Maids Matata

Kasie: mtata katika ubora wake, na hpo upo na ww nimekuona, kumbe chura unalo la haja! Ngoja nitumie Google maps kutafta namba zako

Weeh ukistukia dili usiseme kwanguvu unawaamsha waliolala. Ssshhh iwe siri yako.
 
Hpa nimejikunja kwenye Google kama yule jamaa wa Mexico natafta namba ya kasie matata na kama mtu anayo hpa jf naomba anitumie uku Odesa
 
Ona sasa ona.....

Hahahahahahaaa

Ona sasa .... hatarii.

Na remix na Malembee andradaa kusemaa..... nze nze nze nze nze nze

Shelii I love you, shelii na motemaa... papaa Koffi.
 
Hpa nimejikunja kwenye Google kama yule jamaa wa Mexico natafta namba ya kasie matata na kama mtu anayo hpa jf naomba anitumie uku Odesa

Sasa mbona unapata shida hivooo yaani wewe unavonadi hapa wenzio washakuzidi kete washalipia safari ya Mauritius ......

December hiyooo.....

Makwandumwe mamaa makwandumwe maamaaa..... peepoo peepoo. ... peepoo peepoo. .....

Swing swing swingimaa. ..... yatakase mamaa yatakase mamaa. .....dusimaa. ......

Wapi kiuno na nyonga eeh hapana chezea sebene.

K' Matata.
 
Tiketi ya Monaco mimi natoa badilishia gia angani, au twende Venice kwa hilo chura kweli kasie ni matata
 
Yeebaah wuuhuuuu Kasie Matata

Jina lako ndugu nimeshindwa kulitamka mweeh!!

Thanks in advance T, raha sana kutunzwa aiseeh.
Kasie Matata.
 
Unaona show off iyo kwenye avatar yangu nimeishika mkononi kasie? Iyo nitakutengenezea Pete achana na tiketi ya moriutius, Christmas tukaifaidi kwenye mji wa Monaco nipitie uku Odesa Ukraine Mama
 
Hahahahahahaaa una mbwe mbwee.....

Usinilaghai nikamsahau Dadii tafadhali....

Safari naitaka, pesa naitaka na Kasie ni Matata.
 
Kasie mboga dagaa kuku ham2 Dadii utamkuta alaf unaachaje hii nyota ya jaa [emoji184] [emoji184]
 
Ooh salaaah.... Mahaba ni kitu hatari sana.

Dadii ni zaidi ya mboga, ni zaidi ya kitoweo, ni zaidi ya mlo kamili.....

Mmhh sijui kanilisha nini huyu mwanaume....
 
Shuntama la kwa akina Asimwe itakua iyo, lkn kumbuka mimi ninakupa Blood Diamond na [emoji632] tunaenda kula[emoji224] [emoji224]
 
Duuh Mkuu haya bana acha wakubwa wafaidi
 
Shuntama la kwa akina Asimwe itakua iyo, lkn kumbuka mimi ninakupa Blood Diamond na [emoji632] tunaenda kula[emoji224] [emoji224]

Mmhh kama ni shuntama basi kali peke cha kwelikweli hadi limepenya kunako....

Ila kama unanitia vile......

Kasie hajaribiwi ujue....
 
Sasa unakuta bi harusi yeye kapigwa pasi ya makalio

Hahahahahahaaa hatarii, ila cha muhimu awe na nyonga laini makalio hata pundamilia anayo hehehehee.
 
Kama aliyekuwa anaolewa ni kimbaumbau bhasi mwamba atakuwa anahisi kama alikosea hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…