Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,118
- 72,598
Pole sana nenda mckitini ukasomewe dua au kanisani ukafanyiwe maombi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Niende nikasemejee kua naota halaf niombeweee
Pole sana nenda mckitini ukasomewe dua au kanisani ukafanyiwe maombi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Nenda jukwaa la complain tafwadhaliiiiu
Niende nikasemejee kua naota halaf niombeweee
Ndoivyo...itabidi uende tu
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ina maana Brenda mimi huota nna ujauzito,mara naota nimejifungua mtoto,mara naota nna mtoto ashakua mkubwaa na sina ujauzito wala ninii kiuhalisia ina maana ndio spritual husband? ??
Sijawah ota na du na kidume kingine
Hebu nijibu halaf nikojoe nilale mie
Hahaha...we dina izo ndoto unaota mfululizo hadi mtoto anapokua mkubwa??
I have schizo affective disorder na nilipoanza kuumwa familia yangu walidhani nimerogwa lol nilipelekwa kuombewa kwa mchungaji mmoja nikapona kwa usiku mmoja lol kesho yake naamka nilimfungia mama ndani nikaenda kusikojulikana nashukuru mama mmoja alipiga simu polisi wakanidaka as a believer i believe theres dark forces/spiritual husbands but lack of awareness kwa mental issues ktk jamii yetu ni jambo la kuzingatia pia,ukiumwa mentaly wengi wanaloose job,school and become homeless sababu unakuwa huna concetration,delusional believes and you cant function.....na hapo ndipo wanasema umelogwa...lol......ila km ukipata msaada you can take a grip of your life again.....
Sijautelekeza mamii sipati notifications ontime sijui shida nini
Khaaa dina,ila ndoto zina maana yake ujue??sasa hii yako ya kujifungua dogo anatembea ni kali
Huyu wako katoka anatembea hahah,atakuwa wa kipekeeee,kaingie basi tuje kwenye baby shower😉
Hahahahahah,humu ndani mtanifanya chizi,umejuaje???ntakuja na ndoo ya Silva hahahah,hufai wewe
Hahaha..too bad ni siwezi kuweka ushahidi because these things are more spiritually,ila hivi vitu vipo sanaa,ngoja victims watakuja kusema hapa