Mahusiano yanapovunjika, wanawake ndio huumia zaidi...!

Hivi Kiranga umeelewa alichokieleza Mtambuzi?

Nitaelewa vipi habari za mtu anayejumuisha wanawake wote wa dunia nzima zaidi ya mapacha wa kufanana wa mama mmoja?

I find this generalization of women and treatment as if women are one huge Borg-like monolithic block not only offensive, but also medieval and unacceptable in today's detail oriented world.
 
Ni wajibu wa aliyeleta tafiti kutuonyesha kwamba tafiti zake zinasimama, si wajibu wangu kuonyesha tafiti zake hazisimami.

Hapa ndipo unapodhihirisha kwamba upo kwa ajili ya kubishana braza.
Mfano unawezaje kusema kuwa 'Wanawake hawapaswi kuwa treated as a homogenous/monolithic entity kwenye masuala ya mapenzi bila kuwa na back up ya wewe kuonyesha kuwa they heterogenous or otherwise? Kimantiki unaponipinga lazima uonyeshe kwa nini unanipinga. Sikatai kweli kwenye utafiti huwezi ku'qualify' criteria zote in some cases lazima utafanya assumptions.

Lilikuwa ni jukumu lako kuja na tafiti zinazoonyesha kuwa 'when women are subjected to love affairs they react differently' . As long Mtambuzi ameamua ku'assume' kuwa all women are equal in terms of love affairs wewe ulitakiwa u'refute' hii kitu kwa evidences na sio kupiga kelele. Ili kum'disqualify' Mtambuzi lazima na wewe uonyeshe evidences.

Vinginevyo naona kama umeamua kubishana tu
 
Last edited by a moderator:
Binafsi sioni kama nahangaika as u put it..But was trying to respond to Kiranga .
Kama utafuatilia comments zangu utaona na mimi nimejaribu kurespond as per context
Najua tafiti zina 'limitations' nyingi thus why nilitaka tujikite kwenye maudhui kuliko methodology!!

Tupo pamoja mdau ila nimeona jamaa alikuwa anataka kukutoa kwenye maudhui ya mada
 
Hivi Kiranga umeelewa alichokieleza Mtambuzi?

Wewe unafikiri Mtambuzi kafanya yeye Research?
kama kafanya yeye si anatakiwa aseme alivyofanya hiyo research?
maeneo ya wapi?
na kama kuna source nyingine si aseme source ili watu waone 'uhalali'
wa waliofanya hiyo tafiti?
mfano ukiambiwa utafiti wanaume wa Tz wanapenda kupiga wake zao
we huoni umuhimu wa kujua 'wanaume wa Tz wa wapi? musoma?Dar?
Dar wapi?magomeni?temeke?sinza?
wana elimu gani? wauza mitumba?wafanyakazi serikalini?
huo ndo umuhimu wa source za tafiti
 
Hapa ndipo unapodhihirisha kwamba upo kwa ajili ya kubishana braza.
Mfano unawezaje kusema kuwa 'Wanawake hawapaswi kuwa treated as a homogenous/monolithic entity kwenye masuala ya mapenzi bila kuwa na back up ya wewe kuonyesha kuwa they heterogenous or otherwise?

I clearly pointed out several times several basis of their heterogeneity, complete with mentioning the differences in socio-economic factors such as education, wealth, access to energy, clean water etc.I went to give two different examples of a Silicon Valley daughter to a Msanga-Kisiju daughter.If you had a counter to this I must have missed it.

Kimantiki unaponipinga lazima uonyeshe kwa nini unanipinga. Sikatai kweli kwenye utafiti huwezi ku'qualify' criteria zote in some cases lazima utafanya assumptions.

This does not even begin to justify a sweeping and global statistic that has neither a backing methodology nor sample space.

Lilikuwa ni jukumu lako kuja na tafiti zinazoonyesha kuwa 'when women are subjected to love affairs they react differently' .

Again, anayebisha hana wajibu wa kutoa utafiti wowote zaidi ya kuuliza swali tu.Kumbuka kubisha hakuhitaji proposition, ni disputation. Ukisema "This is A" Mimi kubisha sihitaji kuonyesha "This is not A, but B" naweza kusema tu "How do you know so?" Ukishindwa kujibu hujajenga case kwamba this is A.


As long Mtambuzi ameamua ku'assume'

Please do not assume readily when you have an alternate. When you assume like that you make an ass of u and me.

I cannot believe in today's world watu hawaoni aibu kukimbilia ku assume assume tu!

kuwa all women are equal in terms of love affairs wewe ulitakiwa u'refute' hii kitu kwa evidences na sio kupiga kelele. Ili kum'disqualify' Mtambuzi lazima na wewe uonyeshe evidences.

Like I said, kama kuna wanawake wa Afrika magharibi wanaoa badala ya kuolewa, tena wanaoa mitala. kwa nini unafikiri ni sawa kuwaweka hawa kundi moja na wanawake wa Afrika Mashariki wanaoolewa, tena wengine mitala?

Vinginevyo naona kama umeamua kubishana tu

Manoamua kubishana ni nyie mnaokuja na sweeping statistics ambazo hamuwezi kuzi back. Mie na expose holes in your assertion tu.
 
Tatizo watu wanapenda hadithi zaidi kuliko ukweli.

Sasa wakikuta vi-publications hivi vya kina Eric Shigongo wa Ughaibu (complete with fantastic pictures that do not even look like them!), vinawaambia wanachotaka kusikia kwa statistics zisizoeleweka, wanafuraaahi.

Akija mtu kuzi dismantle wanamuona kawaharibia "ukweli" wao.
 
Nitaelewa vipi habari za mtu anayejumuisha wanawake wote wa dunia nzima zaidi ya mapacha wa kufanana wa mama mmoja?

I find this generalization of women and treatment as if women are one huge Borg-like monolithic block not only offensive, but also medieval and unacceptable in today's detail oriented world.

I would add macho, patriarchal and chauvinist-like! But it is just my opinion, he has his.
I often fall in the generalisation trap myself but this one is just too much, siingilii...:A S 27:
 
Ni jambo gumu kumuelewesha mtu alieamua kutokuelewa.Nashindwa kuajua ni kwa kiwango gani mtu anaweza kukataa Rav4 sio gari wakati hana uthibitisho wa kuthibitisha asemayo.Yeye anasema tu sio kazi yangu!Ni kama wanasayansi,wamekomaa Mungu hayupo,wakiambiwa wathibitishe hola!Huo ni wehu!
 
Ni jambo gumu kumuelewesha mtu alieamua kutokuelewa.Nashindwa kuajua ni kwa kiwango gani mtu anaweza kukataa Rav4 sio gari wakati hana uthibitisho wa kuthibitisha asemayo.Yeye anasema tu sio kazi yangu!Ni kama wanasayansi,wamekomaa Mungu hayupo,wakiambiwa wathibitishe hola!Huo ni wehu!

Anayebisha kitu hakipo hana wajibu wa ku prove, you can't prove a negative anyway.

Mimi nikija na kusema nyumbani kwako kuna madawa ya kulevya, hata ukiipindua vipi hiyo nyumba yako unionyeshe kwamba hakuna madawa ya kulevya, there is always a chance kwamba yamejificha kwenye kona fulani hujaifikia.

Lakini ku prove yapo ni kazi ndogo tu.

Kwa hivyo, anayesema jambo lipo hivi ndiye mwenye wajibu wa ku prove.

Anaye bisha anauliza tu maswali ya kubisha.

Unaweza kuwa na mkokoteni unaoitwa RAV4 vilevile, mtu akakwambia sio gari. Usifikiri tu kwa sababu hii RAV4 basi lazima iwe gari.

Inabidi u- define gari ni nini, tukubaliane, halafu uonyeshe RAV4 imefikia vigezo hivyo vya gari.
 
Unaweza kuamua kusema baiskeli ni pikipiki kwa sababu umeamua hivyo!

Ndicho alichofanya Mtambuzi hapa.

Katoa habari zake ambazo hazina kichwa wala mguu, kazifanya ziwe ndo ukweli wa wananwake wote wa dunia nzima.
 
Hapa tulipofikia sidhani kama tunamsaidia yoyote,kwa upande wangu naona tunaenda kufanya jambo lisilokua na tija.Kama umeamua kubisha kuwa binadamu hatembei kwa miguu bila kueleza kwanini unakataa na hutaki kuthibitisha unachosema na hutaki kutuambia huyo mwanadamu anatumia nini kutembea,ila unasema "sio kazi yangu" sijui ni kazi ya nani!
 
Nashindwa kuelewa pale mtu anaposhindwa kuelewa 'delimitation' kwenye statistics.
Kwa mfano unaposema 'wanawake walioachika kwenye mapenzi' ..hivi hii haionyeshi sample frame tofauti na kusema 'wanawake tu' bila kuongeza neno lolote mbele. Katika akili ya kawaida huwezi kuona tofauti?. Kunaweza kuwa na wanawake wa kila aina lakini unapoongelea 'wanawake walioachika' obviously inakuleta katika picha ambayo population yako ina watu wanaosuffer the same quencequences ya kuachika. Bila kujali waliko hawa wanawake unaweza kuwa qualify as single entity provided wana 'fall' kwenye category ya kuachika kwenye mahusiano.

Notwithstanding the other factors, variable ambayo inakuwa applied ni wanawake walioachika..kuna kosa gani kwenye statistics kama una generalize findings kwa kutumia group ambayo umei 'allianate' ili kufanya utafiti wako. Ikumbukwe unapofanya social research ni tofauti na kufanya experiments za maabara ambapo unalazimika ku 'qualify all cases into the same xstcs ili kupata objects in the sameness!
 
Hapa tulipofikia sidhani kama tunamsaidia yoyote,kwa upande wangu naona tunaenda kufanya jambo lisilokua na tija.Kama umeamua kubisha kuwa binadamu hatembei kwa miguu bila kueleza kwanini unakataa na hutaki kuthibitisha unachosema na hutaki kutuambia huyo mwanadamu anatumia nini kutembea,ila unasema "sio kazi yangu" sijui ni kazi ya nani!

Nimeeleza kwamba habari tulizoletewa hazina sample space wala methodology, vitu ambavyo ni muhimu kabla ya kutoa statistics kama unataka kuchukuliwa serious.

Mpaka sasa sijapewa either.
 
Nashindwa kuelewa pale mtu anaposhindwa kuelewa 'delimitation' kwenye statistics.
Kwa mfano unaposema 'wanawake walioachika kwenye mapenzi'

Wanawake walioachika kwenye mapenzi wa sample space gani? Kama huna sample space maana yake unawajumuisha wanwake wote wa ulimwengu mzima na kitu hiki kinafanya ama utake tuamini una sample space kubwa ya ku justify hii statement au unazuga tu.


..hivi hii haionyeshi sample frame tofauti na kusema 'wanawake tu' bila kuongeza neno lolote mbele. Katika akili ya kawaida huwezi kuona tofauti?. Kunaweza kuwa na wanawake wa kila aina lakini unapoongelea 'wanawake walioachika' obviously inakuleta katika picha ambayo population yako ina watu wanaosuffer the same quencequences ya kuachika.

Hapa umeweka wanawake wenye mila tofauti, vipato tofauti, elimu tofauti etc wawe katika kundi moja. Tushaona kuna nchi wanwake wanaoa, tena wanaoa wanaume wawili, hawa unaweza kuwaweka kundi moja na wanawake wetu?

Bila kujali waliko

You are not serious. Utasemaje bila kujali waliko? Umefanyia wapi hiyo research? Hewani outer space?

hawa wanawake unaweza kuwa qualify as single entity provided wana 'fall' kwenye category ya kuachika kwenye mahusiano.

Halafu kesho ikija CCM kuuliza watu 100 wa vijijini maswali manne matano kama wana furaha na maisha yao, wakikubali 90%, CCM wakisema 90% ya Watanzania wanafurahia maisha yao ya sasa utakubali?

Notwithstanding the other factors, variable ambayo inakuwa applied ni wanawake walioachika.

Ambao hawa exist katika vacuum, wana factors zinazo influence tabia zao.Mambo ya elimu, culture, wealth etc.Kwa hiyo reserach isipoangalia kama kuna deviation kufuatana na hizi factors inakuwa fyongo.

kuna kosa gani kwenye statistics kama una generalize findings kwa kutumia group ambayo umei 'allianate' ili kufanya utafiti wako.

Hamna kosa, ila ukitoa findings ni lazima useme group niliyoitumia ni hii.Ili kusudi wasomaji wajue kwamba hii group ni valid au si valid kwa case hii na hii.

Rejea mfano wangu wa kutumia statistics za wanafunzi wa Oslo au washkaji wanne wa mtangazaji wa BBC. Sijaona retort.

Ikumbukwe unapofanya social research ni tofauti na kufanya experiments za maabara

Sawa, some of these sciences are dismal, but do not excuse outright sloppiness or deception on that account.

ambapo unalazimika ku 'qualify all cases into the same xstcs ili kupata objects in the sameness!

Sijasema nenda kafanye research ya kumwire kila mwanamke kwa miaka mitatu halafu uangalie pupil dilation frequency kabla na baada ya kuachwa. Nimeomba methodology na sample space tu.
 
Unachokitaka kipo kwenye mada,tatizo umechagua kutokiona!
 
Ni jambo gumu kumuelewesha mtu alieamua kutokuelewa.Nashindwa kuajua ni kwa kiwango gani mtu anaweza kukataa Rav4 sio gari wakati hana uthibitisho wa kuthibitisha asemayo.Yeye anasema tu sio kazi yangu!Ni kama wanasayansi,wamekomaa Mungu hayupo,wakiambiwa wathibitishe hola!Huo ni wehu!

Mkuu, we have had a similar discussion before. Ulikuja na generalities kuhusu wanawake, na nilipo kuuliza source, au hata sample yako ukaleta maneno kama haya. Just take it easy and stick to the point. Hizi ni generalities. Ningeelewa kama angesema kua amekutana na wanawake ambao wako A, B and C. But the way he puts it here makes it sound as if most, if not all women are concerned.
 
Mkuu, we have had a similar discussion before. Ulikuja na generalities kuhusu wanawake, na nilipo kuuliza source, au hata sample yako ukaleta maneno kama haya. Just take it easy and stick to the point. Hizi ni generalities. Ningeelewa kama angesema kua amekutana na wanawake ambao wako A, B and C. But the way he puts it here makes it sound as if most, if not all women are concerned.

Kuna watu wanataka kila wanapo post uchangie kwa kuunga mkono
ukibisha tu ...unawakwaza....wanasahau hii ni JF
kila post iko free kwa watu kuipinga
 
Back
Top Bottom