Mahusiano yanavyoweza kubadili maisha

Mahusiano yanavyoweza kubadili maisha

Inawezekana ila binadamu hatuna macho ambayo yanaona hilo nipo clab nakutana na binti mrembo anafaa kwa matumizi ya mwanaume naenda kupiga

Na hilo ndo linalotumaliza,anafaa kwa matumizi yapi??huogopi mtu usiemjua kumchukua??
 
Mind over matter...., ukiyaendekeza, ukiyaamini yatakukuta.., hata kama hayapo na ni ya kufikirika.., cha muhimu ni kutokuendekeza / kutokuyaamini...

Wengine wanasema fulani ana majini ila kumbe ni Multiple Personality Disorder.., wengine wanaita jini mahaba kumbe ni nymphomaniac.., after all "Idle Hands are the Devils Playthings" Ukiwa mkaa bure unajichanga na ma-opposite sex katika sehemu tata lazima utapata kishawishi na kila wakati kuwaza/kuota mapenzi.., nothing to do with spirits, Ukiwa busy mtu wa zoezi na mambo mengi ya kufanya hata ukijitupa kitandani hautakumbuka umeota nini na sauti ya kwanza utakayosikia itakuwa ni alarm inakuamsha.
 
Hahaaaaa mambo ya phantom pregnancies hayo! Kuna hata magonjwa yaliyo phantom na ambayo yanatibika na placebos

Mwanamke anakuwa anajiona na kujisikia ana mimba wakati kiuhalisia hana.

a phantom pregnancy [=a medical condition in which a woman believes that she is pregnant and can appear to be pregnant when she is not pregnant]

Source

In our field pia tunaziita biological pregnancies..nakuelewa sana unachosema but this is a different issue...huyu mtu hafeel kabisa kuwa pregnant in real life lakini akiwa kwenye ndoto there is a man anakuja kwa ndoto,and she finds herself pregnant ila akiwa kwenye ndoto tuu
 
Mind over matter...., ukiyaendekeza, ukiyaamini yatakukuta.., hata kama hayapo na ni ya kufikirika.., cha muhimu ni kutokuendekeza / kutokuyaamini...

Wengine wanasema fulani ana majini ila kumbe ni Multiple Personality Disorder.., wengine wanaita jini mahaba kumbe ni nymphomaniac.., after all "Idle Hands are the Devils Playthings" Ukiwa mkaa bure unajichanga na ma-opposite sex katika sehemu tata lazima utapata kishawishi na kila wakati kuwaza/kuota mapenzi.., nothing to do with spirits, Ukiwa busy mtu wa zoezi na mambo mengi ya kufanya hata ukijitupa kitandani hautakumbuka umeota nini na sauti ya kwanza utakayosikia itakuwa ni alarm inakuamsha.

Kama mdau mmoja alivyosema hapo ni mambo ya imani zaidi,kuna wanaojua yapo na kuna wasioamini pia..
 
Mind over matter...., ukiyaendekeza, ukiyaamini yatakukuta.., hata kama hayapo na ni ya kufikirika.., cha muhimu ni kutokuendekeza / kutokuyaamini...

Finally..somebody who gets it! Mambo ya self-fulfilling prophecies hayo.

Wengine wanasema fulani ana majini ila kumbe ni Multiple Personality Disorder.., wengine wanaita jini mahaba kumbe ni nymphomaniac.., after all "Idle Hands are the Devils Playthings" Ukiwa mkaa bure unajichanga na ma-opposite sex katika sehemu tata lazima utapata kishawishi na kila wakati kuwaza/kuota mapenzi.., nothing to do with spirits, Ukiwa busy mtu wa zoezi na mambo mengi ya kufanya hata ukijitupa kitandani hautakumbuka umeota nini na sauti ya kwanza utakayosikia itakuwa ni alarm inakuamsha.

Mambo ya paracusia (auditory hallucinations) na paranoia hayo. Unakuta mtu anasumbuliwa na delusional paranoia pamoja na paracusia lakini kwa vile kibongo bongo mambo ya mental health ni sawa na hakuna, basi default sababu inakuwa ndo hayo mambo ya kiimani (iwe za kishirikina au kidini) kumbe mtu wa watu ana matatizo ya akili.

Na mara nyingi hayo matatizo yanakuwa undiagnosed huku kwetu.
 
In our field pia tunaziita biological pregnancies..nakuelewa sana unachosema but this is a different issue...huyu mtu hafeel kabisa kuwa pregnant in real life lakini akiwa kwenye ndoto there is a man anakuja kwa ndoto,and she finds herself pregnant ila akiwa kwenye ndoto tuu

Ahahahahaaa hahahaaaaa....

Ala! Sasa kumbe wewe unazungumzia ndoto tu hizi za kawaida ambazo binadamu huziota kila akiwa amelala.

Mbona hata mimi huwa naota mara kibao tu kuwa namega ma super model na nikistuka nakuta kweli nimelowanisha shuka!

So kama mtu anaweza kuota anammega Cindy Crawford sioni kwa nini mwingine asiweze kuota yu mja mzito na kujifungua kabisa (ingawa ni ndotoni tu).

Wengine wapo huota wakilia na kweli wakistuka toka usingizini wanajikuta wametoa machozi.

Ndoto ni jambo la kawaida sana.
 
Hahaha..too bad ni siwezi kuweka ushahidi because these things are more spiritually,ila hivi vitu vipo sanaa,ngoja victims watakuja kusema hapa
 
Welp, hata mi siwezi kuleta ushahidi wa shuka yangu niliyoilowanisha....ni aibu.
 
Hahaha..too bad ni siwezi kuweka ushahidi because these things are more spiritually,ila hivi vitu vipo sanaa,ngoja victims watakuja kusema hapa

Tatizo hata wakisema haitamaanisha chochote..., issue sio kwamba hawaoti / hawaoni, bali ni kwamba kile wanachokiota/wanachokiona kinasababishwa na nini.

Mfano mimi nikianza kuona vitu ambavyo wengine hawavioni nadhani itakuwa ni busara kutafuta medical help au kuanza kuogopa kwamba something is not right upstairs.., hatukatai kwamba watu hawaoni vitu ambavyo havipo kwa sababu moja au nyingine (hallucinations n.k.) bali hapa ni ile conclusion..., je ni spirits au ni kuchanganyikiwa au being high au mawazo fulani akilini ? Wengine wakipiga sigara kubwa wanajiona wanapaa.., au kuna mushrooms fulani ukila kuna substances fulani zinakuwa released unaona/feel vitu ambavyo havipo.

Cha muhimu mtu kama anaona ndoa yake inaharibika kwa kupoteza feelings kwa mwenza wake ni bora kutafuta njia ya ku-spice up their relationship na sio kutafuta mchawi au kuongeza mawazo mengine kichwani ambayo mwisho wake kwa kweli unaweza kuwa ndivyo sivyo..., kama unaota mtu fulani kila siku jaribu ku-trick akili yako kwamba huyo jirani yako ndio huyo mtu ili umalizie haja zako kwake...
 
aaaah BRENDA 18 hamna kitu kama hicho
 
Last edited by a moderator:
Ina maana Brenda mimi huota nna ujauzito,mara naota nimejifungua mtoto,mara naota nna mtoto ashakua mkubwaa na sina ujauzito wala ninii kiuhalisia ina maana ndio spritual husband? ??
Sijawah ota na du na kidume kingine
Hebu nijibu halaf nikojoe nilale mie
 
Nikweli hayo mambo nishawahi kuyackia tuwe makini coz unaweza ku du namwanamke kesho yake ukapata pesa sana naunaweza kutembea na mwanamke kesho yake biashara ikagoma au ukafukuzwa kazi tuwe makini halafu nahitaji kusaidiwa mnielekeze jinsi ya kuweka mada najinsi ya kuweka profile picture naombeni msaada wenu wakuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nenda jukwaa la complain tafwadhaliiiiu
 
Hii mambo kuielewa vizuri ni lazima uwe deep spiritually lakini hivi hivi kamwe hutaweza kuelewa.
Lakini hivi vitu vipo sana tu.

Tazama story ya Ibrahimu ambye mkewe Sarah alikuwa tasa lakini kwa maombi Mungu akamfungua akazaa akiwaa Mzee. Isaka ambae ni mtoto wa Sarah naye alipooa alipata same story kama ya baba yake. Leah nae alikuwa amefungwa tumbo. So ni spirit ileile ilikuwa inazunguka ktk familia
 
Ina maana Brenda mimi huota nna ujauzito,mara naota nimejifungua mtoto,mara naota nna mtoto ashakua mkubwaa na sina ujauzito wala ninii kiuhalisia ina maana ndio spritual husband? ??
Sijawah ota na du na kidume kingine
Hebu nijibu halaf nikojoe nilale mie

Pole sana nenda mckitini ukasomewe dua au kanisani ukafanyiwe maombi

Back
Top Bottom