Maigizo ya “MFUNGWA WA SAMIA”

G

guest-1787677255

Guest
Hii nchi ya ajabu sana na hatujui lengo la haya maigizo ya yule mfungwa hususani wa kiume yanamaanisha nini.

Binafsi, namfahamu yule jamaa na kama kuna mtu wa Newala anaweza akawa anamjua yule jamaa.

Yule jamaa wa kiume sio mfungwa na hajawahi kufungwa popote. Namjua na anaishi Newala.

Jamaa anaitwa Rashid Juma anaishi hapa Kikuyu Newala st. Marry Street. Hajawahi kufungwa mahali Popote. Jamaa huwa anajifanyaga Mtu wa System na ni kada maarufu hapa Newala. Huu uongo wa Bibi yenu kama ulikuwa kwa lengo la kupoteza maboya(SPINNING) kuhusu Mafuta au kuhusu 29 October, mwambieni alete igizo lingine.

Inasikitisha sana. Huyu mama ni wa ajabu sana.
 
Maigizo ya mfungwa wa samia yanakuathiri vipi?
 
Mi CHADEMA mnapenda sana uongo , uzushi na Majungu. Jitokeze hadharani utoe ushahidi wako.
 
Wanaharakati wengi wapigaji account nyingi Al, kwa kuchangisha michango kwa story za kutunga wana grade A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…