Mahusiano yanavyoweza kubadili maisha

Mahusiano yanavyoweza kubadili maisha

Mke wa Isaka alikuwa Lea au Rebbeca? Kwa kumbukumbu zangu watoto wa Isaka ni Hesau (mwindaji) na Yakob(mkulima). Hesau aliuza uzaliwa wake wa kwanza kwa yakob kwa dengu.

Baada ya Yakob kubeba baraka za uzaliwa wa kwanza wa Hesau kwa msaada wa mama yao, mtafaruku huo ulimfanya Yakob kuhama kwao. Alienda kuishi kwa mjomba wake Labani. Huko ndiko alikompenda Rahel, bi mdogo lakini akaozeshwa Lea, bi mkubwa kwa janjajanja. Baadaye tena ndio akaozeshwa Rahel, kila mke alimfanyia kazi kwa miaka 7.

Sijajua Lea gani alichelewa kuzaa kwenye biblia. Lea wa Yakob aliwazaa akina Reuben na wenzie 6 nadhani, Rahel alizaa Yosef(aliyeuzwa Misri na nduguze) na Benjamin.


Hii mambo kuielewa vizuri ni lazima uwe deep spiritually lakini hivi hivi kamwe hutaweza kuelewa.
Lakini hivi vitu vipo sana tu.

Tazama story ya Ibrahimu ambye mkewe Sarah alikuwa tasa lakini kwa maombi Mungu akamfungua akazaa akiwaa Mzee. Isaka ambae ni mtoto wa Sarah naye alipooa alipata same story kama ya baba yake. Leah nae alikuwa amefungwa tumbo. So ni spirit ileile ilikuwa inazunguka ktk familia
 
Hahaha...we dina izo ndoto unaota mfululizo hadi mtoto anapokua mkubwa??

Ukiota ndoto mfululizo mambo ambayo hayaeleweki ni moja ya dalili ya kuwa na pepo cha msingi kila unapo anza kulala omba dua na unapo shtuka toka ndotoni omba dua mungu atakuepusha. Na balaa la pepo wachafu
 
Back
Top Bottom