brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,301
Habari wana MMU
Katika pita pita zangu nilikutana na jambo nikajifunza kitu pengine huu ulikuwa mtazamo wangu hivyo ningependa kujua mitazamo ya wengine.Mtanisamehe kama nitachanganya lugha lakini dhumuni langu ni kueleweka,na pia kama nitaegamia upande mmoja nitaomba tu mnivumilie
Kumekuwa na imani ya kwamba baadhi ya watu wanakuwa na spiritual husbands and wives mara nyingi nimeskia hao ndo jini mahaba.Hawa spiritual creatures wanakuwa wameteka Love life ya muhusika kiasi cha kufanya ashindwe kuwa na mahusiano mazuri na yule ampendaye,either kuleta ugomvi usio na sababu kila mara au kuleta mikosi na balaa kwa huyo ampendaye.Na hii ndo chanzo cha vilio vingi katika mahusiano
Viumbe hawa(spiritual husbands and wives) mara nyingi hupenda kuattack wanawake kutokana na udhaifu tulioumbwa nao.Relationship inaanza mwezi wa kwanza,mwezi wa pili biashara zako zinaanza kunyauka,mikosi,ajali,magonjwa na mabalaa mengine yanakuandama kumbe chanzo ni you have a spiritual war na hao viumbe
Sasa kwa wale wa one night stand,au wale wanaochepuka ni kutafuta mikosi tu na mabalaa..hebu imagine mtu humjui mmekutana na kugegedana,omg if only we could see who we are letting in our beds,am sure they wouldn't make it past hell,siwezi kusema sana kwa walio kwenye ndoa kwasababu bado sijafika huko lakini bado mambo ni yale yale tunafanya ugumu wa maisha kwa vitu vidogo tunavyovineglect
Wengi wetu mpaka sasa our lives zimeshabadilishwa sana kutokana na mambo tuliyoyafanya nyuma mostly ikiwa ni Kula ujana,unagegedana na mtu usiemjua kuhusu maisha yake mostly spiritual life na kuvaa matatizo
Na kwakua tumetanguliza kugegedana kwanza,kupimana nani ana kibamia nani ana tango,nani mnato nani bwawa basi ndo tunajisahau haya mengine
My take is tuwe waangalifu sana when it comes to relationship issues tuwe na some factors and look beyond them,at some point we are too old to be building attraction on who's fly,cute,has money,nice body etc.It's time we focus on more important things like who comes from a good family,who as ambitions,goals and future,life ain't about bad bitches and rich niggas
Tusisahau we are products of our actions
Weekend njema