strengthens you. It gives you the kind of perspective on life, it’s hard to imagine. I’m a survivor.
What do you remember about the day you were shot?

In the six weeks before I was shot, I was trailed everywhere by people that I knew were part of the intelligence and security apparatus. On the day of the attack, I remember I was the last to speak in the morning session [of Parliament], then we broke for lunch. I took my car with my driver, a short drive 15 minutes away. We were followed by a car all the way to my residence.

Because I serve as the opposition’s chief whip, I’m entitled to government housing, and therefore I live in a government housing compound, which is heavily guarded 24/7. That day the security on the perimeter of the compound as well as in individual blocks was absent. All the security guards had been taken out. We entered and this car was following behind. We went all the way to my driveway. They came and stopped behind my car. Two gunmen came out wielding submachine guns and all hell broke loose.
John Magufuli was hailed as a saviour at the beginning of his presidency. What’s changed?

In the three years of Tanzania under President Magufuli, a reign of terror has engulfed the country. As we speak the entire national leadership of the largest [opposition] political party in Tanzania, Chadema, is fighting for their freedom in the courts of law. As we speak, we are into the third year with political activity prohibited by presidential fear. We cannot hold public meetings. Internal meetings are equally difficult. We cannot meet our members anywhere.

It goes on and on. Only last week a law was rushed through Parliament [the amended Political Parties Act], which amends our parties’ legislation, and the impact is to enable the president and his party to decide who will be their opponents during the next general election next year.

The terror that has been visited on the opposition has equally been meted out against their own party, CCM [Chama Cha Mapinduzi]. The fusion between CCM and the Tanzanian state has been so complete over the past 50 years or so that you cannot distinguish between the two. Because of that fusion, power lies with the presidency, with the state.

The president has always been the CCM chairman as well. Magufuli is in a position where he simply cannot be challenged. Not just because of this fusion, but because he is very violent. [Even when dealing] with his own internal critics.
Is Tanzania’s democratic backsliding reflective of broader trends on the African continent?

Obviously there has been a fair amount of backsliding on democracy in recent years. Zambia was for many years the shining example of the movement away from one-party autocracy to a fairly workable democracy. What has happened in Zambia in recent years, what has happened in East and Central Africa in recent years, these are matters of grave concern to everyone interested in the future of our continent.

However, there are corners of hope: Ethiopia, the Gambia, Nigeria, even the Democratic Republic of Congo, in spite of the fraudulent declaration of Felix Tshisekedi as president, the fact is this [Joseph] Kabila junior is out of office. Whatever you might say, he wanted to stay on and he has not been able to stay on.
How do you feel about returning to Tanzania?

My two boys, I have 16-year-old twins, and they were shattered, everybody has been through hell. But people are also very strong. My children and my wife have been very, very strong, but you can only imagine what they must have gone through. I’ve been away since September 7 [2017, and am now] based in Belgium, where I have been receiving medical treatment. I’m going back once my doctors say yes. Magufuli has to be confronted. You don’t run away from [people like him]. You run away from them, they win. Is it dangerous? Yes. But living in a dictatorship anywhere in the world is a dangerous business.

Source: Mail & Guardian
 
Attachments

 • Screenshot_20190216-214913.jpeg
  File size
  55.8 KB
  Views
  57
 • Screenshot_20190216-214937.jpeg
  File size
  60.1 KB
  Views
  45

Mashona

Senior Member
Sep 18, 2018
102
250
Kitu ambacho sisi kama taifa (Tanzania) tunakosea ni kwamba Lissu mpaka kwenda kuongea na vyombo vya habari vya kimataifa ni PLANNED ISSUES ya jumuiya ya kimataifa Kwa maana kwamba walimhoji kuhusu kadhia iliyompata baada ya hapo wakawa wanatafuta njia ya kupata information kutoka upande wa pili unaotuhumiwa na LISSU wakaona njia pekee ya kupata majibu/information hizo ni LISSU kwenda kwenye vyombo vya habari kuyasema Kwa kufunguka hasa kama ambavyo LISSU alivyofanya. Kazi yao ilikuwa ni kusikiliza majibu ya upande unao tuhumiwa unasema nini, kibaya zaidi upande unaotuhumiwa umetoa majibu yasiyokizi hadi kufikia hatua kuanza kumtisha mhusika na vijembe vya kila aina tena kwa watu wasio na weredi jadidi wa kujibu hoja nzito kama ambazo LISSU amezitoa.
USHAURI WANGU Kwa serikali na nchi yang.
1. Tuwe na vitengo maalumu vya watu wenye uwezo mkubwa wa kupambana na hoja nzito zinazoilenga nchi na serikali
2. Tuwadhibiti watu wengine wasio husika kujibu vitu ambavyo hawana weredi navyo kama akina Bashiru, Makonda na polepole
3. Tutofautishe lipi linatakiwa kujibiwa kisiasa na weredi wa kisiasa na lipi linatakiwa kujibiwa ki-weredi na wenye ujuzi wa kujibu ki-weredi zaidi
4. Tuache ushabiki wa kivyama unaotupelekea kuwa na chuki miongoni mwetu maana sisi sote ni Watanzania na Tanzania ni yetu sote
5. Sheria na utu wa mtu uheshimiwe asiwepo mtu hata mmoja ambaye atapanga/kunuia kumzuru mwenzie kisa tu ametofautia naye kimawazo/kimtazamo.
6. Tunapotofautia kimtazamo tuwe na utamaduni wa kukaa Meza moja kwa nashauriano ya kufikia mwafaka.
7. Kuongoza nchi ni haki ya kila Mtanzania hivyo basi tusijenge taswira kwamba kikundi/Chama fulani ndicho chenye haki ya kuiongoza nchi wakati kikundi/Chama fulani hakina haki hiyo tutasababisha vurugu na machafuko nchini. Katika hili tunatakiwa kuweka vyombo huru vitakavyosimamia haki kwa vyama vyote vya Siasa.
Tutende Kwa haki bila buguza zozote maana haki ikiendelea kuvunjwa itawafanya watu kujengeana chuki na visasi ambapo mwisho wake ni machafuko nchini.
 
KASHOROBAN

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
864
1,000
The tyrant shall die soon because he is too idiot, he hasn't learnt from his mistakes, he still plots against Lissu and this will revive the wrath of God on him

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari toka the daily mail na the Guardian ni very reliable na imesomwa dunia nzima na sio izo za kusifia sifia toka gazeti lako la Uhuru na tanzanite aka ya kufungia mandazi ya ovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,235
2,000
Kitu ambacho sisi kama taifa (Tanzania) tunakosea ni kwamba Lissu mpaka kwenda kuongea na vyombo vya habari vya kimataifa ni PLANNED ISSUES ya jumuiya ya kimataifa Kwa maana kwamba walimhoji kuhusu kadhia iliyompata baada ya hapo wakawa wanatafuta njia ya kupata information kutoka upande wa pili unaotuhumiwa na LISSU wakaona njia pekee ya kupata majibu/information hizo ni LISSU kwenda kwenye vyombo vya habari kuyasema Kwa kufunguka hasa kama ambavyo LISSU alivyofanya. Kazi yao ilikuwa ni kusikiliza majibu ya upande unao tuhumiwa unasema nini, kibaya zaidi upande unaotuhumiwa umetoa majibu yasiyokizi hadi kufikia hatua kuanza kumtisha mhusika na vijembe vya kila aina tena kwa watu wasio na weredi jadidi wa kujibu hoja nzito kama ambazo LISSU amezitoa.
USHAURI WANGU Kwa serikali na nchi yang.
1. Tuwe na vitengo maalumu vya watu wenye uwezo mkubwa wa kupambana na hoja nzito zinazoilenga nchi na serikali
2. Tuwadhibiti watu wengine wasio husika kujibu vitu ambavyo hawana weredi navyo kama akina Bashiru, Makonda na polepole
3. Tutofautishe lipi linatakiwa kujibiwa kisiasa na weredi wa kisiasa na lipi linatakiwa kujibiwa ki-weredi na wenye ujuzi wa kujibu ki-weredi zaidi
4. Tuache ushabiki wa kivyama unaotupelekea kuwa na chuki miongoni mwetu maana sisi sote ni Watanzania na Tanzania ni yetu sote
5. Sheria na utu wa mtu uheshimiwe asiwepo mtu hata mmoja ambaye atapanga/kunuia kumzuru mwenzie kisa tu ametofautia naye kimawazo/kimtazamo.
6. Tunapotofautia kimtazamo tuwe na utamaduni wa kukaa Meza moja kwa nashauriano ya kufikia mwafaka.
7. Kuongoza nchi ni haki ya kila Mtanzania hivyo basi tusijenge taswira kwamba kikundi/Chama fulani ndicho chenye haki ya kuiongoza nchi wakati kikundi/Chama fulani hakina haki hiyo tutasababisha vurugu na machafuko nchini. Katika hili tunatakiwa kuweka vyombo huru vitakavyosimamia haki kwa vyama vyote vya Siasa.
Tutende Kwa haki bila buguza zozote maana haki ikiendelea kuvunjwa itawafanya watu kujengeana chuki na visasi ambapo mwisho wake ni machafuko nchini.
Umeandika maneno yenye hekima sana,ila bahati mbaya hao uliowashauri ni wanyama kabisa hawawezi kukuelewa hadi yawakute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,424
2,000
The dictator won't be satisfied until he extinguishes every voice of dissent coming out of the sane people!. Even people in his own party are not safe. He is getting mad everyday on the fact that one day he's gonna stand before the court of law to answer for all crimes he had committed!
Justice will be done, it is a matter of time!
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,962
2,000
Once it was AK 47s and now it's Machine Guns!. These inconsistencies are not good at all.

Kwenye bandiko langu kuhoji the role of dereva wa Lissu kwenye tukio hili.

Dereva wa Lissu ndiye aliyewaona washambulizi, na ndiye aliyesema Bunduki zile ni AK.47, nikauliza mtu wa kawaida asiyejua mambo ya silaha anazijuaje AK. 47?, kwa sababu sisi Tanzania, hatuzitumii ?.

Kwenye haya yanayosemwa na Lissu kuhusu shumbulizi lile, kuna mengine ya kweli na mengine ya uongo. Kwa kuanzia idadi ya risasi, kama polisi wetu ni makini, wameokota maganda na wamehesabu matundu sskwenye gari. Taarifa ya ni risasi ngapi, za silaha za aina gani should have been easily clarified na polisi wetu.

Taarifa ya ni risasi ngapi zilimuingia Tundu Lissu, hii ni taarifa ya kidakitari, atakuwa alipigwa full body exray pale Dodoma hospital, walitibu matundu yote ya risasi, walizichomoa walizoweza lakini zilingia ngapi wanajua, kwanini hawasemi.

Uongo always unakuwa defeated na ukweli, kwa nini jeshi letu la polisi halijasema kitu, hivyo all the info kuhusu shumbulizi lile zinazo trend kwenye international circles ni from s single source Tundu Lissu na dereva wake, hivyo hata wakisema uongo au kuongezea chumvi, itaonekana huo ndio ukweli wenyewe, kwa nini jeshi letu la polisi, limeshikwa na ganzi na kigugumizi cha ajabu kuzungumzia tukio hili?.

Hoja ya kumsubiria Lissu na dereva wake wahojiwe, doesn't hold water, jee wote wangeuwawa kwenye tukio, uchunguzi usingefanyika kwa sababu hakuna shuhuda?.

Lissu ameshambuliwa vibaya kwa nia ya kumuua, kwa sasa ana ehueni ila bado anahitaji compassion, ila kwa vile mwenyewe anaongea sana, na vitu vingine haviko very straight, ikitokea tuu mtu objective kuhoji lolote alilosema Lissu huchelewi kunyooshewa vidole humu.

Huu ukimya huu...
P.
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,143
2,000
Once it was AK 47s and now it's Machine Guns!. This inconsistent is not good at all.
P.
Hiyo ni minor issue as long as ni kweli amepigwa risasi.

Kosa ni wao kutofanya uchunguzi hata wa silaha iliyotumika hivyo watu ku- guess aina ya silaha iliyotumika sio kosa lao.

Wenye uhakika wa asilimia 1000 wa aina ya silaha iliyotumika na wanaojua tukio zima lilivyotekelezwa ni hao assassins na mabosi wao waliowatuma.

Mahakamani taarifa ya kiuchunguzi ndio itakayotumika na sio hizi ambazo zinaandikwa au kutajwa ambazo msingi wake ni ushahidi wa kimazingira hivyo hii inconsistency sio issue sana as long as sio taarifa rasimi iliyotolewa kwa malengo ya kutumika mahakamani.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,424
2,000
Once it was AK 47s and now it's Machine Guns!. This inconsistent is not good at all.
P.

The fact that bullets came from a gun, and he was hit, and each bullet taken out of his body is well preserved, it is easy for him today to know what kind of a gun was used by examining types of bullets taken out of his body!.

Besides!. The assailants could have carried more than one type of guns, but the one used to shoot him was a shortgun. Remember there were more than one terrorists who came out of a car and all were armed with an intent to kill!.
 
uwemba1

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
991
1,000
Once it was AK 47s and now it's Machine Guns!. This inconsistent is not good at all.
P.
Paschal acha kuspin bwana najua unajua ila unataka kutupotosha. AK 47 na SMG(Sub Machine Gun) ni hiyo hiyo. AK47 ni Russian na baadhi ya nchi zilizokuwa chini ya USSR ya zamani wakati SMG ni Chinese copy. Kwa uelewa wako najua unajua ila unajaribu kukwepesha mjadala ionekane Lisu anajichanganya. Umeommit makusudi Sub ila ukachukua Machine Gun ili kutimiza lengo lako. Come one brother hizo sio level zako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom