Huyo mzee wa katikati ni Pele?
Pele wa Chato.aloo nilitaka kusema hivyo umeniwahi...
Huyu mzee kafana sana na Pele
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Kawaha na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui dodoma.
2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.
3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...
Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mzee wa katikati ni Pele?
Anaigiza na yeye ni mnyonge.1. Kawaha na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui dodoma.
2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.
3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...
Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa mwananchi wa kutengeneza. [emoji3]Sijawahi kumuona Chuttle maisha yangu yote
Jr[emoji769]
Kuna siku ulituwekea uzi jamaa yuko na muuza mahindi aliye ficha bastola kwa nyuma, weka tena ili somo liwe tamuSijawahi kumuona Chuttle maisha yangu yote
Jr[emoji769]
mdogo wake. HahahahHuyo mzee wa katikati ni Pele?
Sijawahi kumuona Chuttle maisha yangu yote
Jr[emoji769]
Jiwe bana, amalize tu muhula wake mmoja akapumzike1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.