Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,674
mkuu mimi nakuchukulia poa. vipi, wewe unanchukuliaje? Mia
We nakuona kama mshari flani hivi! Hahahah lakini hii ni through the keyboard bana, sijajua uhalisia wako!!!
mkuu mimi nakuchukulia poa. vipi, wewe unanchukuliaje? Mia
My dia,kumbuka ile ya tenda uende zako usingoje shukran,Usichague wala kubagua coz atakayekuzika humjui,Kama ndo hivo basi naweza sema wengi wananidharau na kunichukulia kama kituo cha misaada na kutatulia shida zao. Wakiwa na shida esp mkwanja au mahali pa kuishi, nitapokea simu hata za waliokata mawasiliano tangu mwaka 47 ila wanakukumbuka kwa vile wana shida, mambo yakiwanyokea haoo wanapotea!! My dady mwenyewe alikuwa na mahusiano mazuri sana na watu ila alipougua kwani kuna watu walionekana?? My dear, tuseme tu kwamba tujitahidi kuwafanyia mazuri wenzetu, wakituchukulia vema na kuonesha ushirikiano basi itapendeza zaidi!! Btw, mi mzima kabisa, sijui wewe?
Kumsaidia mtu sio kumuimpress, kama ingekua ndivyo mtu asingeweza kumpisha mama mjamzito siti wakati hamjui wala hajui kama atakaa akutane nae tena. Ni tabia na mazoea.yaani mimi ni mkorofi sana, najali mambo yangu tu.
Lakini nikiishi na watu siku sipo kila mtu ananitafuta, eti njoo bwana tumekumiss.
Huwa nashangaa sana.
Kumbe watu bwana wanakukubali kama ulivyo, usijaribu sana kuwa-impress.
ila ukitaka kujua mahusiano yako na wengine, pata shida\tatizo
Sijali watu wengine wanavyofikiria juu yangu; and I dont know if I am 'really nice, caring and decent'. Najali nawaza na na najitahidi kufanya yale yasiyowakwaza na yanayowasaidia wanapohitaji msaada, watu wote wanaonizunguka na wa mbali ninaoweza kuwafikia.
Kama ndo hivo basi naweza sema wengi wananidharau na kunichukulia kama kituo cha misaada na kutatulia shida zao. Wakiwa na shida esp mkwanja au mahali pa kuishi, nitapokea simu hata za waliokata mawasiliano tangu mwaka 47 ila wanakukumbuka kwa vile wana shida, mambo yakiwanyokea haoo wanapotea!! My dady mwenyewe alikuwa na mahusiano mazuri sana na watu ila alipougua kwani kuna watu walionekana?? My dear, tuseme tu kwamba tujitahidi kuwafanyia mazuri wenzetu, wakituchukulia vema na kuonesha ushirikiano basi itapendeza zaidi!! Btw, mi mzima kabisa, sijui wewe?
My dia,kumbuka ile ya tenda uende zako usingoje shukran,Usichague wala kubagua coz atakayekuzika humjui,
Usitegemee ni wote unaowatendea wema ndio wataijua shida yako,
Wapo wale ambao wanakuangalia tu ww unavyojitoa kwa wengine na wanakuwa wanaaprisiet unachokifanya kwa wengine,
Then from no where unapata shida au tatizo unashangaa mtu hata huna ukaribu naye ndio anajumuika na ww kwenye tatizo lako,
Usikatishwe tamaa na walimwengu kuwa mwema tu ipo siku mungu atakulipia kwa namna yake.
You oughtta be kidding me. DID kwasababu tu unakua mpole/mchangamfu unapokua na watu tofauti? Hiyo sio DID ila ni namna ya wewe kuendana na yule ambae uko nae kwa wakati ule. Wengi tu tuko hivyo,inatokana na jinsi ulivyomzoea mtu. Kuna watu ambao ukiwa nao unajisikia free, mna mambo ya kuongea (interesting to both of you) kwahiyo ukikutana na mtu ambae ni kinyume cha hapo automatically unageuka mkimya.aiseee....
mimi nina multi personality disoder......lol
wapo watu wananijua kama muongeaji saana
na wapo watu watakuambia mimi siongei kabisa....
the thing about me huwa sipendi 'ku impress watu'
na niko suspicious na sifa ambazo mtu atanipa
siko saana comfortable na kusifiwa..na hainiumi kabisa mtu akiniponda....
mwisho kabisa niko way comfortable na 'my own company' pengine kuliko chochote.....
but najitahidi mno kutowaudhi watu bila kuwa mnafiki.....lol
cjui nisemeje! Iam a very good person but life na mambo tunayokutana nayo ktk maisha yanatubadilisha sana nimekuwa so hard siku hizi bu i cant hide my softness. . Na utu haufichiki. .
Lizzy hilo la kuokota kitu niliwahi ajili binti ktk kazi aliniokotea heleni yangu ilidondoka. .Jamani matendo sometime yanadhihilisha sana tabia ya mtu nilienda tu kupata huduma hiyo sehemu kila mtu yuko busy but heleni yangu ikadondoka yule mtoto akatake time kuifuata na alikuwa anapita tu lakini wanamfahamu nikamuulizia then i didnt regret nilipomuajiri! Na ukiwa hivo utayaona kirahisi sana haya kwa watu wengine na kuyafanya pia!
Sijali watu wengine wanavyofikiria juu yangu; and I dont know if I am 'really nice, caring and decent'. Najali nawaza na na najitahidi kufanya yale yasiyowakwaza na yanayowasaidia wanapohitaji msaada, watu wote wanaonizunguka na wa mbali ninaoweza kuwafikia.
Ukijifanya ku-impress watu sana kuwa wengi kati ya hao watakudharau kwamba unajipendekeza so mimi ni bandidu tu anayenikubali anikubali na asiyenikubali kimpango wake
I'm full of myself.
OTIS