Mail & Guardian: Shot 16 times, but still defiant

Kitu ambacho sisi kama taifa (Tanzania) tunakosea ni kwamba Lissu mpaka kwenda kuongea na vyombo vya habari vya kimataifa ni PLANNED ISSUES ya jumuiya ya kimataifa Kwa maana kwamba walimhoji kuhusu kadhia iliyompata baada ya hapo wakawa wanatafuta njia ya kupata information kutoka upande wa pili unaotuhumiwa na LISSU wakaona njia pekee ya kupata majibu/information hizo ni LISSU kwenda kwenye vyombo vya habari kuyasema Kwa kufunguka hasa kama ambavyo LISSU alivyofanya. Kazi yao ilikuwa ni kusikiliza majibu ya upande unao tuhumiwa unasema nini, kibaya zaidi upande unaotuhumiwa umetoa majibu yasiyokizi hadi kufikia hatua kuanza kumtisha mhusika na vijembe vya kila aina tena kwa watu wasio na weredi jadidi wa kujibu hoja nzito kama ambazo LISSU amezitoa.
USHAURI WANGU Kwa serikali na nchi yang.
1. Tuwe na vitengo maalumu vya watu wenye uwezo mkubwa wa kupambana na hoja nzito zinazoilenga nchi na serikali
2. Tuwadhibiti watu wengine wasio husika kujibu vitu ambavyo hawana weredi navyo kama akina Bashiru, Makonda na polepole
3. Tutofautishe lipi linatakiwa kujibiwa kisiasa na weredi wa kisiasa na lipi linatakiwa kujibiwa ki-weredi na wenye ujuzi wa kujibu ki-weredi zaidi
4. Tuache ushabiki wa kivyama unaotupelekea kuwa na chuki miongoni mwetu maana sisi sote ni Watanzania na Tanzania ni yetu sote
5. Sheria na utu wa mtu uheshimiwe asiwepo mtu hata mmoja ambaye atapanga/kunuia kumzuru mwenzie kisa tu ametofautia naye kimawazo/kimtazamo.
6. Tunapotofautia kimtazamo tuwe na utamaduni wa kukaa Meza moja kwa nashauriano ya kufikia mwafaka.
7. Kuongoza nchi ni haki ya kila Mtanzania hivyo basi tusijenge taswira kwamba kikundi/Chama fulani ndicho chenye haki ya kuiongoza nchi wakati kikundi/Chama fulani hakina haki hiyo tutasababisha vurugu na machafuko nchini. Katika hili tunatakiwa kuweka vyombo huru vitakavyosimamia haki kwa vyama vyote vya Siasa.
Tutende Kwa haki bila buguza zozote maana haki ikiendelea kuvunjwa itawafanya watu kujengeana chuki na visasi ambapo mwisho wake ni machafuko nchini.

Mungu akubariki sana. Kama mzalendo wa kweli wa nchi hii nimeipenda zaidi hili la kuwa na wasemaji maalum wa kiserikali kwenye mambo makubwa kama hili la shambulio la Lissu. Just imagine waziri anaibuka from nowhere anasema eneo la shambulio halijapata kuwa na cctv kamera. Hata kama ni kweli hazikuwepo, kwa sasa haikuwa busara kusema hivyo! Katibu Mkuu wa ccm pamoja na Ph.D yake ni janga tupu. Kama taifa tunaibika kutokana na watu wasiokuwa na weledi. Some of us are really ashamed of our own country because of these lilliputians at the helm of our politics.
 
Huyu bwana hayuko fair kwa Lissu na ameonyesha hivi kwa muda tu kupitia mabandiko yake humu.

Kuelekea uchaguzi 2015 gazebo moja hapa nchini lililokuwa serious na makini ghafla lilibadilika na wanasafu wake badala ya kuandika makala za uchambuzi wakaanza kuandika makala za kampeni ya ccm. Nini hicho kilichotokea ghafla na kuwabadilisha? Your guess is as good as mine. Hicho kilichotokea kwa hao kinaweza pia kutokea kwa Pascal! Just thinking aloud!
 
Mjadala umehamia kumponda mayalla. Bavicha mna kazi aiseeh.
yote hii ni kumtetea mwanasheria msomi. Hivi ktk kesi ambayo angekuwa anaiwasilisha Tundu lissu mahakamani, hakimu au jurors wakasikia leo jamaa anasema smg kesho ak47, mnadhani kutakuwa na kesi tena hapa?
Kwa hiyo unatuaminisha kuwa Bavicha ndiyo wana vichwa vya kuweza kuchambua mambo kisomi na uvccm wamejaaliwa kukata viuno na kumpigia vigelegele mfalme. Asante kwa taarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal is always poor in English!
Lissu amewaambukiza vibaraka wake. Nilishangaa kwenye kikao chake cha kuomba michango huko us akitokwa na mishipa shingoni eti rais hawezi unga sentence tatu za kizungu kisha kuna waalikwa wa nchi za magharibi mwa afrika walioalikwa kujaza ukumbi wakawa wanapiga makofi, nikajiuliza huyu lisdu amepona akili kweli?
Mnaacha hoja za msingi mnaangalia lugha ambayo muda huo nanyi mnamkosa mtu kuwa hajui au anakosea kizungu kwa kutumia kiswahili.
 
Truthfully speaking the damage to the nation before the eyes of the international community is huge. To clear the atmosphere, the president must come out for clarification.
The late Mwalimu Nyerere used to do this. When bad colors were being painted against our country either in London, Washington or elsewhere, he would convene an assembly of Dar es Salaam elders, and through them address the nation as well as the international community.
His predicessors, namely Mwinyi, Mkapa and Kikwete did the same thing. President Magufuli should see the seriousness of Mr Lisu's allegations against him and his government. He should not allow other people like Waitara make statements which enlarges the gap of distortion and hatred.
Let me remind our dear president that the opposition members are millions, thus, planning to eliminate one of their leaders is to engage the trouble unnecessarily.
Huyu uwezo hana ni bahati mbaya alisukumiziwa kule
 
to
Mungu akubariki sana. Kama mzalendo wa kweli wa nchi hii nimeipenda zaidi hili la kuwa na wasemaji maalum wa kiserikali kwenye mambo makubwa kama hili la shambulio la Lissu. Just imagine waziri anaibuka from nowhere anasema eneo la shambulio halijapata kuwa na cctv kamera. Hata kama ni kweli hazikuwepo, kwa sasa haikuwa busara kusema hivyo! Katibu Mkuu wa ccm pamoja na Ph.D yake ni janga tupu. Kama taifa tunaibika kutokana na watu wasiokuwa na weledi. Some of us are really ashamed of our own country because of these lilliputians at the helm of our politics.
Kaka mimi nimeanza kuiogopa nchi yangu na Mama yangu Tanzania, huwa napitaga kwenye social media mbalimbali jinsi watu wanavyojibizana Kwa matusi na kejeli!!!!!!! Watanzania wenzangu vita huwa vinatokeaga /vinachochewaga mahali ambapo watu wamefarakana, Watanzania mpaka sasa tumefarakana vya kutosha.
Nashangaa dalili zote hizi zinaonekana lakini Marais wastafu wamenyamaza kimya, viongozi wa dini wamekaa kimya tunaelekea wapi Watanzania wenzangu. Inashangaza utakuta hoja nzuri imetolewa hapa jukwani lakini majibu yanakuwa ya kivyama, nani atatuunganisha sisi Watanzania ili tuwe kitu kimoja mimi mpaka sasa sijamuona zaidi ya kuibadilisha katiba
 
SMG maana yake ni Sub Machine Gun.
Zipo SMG aina nyingi sana na zinakuwa categorized na ile rate of fire, yaani idadi ya risasi zinazotemwa kwa dakika.

AK47 ni aina moja tu kati ya aina nyingi za SMG.
AK47(Mikhail Klasnikov) ni kifupi cha mgunduzi Mrusi wa silaha hii aliyeigundua mwaka 1947.
 
Lissu amewaambukiza vibaraka wake. Nilishangaa kwenye kikao chake cha kuomba michango huko us akitokwa na mishipa shingoni eti rais hawezi unga sentence tatu za kizungu kisha kuna waalikwa wa nchi za magharibi mwa afrika walioalikwa kujaza ukumbi wakawa wanapiga makofi, nikajiuliza huyu lisdu amepona akili kweli?
Mnaacha hoja za msingi mnaangalia lugha ambayo muda huo nanyi mnamkosa mtu kuwa hajui au anakosea kizungu kwa kutumia kiswahili.
Same way sisi tunavyoangalia namna ya uwasilishaji au aina ya lugha ilitumika kufikisha ujumbe badala ya kujikita kuangalia maudhui.kama isingekuwa ujinga huu unadhani tungekuwa na sheria ya mtandao? HII SHERIA IPO KWA KUWA WATAWALA WETU BADALA YA KUHANGAIKA NA DHIMA AU CONTENT WAO WANAHANGAIKA NA 1.NANI KAONGEA 2. KAWASILISHAJE- YAANI KAMA UWASHILISHAJI YA LISSU NDO HAWATAKI KABISA EVEN IF THE GUY HAS A GOOD POINT.3.KATUMIA LUGHA GANI. is like wanataka wote tuongee kama mababa askofu.yaani uongoze 50m people then utegemee wote wawe walokole? Lets wait and see
 
to
Kaka mimi nimeanza kuiogopa nchi yangu na Mama yangu Tanzania, huwa napitaga kwenye social media mbalimbali jinsi watu wanavyojibizana Kwa matusi na kejeli!!!!!!! Watanzania wenzangu vita huwa vinatokeaga /vinachochewaga mahali ambapo watu wamefarakana, Watanzania mpaka sasa tumefarakana vya kutosha.
Nashangaa dalili zote hizi zinaonekana lakini Marais wastafu wamenyamaza kimya, viongozi wa dini wamekaa kimya tunaelekea wapi Watanzania wenzangu. Inashangaza utakuta hoja nzuri imetolewa hapa jukwani lakini majibu yanakuwa ya kivyama, nani atatuunganisha sisi Watanzania ili tuwe kitu kimoja mimi mpaka sasa sijamuona zaidi ya kuibadilisha katiba
natamani tufike huko haraka ili baada ya hapo tuanze kuheshimiana
 
Wewe ungechagua upigwe risasi 32/16 kwa bunduki gani, Paschal?

Once it was AK 47s and now it's Machine Guns!. These inconsistencies are not good at all.

Kwenye bandiko langu kuhoji the role of dereva wa Lissu kwenye tukio hili.

Dereva wa Lissu ndiye aliyewaona washambulizi, na ndiye aliyesema Bunduki zile ni AK.47, nikauliza mtu wa kawaida asiyejua mambo ya silaha anazijuaje AK. 47?, kwa sababu sisi Tanzania, hatuzitumii ?.

Kwenye haya yanayosemwa na Lissu kuhusu shumbulizi lile, kuna mengine ya kweli na mengine ya uongo. Kwa kuanzia idadi ya risasi, kama polisi wetu ni makini, wameokota maganda na wamehesabu matundu sskwenye gari. Taarifa ya ni risasi ngapi, za silaha za aina gani should have been easily clarified na polisi wetu.

Taarifa ya ni risasi ngapi zilimuingia Tundu Lissu, hii ni taarifa ya kidakitari, atakuwa alipigwa full body exray pale Dodoma hospital, walitibu matundu yote ya risasi, walizichomoa walizoweza lakini zilingia ngapi wanajua, kwanini hawasemi.

Uongo always unakuwa defeated na ukweli, kwa nini jeshi letu la polisi halijasema kitu, hivyo all the info kuhusu shumbulizi lile zinazo trend kwenye international circles ni from s single source Tundu Lissu na dereva wake, hivyo hata wakisema uongo au kuongezea chumvi, itaonekana huo ndio ukweli wenyewe, kwa nini jeshi letu la polisi, limeshikwa na ganzi na kigugumizi cha ajabu kuzungumzia tukio hili?.

Hoja ya kumsubiria Lissu na dereva wake wahojiwe, doesn't hold water, jee wote wangeuwawa kwenye tukio, uchunguzi usingefanyika kwa sababu hakuna shuhuda?.

Lissu ameshambuliwa vibaya kwa nia ya kumuua, kwa sasa ana ehueni ila bado anahitaji compassion, ila kwa vile mwenyewe anaongea sana, na vitu vingine haviko very straight, ikitokea tuu mtu objective kuhoji lolote alilosema Lissu huchelewi kunyooshewa vidole humu.

Huu ukimya huu...
P.
 
Paskali kaka yangu; leo ninapoandika haya ni jumapili. Naona unaanza kujaribu kuleta utetezi kuwa kuna mashaka ya leo kuwa jumapili kuwa Australia inakaribia kuwa jumatatu na US bado ni jumamosi, kwa maana hiyo hatuwezi kusema kwa uhakika kuwa leo ni Jumapili.
AK 47 ni sub-machine guns na Tundu Lissu alipigwa risasi. Iwe moja au mbili, fact ni kuwa alipigwa risasi na serikali ikazuia hata waliotaka kumuombea wasifanye hivyo. Kuna watu walikamatwa kwa kuvaa tu t-shirt zilizoandikwa "Pray for Lissu". Kuna lipi lililobaki ili mtu awe na fair idea kuwa mhusika wa mkasa mzima ni nani?

Wahasibu huwa tunasema hivi (wakati tuna-categorize transaction into an Income Statement or Balance Sheet item):
If it looks like a duck, walks like a duck and quacks like a duck it is indeed a duck.
 
Paskali kaka yangu; leo ninapoandika haya ni jumapili. Naona unaanza kujaribu kuleta utetezi kuwa kuna mashaka ya leo kuwa jumapili kuwa Australia inakaribia kuwa jumatatu na US bado ni jumamosi, kwa maana hiyo hatuwezi kusema kwa uhakika kuwa leo ni Jumapili.
AK 47 ni sub-machine guns na Tundu Lissu alipigwa risasi. Iwe moja au mbili, fact ni kuwa alipigwa risasi na serikali ikazuia hata waliotaka kumuombea wasifanye hivyo. Kuna watu walikamatwa kwa kuvaa tu t-shirt zilizoandikwa "Pray for Lissu". Kuna lipi lililobaki ili mtu awe na fair idea kuwa mhusika wa mkasa mzima ni nani?Wahasibu huwa tunasema hivi (wakati tuna-categorize transaction into an Income Statement or Balance Sheet item): If it looks like a duck, walks like a duck and quacks like a duck it is indeed a duck.
Mkuu Mfiaukweli, kiukweli, unaliishi jina lako. Nimeipenda hii ya "If it looks like a duck, walks like a duck and quacks like a duck it is indeed a duck"
P.
 
Once it was AK 47s and now it's Machine Guns!. These inconsistencies are not good at all.

Kwenye bandiko langu kuhoji the role of dereva wa Lissu kwenye tukio hili.

Dereva wa Lissu ndiye aliyewaona washambulizi, na ndiye aliyesema Bunduki zile ni AK.47, nikauliza mtu wa kawaida asiyejua mambo ya silaha anazijuaje AK. 47?, kwa sababu sisi Tanzania, hatuzitumii ?.

Kwenye haya yanayosemwa na Lissu kuhusu shumbulizi lile, kuna mengine ya kweli na mengine ya uongo. Kwa kuanzia idadi ya risasi, kama polisi wetu ni makini, wameokota maganda na wamehesabu matundu sskwenye gari. Taarifa ya ni risasi ngapi, za silaha za aina gani should have been easily clarified na polisi wetu.

Taarifa ya ni risasi ngapi zilimuingia Tundu Lissu, hii ni taarifa ya kidakitari, atakuwa alipigwa full body exray pale Dodoma hospital, walitibu matundu yote ya risasi, walizichomoa walizoweza lakini zilingia ngapi wanajua, kwanini hawasemi.

Uongo always unakuwa defeated na ukweli, kwa nini jeshi letu la polisi halijasema kitu, hivyo all the info kuhusu shumbulizi lile zinazo trend kwenye international circles ni from s single source Tundu Lissu na dereva wake, hivyo hata wakisema uongo au kuongezea chumvi, itaonekana huo ndio ukweli wenyewe, kwa nini jeshi letu la polisi, limeshikwa na ganzi na kigugumizi cha ajabu kuzungumzia tukio hili?.

Hoja ya kumsubiria Lissu na dereva wake wahojiwe, doesn't hold water, jee wote wangeuwawa kwenye tukio, uchunguzi usingefanyika kwa sababu hakuna shuhuda?.

Lissu ameshambuliwa vibaya kwa nia ya kumuua, kwa sasa ana ehueni ila bado anahitaji compassion, ila kwa vile mwenyewe anaongea sana, na vitu vingine haviko very straight, ikitokea tuu mtu objective kuhoji lolote alilosema Lissu huchelewi kunyooshewa vidole humu.

Huu ukimya huu...
P.
Huhitaji kuwa mwanajeshi ili kujua baadhi ya aina ya silaha, ni udadisi na utundu wa kufuatilia mambo.
Kwa hiyo si ajabu kujua aina za Bunduki.
AK-47 ina appearance ya SMG, lakini yenyewe ni nene kiasi na siyo ndefu Kama SMG,ni rahisi tu kuitambua Kama wewe ni mdadisi Sana wa mambo.
Ukiweka Uzi Gun ya Ki Israel, M16 ya kimarekani, na Short Gun na Riffle mbona zinajieleza wazi kabisa?
Kwa hiyo si ajabu Dereva kutambua aina ya Bunduki.
Kuhusu idadi ya Risasi alizorushiwa Lissu kwamba ni 38, hiyo Taarifa walitoa Police na siyo Lissu, Ktk eneo la tukio waliokota maganda ya Risasi 30 za SMG (kwa mujibu wa police) na maganda ya Risasi 8 za Riffle, Dereva anasema haikuwa SMG bali ilikuwa AK47.
Kusema eti siye hatutumii AK47, si kweli hizi Bunduki zipo nyingi mno JWTZ, Nimeshuhudia.
Niishie hapa na tumwache Mr Karma aje afanye kazi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom