Mail & Guardian: Shot 16 times, but still defiant

Paschal acha kuspin bwana najua unajua ila unataka kutupotosha. AK 47 na SMG(Sub Machine Gun) ni hiyo hiyo. AK47 ni Russian na baadhi ya nchi zilizokuwa chini ya USSR ya zamani wakati SMG ni Chinese copy. Kwa uelewa wako najua unajua ila unajaribu kukwepesha mjadala ionekane Lisu anajichanganya. Umeommit makusudi Sub ila ukachukua Machine Gun ili kutimiza lengo lako. Come one brother hizo sio level zako.
Huyu bwana hayuko fair kwa Lissu na ameonyesha hivi kwa muda tu kupitia mabandiko yake humu.
 
Once it was AK 47s and now it's Machine Guns!. This inconsistent is not good at all.
P.
Haya angalia na wewe ulivyokosea "inconsistent" badala ya "inconsistency" unakua kama stone. Kwa mtu ambaye siyo mtaalamu wa bunduki ni kawaida kutumia AK 47 na machine gun interchangeably.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Once it was AK 47s and now it's Machine Guns!. This inconsistent is not good at all.
P.
Heheheh whatever guns used but he was shot to death ,unfortunately he survived to tell a tale .

Lissu haters have bean started to arise from where they "kujificha"

Mmoja moja tunaanza kumuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu ambacho sisi kama taifa (Tanzania) tunakosea ni kwamba Lissu mpaka kwenda kuongea na vyombo vya habari vya kimataifa ni PLANNED ISSUES ya jumuiya ya kimataifa Kwa maana kwamba walimhoji kuhusu kadhia iliyompata baada ya hapo wakawa wanatafuta njia ya kupata information kutoka upande wa pili unaotuhumiwa na LISSU wakaona njia pekee ya kupata majibu/information hizo ni LISSU kwenda kwenye vyombo vya habari kuyasema Kwa kufunguka hasa kama ambavyo LISSU alivyofanya. Kazi yao ilikuwa ni kusikiliza majibu ya upande unao tuhumiwa unasema nini, kibaya zaidi upande unaotuhumiwa umetoa majibu yasiyokizi hadi kufikia hatua kuanza kumtisha mhusika na vijembe vya kila aina tena kwa watu wasio na weredi jadidi wa kujibu hoja nzito kama ambazo LISSU amezitoa.
USHAURI WANGU Kwa serikali na nchi yang.
1. Tuwe na vitengo maalumu vya watu wenye uwezo mkubwa wa kupambana na hoja nzito zinazoilenga nchi na serikali
2. Tuwadhibiti watu wengine wasio husika kujibu vitu ambavyo hawana weredi navyo kama akina Bashiru, Makonda na polepole
3. Tutofautishe lipi linatakiwa kujibiwa kisiasa na weredi wa kisiasa na lipi linatakiwa kujibiwa ki-weredi na wenye ujuzi wa kujibu ki-weredi zaidi
4. Tuache ushabiki wa kivyama unaotupelekea kuwa na chuki miongoni mwetu maana sisi sote ni Watanzania na Tanzania ni yetu sote
5. Sheria na utu wa mtu uheshimiwe asiwepo mtu hata mmoja ambaye atapanga/kunuia kumzuru mwenzie kisa tu ametofautia naye kimawazo/kimtazamo.
6. Tunapotofautia kimtazamo tuwe na utamaduni wa kukaa Meza moja kwa nashauriano ya kufikia mwafaka.
7. Kuongoza nchi ni haki ya kila Mtanzania hivyo basi tusijenge taswira kwamba kikundi/Chama fulani ndicho chenye haki ya kuiongoza nchi wakati kikundi/Chama fulani hakina haki hiyo tutasababisha vurugu na machafuko nchini. Katika hili tunatakiwa kuweka vyombo huru vitakavyosimamia haki kwa vyama vyote vya Siasa.
Tutende Kwa haki bila buguza zozote maana haki ikiendelea kuvunjwa itawafanya watu kujengeana chuki na visasi ambapo mwisho wake ni machafuko nchini.
Umeshauri vizuri ila sina hakika kama kwa aina ya siasa nyepesi na uchwara zinazofanywa na ccm hii ya awamu ya tano, na kwa hawa wanasiasa wachumia tumbo na uchwara wanaoiongoza ccm ya sasa like polepole na wenzake plus their chair sina hakika kama wanao uwezo wa kukuelewa.Wao waambie madaraka ili wajaze matumbo huku wakidanganya watu eti wanapigana vita vya kiuchumi.Yaani mtu amefungia mikataba mibovu chumban mwake halafu anawalinda walioiingia kwa nguvu zote then nje anatudanganya anapigana viti ya uchumi.MUNGU ATUHURUMIETu
 
Once it was AK 47s and now it's Machine Guns!. These inconsistencies are not good at all.

Kwenye bandiko langu kuhoji the role of dereva wa Lissu kwenye tukio hili.

Dereva wa Lissu ndiye aliyewaona washambulizi, na ndiye aliyesema Bunduki zile ni AK.47, nikauliza mtu wa kawaida asiyejua mambo ya silaha anazijuaje AK. 47?, kwa sababu sisi Tanzania, hatuzitumii ?.

Kwenye haya yanayosemwa na Lissu kuhusu shumbulizi lile, kuna mengine ya kweli na mengine ya uongo. Kwa kuanzia idadi ya risasi, kama polisi wetu ni makini, wameokota maganda na wamehesabu matundu sskwenye gari. Taarifa ya ni risasi ngapi, za silaha za aina gani should have been easily clarified na polisi wetu.

Taarifa ya ni risasi ngapi zilimuingia Tundu Lissu, hii ni taarifa ya kidakitari, atakuwa alipigwa full body exray pale Dodoma hospital, walitibu matundu yote ya risasi, walizichomoa walizoweza lakini zilingia ngapi wanajua, kwanini hawasemi.

Uongo always unakuwa defeated na ukweli, kwa nini jeshi letu la polisi halijasema kitu, hivyo all the info kuhusu shumbulizi lile zinazo trend kwenye international circles ni from s single source Tundu Lissu na dereva wake, hivyo hata wakisema uongo au kuongezea chumvi, itaonekana huo ndio ukweli wenyewe, kwa nini jeshi letu la polisi, limeshikwa na ganzi na kigugumizi cha ajabu kuzungumzia tukio hili?.

Hoja ya kumsubiria Lissu na dereva wake wahojiwe, doesn't hold water, jee wote wangeuwawa kwenye tukio, uchunguzi usingefanyika kwa sababu hakuna shuhuda?.

Lissu ameshambuliwa vibaya kwa nia ya kumuua, kwa sasa ana ehueni ila bado anahitaji compassion, ila kwa vile mwenyewe anaongea sana, na vitu vingine haviko very straight, ikitokea tuu mtu objective kuhoji lolote alilosema Lissu huchelewi kunyooshewa vidole humu.

Huu ukimya huu...
P.
kwani police wanasemaje? Au walishindwa kabisa kuona maganda? Au wale police waliokuwa lindo walisema walisikia mlio wa bunduki aina gani? Sijui kama Lissu nae ni mtaalum wa mambo haya unless kama siku hizi wanasheria mnafundishwa mambo haya ndugu Paschal
 
Once it was AK 47s and now it's Machine Guns!. These inconsistencies are not good at all.

Kwenye bandiko langu kuhoji the role of dereva wa Lissu kwenye tukio hili.

Dereva wa Lissu ndiye aliyewaona washambulizi, na ndiye aliyesema Bunduki zile ni AK.47, nikauliza mtu wa kawaida asiyejua mambo ya silaha anazijuaje AK. 47?, kwa sababu sisi Tanzania, hatuzitumii ?.

Kwenye haya yanayosemwa na Lissu kuhusu shumbulizi lile, kuna mengine ya kweli na mengine ya uongo. Kwa kuanzia idadi ya risasi, kama polisi wetu ni makini, wameokota maganda na wamehesabu matundu sskwenye gari. Taarifa ya ni risasi ngapi, za silaha za aina gani should have been easily clarified na polisi wetu.

Taarifa ya ni risasi ngapi zilimuingia Tundu Lissu, hii ni taarifa ya kidakitari, atakuwa alipigwa full body exray pale Dodoma hospital, walitibu matundu yote ya risasi, walizichomoa walizoweza lakini zilingia ngapi wanajua, kwanini hawasemi.

Uongo always unakuwa defeated na ukweli, kwa nini jeshi letu la polisi halijasema kitu, hivyo all the info kuhusu shumbulizi lile zinazo trend kwenye international circles ni from s single source Tundu Lissu na dereva wake, hivyo hata wakisema uongo au kuongezea chumvi, itaonekana huo ndio ukweli wenyewe, kwa nini jeshi letu la polisi, limeshikwa na ganzi na kigugumizi cha ajabu kuzungumzia tukio hili?.

Hoja ya kumsubiria Lissu na dereva wake wahojiwe, doesn't hold water, jee wote wangeuwawa kwenye tukio, uchunguzi usingefanyika kwa sababu hakuna shuhuda?.

Lissu ameshambuliwa vibaya kwa nia ya kumuua, kwa sasa ana ehueni ila bado anahitaji compassion, ila kwa vile mwenyewe anaongea sana, na vitu vingine haviko very straight, ikitokea tuu mtu objective kuhoji lolote alilosema Lissu huchelewi kunyooshewa vidole humu.

Huu ukimya huu...
P.
Unajichanganya sana mkuu kwenye andiko lako.Kwa kifupi tu Lisu alipigwa risasi...full stop.

Iwe ni Ak 47,SMG nk... haindoi ukweli kuwa alishambuliwa kwa risasi.

Hoja yako ni baseless kabisa na highly questionable to any reasonable person.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la aina ya bunduki tunamuonea tu lissu kwa kuwa yeye siyo polisi atasema alivyoona na kwakuwa nature ya tukio lenyewe ni la kutisha kutakuwa na makosa hapa na pale lakini vitu vya msingi katika uchunguzi vipo kama maganda ya risasi na risasi zenyewe ,walinzi wahojiwe kwanini hawakuwepo ilikuwa zamu ya nani,cctv vipi polisi waseme wamezipata halafu zipotee maswali rahisi ni mengi sana
Once it was AK 47s and now it's Machine Guns!. These inconsistencies are not good at all.

Kwenye bandiko langu kuhoji the role of dereva wa Lissu kwenye tukio hili.

Dereva wa Lissu ndiye aliyewaona washambulizi, na ndiye aliyesema Bunduki zile ni AK.47, nikauliza mtu wa kawaida asiyejua mambo ya silaha anazijuaje AK. 47?, kwa sababu sisi Tanzania, hatuzitumii ?.

Kwenye haya yanayosemwa na Lissu kuhusu shumbulizi lile, kuna mengine ya kweli na mengine ya uongo. Kwa kuanzia idadi ya risasi, kama polisi wetu ni makini, wameokota maganda na wamehesabu matundu sskwenye gari. Taarifa ya ni risasi ngapi, za silaha za aina gani should have been easily clarified na polisi wetu.

Taarifa ya ni risasi ngapi zilimuingia Tundu Lissu, hii ni taarifa ya kidakitari, atakuwa alipigwa full body exray pale Dodoma hospital, walitibu matundu yote ya risasi, walizichomoa walizoweza lakini zilingia ngapi wanajua, kwanini hawasemi.

Uongo always unakuwa defeated na ukweli, kwa nini jeshi letu la polisi halijasema kitu, hivyo all the info kuhusu shumbulizi lile zinazo trend kwenye international circles ni from s single source Tundu Lissu na dereva wake, hivyo hata wakisema uongo au kuongezea chumvi, itaonekana huo ndio ukweli wenyewe, kwa nini jeshi letu la polisi, limeshikwa na ganzi na kigugumizi cha ajabu kuzungumzia tukio hili?.

Hoja ya kumsubiria Lissu na dereva wake wahojiwe, doesn't hold water, jee wote wangeuwawa kwenye tukio, uchunguzi usingefanyika kwa sababu hakuna shuhuda?.

Lissu ameshambuliwa vibaya kwa nia ya kumuua, kwa sasa ana ehueni ila bado anahitaji compassion, ila kwa vile mwenyewe anaongea sana, na vitu vingine haviko very straight, ikitokea tuu mtu objective kuhoji lolote alilosema Lissu huchelewi kunyooshewa vidole humu.

Huu ukimya huu...
P.
 
Truthfully speaking the damage to the nation before the eyes of the international community is huge. To clear the atmosphere, the president must come out for clarification.
The late Mwalimu Nyerere used to do this. When bad colors were being painted against our country either in London, Washington or elsewhere, he would convene an assembly of Dar es Salaam elders, and through them address the nation as well as the international community.
His predicessors, namely Mwinyi, Mkapa and Kikwete did the same thing. President Magufuli should see the seriousness of Mr Lisu's allegations against him and his government. He should not allow other people like Waitara make statements which enlarges the gap of distortion and hatred.
Let me remind our dear president that the opposition members are millions, thus, planning to eliminate one of their leaders is to engage the trouble unnecessarily.
 
Once it was AK 47s and now it's Machine Guns!. These inconsistencies are not good at all.

Kwenye bandiko langu kuhoji the role of dereva wa Lissu kwenye tukio hili.

Dereva wa Lissu ndiye aliyewaona washambulizi, na ndiye aliyesema Bunduki zile ni AK.47, nikauliza mtu wa kawaida asiyejua mambo ya silaha anazijuaje AK. 47?, kwa sababu sisi Tanzania, hatuzitumii ?.

Kwenye haya yanayosemwa na Lissu kuhusu shumbulizi lile, kuna mengine ya kweli na mengine ya uongo. Kwa kuanzia idadi ya risasi, kama polisi wetu ni makini, wameokota maganda na wamehesabu matundu sskwenye gari. Taarifa ya ni risasi ngapi, za silaha za aina gani should have been easily clarified na polisi wetu.

Taarifa ya ni risasi ngapi zilimuingia Tundu Lissu, hii ni taarifa ya kidakitari, atakuwa alipigwa full body exray pale Dodoma hospital, walitibu matundu yote ya risasi, walizichomoa walizoweza lakini zilingia ngapi wanajua, kwanini hawasemi.

Uongo always unakuwa defeated na ukweli, kwa nini jeshi letu la polisi halijasema kitu, hivyo all the info kuhusu shumbulizi lile zinazo trend kwenye international circles ni from s single source Tundu Lissu na dereva wake, hivyo hata wakisema uongo au kuongezea chumvi, itaonekana huo ndio ukweli wenyewe, kwa nini jeshi letu la polisi, limeshikwa na ganzi na kigugumizi cha ajabu kuzungumzia tukio hili?.

Hoja ya kumsubiria Lissu na dereva wake wahojiwe, doesn't hold water, jee wote wangeuwawa kwenye tukio, uchunguzi usingefanyika kwa sababu hakuna shuhuda?.

Lissu ameshambuliwa vibaya kwa nia ya kumuua, kwa sasa ana ehueni ila bado anahitaji compassion, ila kwa vile mwenyewe anaongea sana, na vitu vingine haviko very straight, ikitokea tuu mtu objective kuhoji lolote alilosema Lissu huchelewi kunyooshewa vidole humu.

Huu ukimya huu...
P.
Pascal, at times unajiangusha. Lissu sio mwanaheshi wala hana uzoefu utambuzi wa silaha. Kutaka machine gun na Ak47 ni interchangeable kwa layman wa silaha. Wewe kama msomi unapasws kuelewa anafikisha ujumbe wa matumizi ya silaha zenye kumwaga risasi mfululizo. BTW kwa umbo SmG na Ak47 Zina tofauti gani.... Sio kila kitu uoneshe unajua bwana
 
Looking at king's mouth you may think that he didn't suck to his mother's breasts but he sucked ,jiwe will suck all his actions to the Tanzanians .
 
Du
Paschal acha kuspin bwana najua unajua ila unataka kutupotosha. AK 47 na SMG(Sub Machine Gun) ni hiyo hiyo. AK47 ni Russian na baadhi ya nchi zilizokuwa chini ya USSR ya zamani wakati SMG ni Chinese copy. Kwa uelewa wako najua unajua ila unajaribu kukwepesha mjadala ionekane Lisu anajichanganya. Umeommit makusudi Sub ila ukachukua Machine Gun ili kutimiza lengo lako. Come one brother hizo sio level zako.
Duh, safi sana kiongozi kutunyambulia na kututoa matongotongo alotupaka Huyu Paskalia
 
N
Once it was AK 47s and now it's Machine Guns!. These inconsistencies are not good at all.

Kwenye bandiko langu kuhoji the role of dereva wa Lissu kwenye tukio hili.

Dereva wa Lissu ndiye aliyewaona washambulizi, na ndiye aliyesema Bunduki zile ni AK.47, nikauliza mtu wa kawaida asiyejua mambo ya silaha anazijuaje AK. 47?, kwa sababu sisi Tanzania, hatuzitumii ?.

Kwenye haya yanayosemwa na Lissu kuhusu shumbulizi lile, kuna mengine ya kweli na mengine ya uongo. Kwa kuanzia idadi ya risasi, kama polisi wetu ni makini, wameokota maganda na wamehesabu matundu sskwenye gari. Taarifa ya ni risasi ngapi, za silaha za aina gani should have been easily clarified na polisi wetu.

Taarifa ya ni risasi ngapi zilimuingia Tundu Lissu, hii ni taarifa ya kidakitari, atakuwa alipigwa full body exray pale Dodoma hospital, walitibu matundu yote ya risasi, walizichomoa walizoweza lakini zilingia ngapi wanajua, kwanini hawasemi.

Uongo always unakuwa defeated na ukweli, kwa nini jeshi letu la polisi halijasema kitu, hivyo all the info kuhusu shumbulizi lile zinazo trend kwenye international circles ni from s single source Tundu Lissu na dereva wake, hivyo hata wakisema uongo au kuongezea chumvi, itaonekana huo ndio ukweli wenyewe, kwa nini jeshi letu la polisi, limeshikwa na ganzi na kigugumizi cha ajabu kuzungumzia tukio hili?.

Hoja ya kumsubiria Lissu na dereva wake wahojiwe, doesn't hold water, jee wote wangeuwawa kwenye tukio, uchunguzi usingefanyika kwa sababu hakuna shuhuda?.

Lissu ameshambuliwa vibaya kwa nia ya kumuua, kwa sasa ana ehueni ila bado anahitaji compassion, ila kwa vile mwenyewe anaongea sana, na vitu vingine haviko very straight, ikitokea tuu mtu objective kuhoji lolote alilosema Lissu huchelewi kunyooshewa vidole humu.

Huu ukimya huu...
P.
USIISHIE TU KULIKE REPLY BALI Uje ujibu hoja kwa nn maksudi umeamua hadharani kutupotosha ilihali ww kama mwandishi wa habari jamii inakutegemea.
 
Pascal, unapashwa kuelewa kuwa bunduki yoyote inayoweza kufyatuliwa na kutoa risasi nyingi mfululizo moja kwa moja hiyo ni Machine Gun.

US Federal Law stipulates that a select fire, i.e. can switch between firing semi automatically or fully automatically, AK-47 is a Machine Gun. The Military would call it (An Assault Rifle). Hivyo hoja ya kuwa silaha iliyotumika ilikuwa Machine Gun inabaki pale pale.

Sasa hoja ya kusema sisi Tanzania hatuzitumii AK-47 Assault Rifle, haina msingi kwani hatuna ushahidi kama wewe umo miongoni mwa wale walio ktk idara inayohusika na mambo ya Military Hardware Procurement Unit of the TPDF.

Huwezi kujua kwani ktk eneo hili la maziwa makuu kuna Massive Proliferation of Small Arms na mara nyingj tu majeshi yetu yameweza kuzitwaa kutoka kwa wahalifu mbali mbali, hivyo wanazo kwenye armory zao.

Kuhusu kuongea mno kwa Lissu, nafikiri that's inevitable, kwani ana-exploit the vacuum left by the government kwani serikali ambayo ndio ilitakiwa kushughulikia hii issue kitambo imeshikwa na aibu labda kwa kushindwa waanzeje hadi wakawapa watu nafasi ya kuwaona kama washukiwa wakuu.

Believe me, hili swala tayari limeshakuwa "The Achilles Tendon" ya hii serikali na as the days go by, litazidi kuwatesa sana na kuwa-alienate na yale mataifa yaliyokuwa yakiwafadhili. It's very cowardly and inept act the country has ever faced.
 
AK 47 popular/ standard weapon security forces ; waasia ,magaidi alike. Any obsevant mind anaifahamu bila utaalam wa silaha.When all is said and done katika historia ya Tanzania hapajawahi kutokea shujaa mtetezi wa haki kama Lissu.
 
Mjadala umehamia kumponda mayalla. Bavicha mna kazi aiseeh.
yote hii ni kumtetea mwanasheria msomi. Hivi ktk kesi ambayo angekuwa anaiwasilisha Tundu lissu mahakamani, hakimu au jurors wakasikia leo jamaa anasema smg kesho ak47, mnadhani kutakuwa na kesi tena hapa?
 
Pascal, unapashwa kuelewa kuwa bunduki yoyote inayoweza kufyatuliwa na kutoa risasi nyingi mfululizo moja kwa moja hiyo ni Machine Gun.

US Federal Law stipulates that a select fire, i.e. can switch between firing semi automatically or fully automatically, AK-47 is a Machine Gun. The Military would call it (An Assault Rifle). Hivyo hoja ya kuwa silaha iliyotumika ilikuwa Machine Gun inabaki pale pale.

Sasa hoja ya kusema sisi Tanzania hatuzitumii AK-47 Assault Rifle, haina msingi kwani hatuna ushahidi kama wewe umo miongoni mwa wale walio ktk idara inayohusika na mambo ya Military Hardware Procurement Unit of the TPDF.

Huwezi kujua kwani ktk eneo hili la maziwa makuu kuna Massive Proliferation of Small Arms na mara nyingj tu majeshi yetu yameweza kuzitwaa kutoka kwa wahalifu mbali mbali, hivyo wanazo kwenye armory zao.

Kuhusu kuongea mno kwa Lissu, nafikiri that's inevitable, kwani ana-exploit the vacuum left by the government kwani serikali ambayo ndio ilitakiwa kushughulikia hii issue kitambo imeshikwa na aibu labda kwa kushindwa waanzeje hadi wakawapa watu nafasi ya kuwaona kama washukiwa wakuu.

Believe me, hili swala tayari limeshakuwa "The Achilles Tendon" ya hii serikali na as the days go by, litazidi kuwatesa sana na kuwa-alienate na yale mataifa yaliyokuwa yakiwafadhili. It's very cowardly and inept act the country has ever faced.
And this government is dealing with the issue as if Lisu is alone in the whole matter.They fail to realize that he has relatives, friends and sympathizers in millions, inside Tanzania and outside. They allow crooks and drunkards speak on their behalf without knowing that they are adding salt into an injury. Very pathetic!!!
 
Back
Top Bottom