Mahusiano yako na watu wengine. . . . YANARIDHISHA?

ubinadamu kazi bora umfadhili mbuzi utamnywa mchuzi binadamu wanamaudhi-source Belle9
 
ingekua fadhila unayomtendea mtu unalipwa the same, wengine tungekua ma millionaire. lakini tenda wema uende zako usingoje shukrani. muumba atakulipa kwa njia nyingine. ukitegemea yule uliyemfadhili atakulipa, utaula wa chuya. mchana mwema wana JF
 
Daaah
Let me express myself . . . . .
Naweza kusema nimepitia tabia nyingi ambazo binadamu walishawahi kufanya. Honestly nimewahi kuiba (ila sijawahi kupora), nimewahi kudanganya, nimewahi kuwasema wenzangu vibaya, nimewahi hata (kimawazo) kuombea fulan na fulan wapatwe na mabaya au wafe, japo sijawahi kuwaza kuua mtu.
But I always believe
The greatest glory in living lies not in never falling, but in rising every time we fall.
So kwa kupitia hayo matatizo nimeweza kujifunza mengi. Sijaumbwa niwe mkamilifu kila siku bali nimeumbwa nijirekebishe kila ninapokosea.
So, naweza kusemwa kwa mabaya niliyofanya, na pia nina mazuri mengi nimeyafanya na naendelea kuyafanya mpaka sasa.
Atakaenikumbusha mabaya yangu, nitamsikiliza.
Atakaenikumbusha kwa mazuri yangu nitamshukuru

bY
CPU
 
Hivi wale wanaosema hawajali watu wengine wanawaonaje/wanawachukuliaje ni kwamba washagundua wao si watu wazuri machoni pa wengi au inakuwaje?
 
Kuna kipindi nilikua naangalia mdada kamkuta mtu aliyebeba vitu kwa mikono yote miwili anasumbuka kufungua mlango, akafungua alafu akaufunga nyuma yake kana kwamba hakukua na mtu mwingine pale japo alimwona, anapenda kuchungulia chungulia (snooping around) vitu vya watu wengine akijua haonekani. Alipoulizwa ye ni mtu wa aina gani (kabla hajajua alikua anaangaliwa) akajibu mzuri na mstaarabu, baada ya kuonyeshwa video akaishia kulia huku akilalamika kwamba anajijua mwenyewe ni mtu mzuri na blah blah nyingine.

Wewe kama wewe unajichukualia ni mtu mzuri na mstaarabu kwa ndugu, jamaa,marafiki na hata watu wengine unaokutana nao?Unajitahidi kua mstaarabu hata kidogo au hujali?

Unadhani hao watu wakiulizwa kuhusu wewe wengi wao watajibu kwamba wewe ni mtu mzuri/mstaarabu au kinyume cha hapo?

Kama leo hii mtu angekurecord kwa siri wakaonyeshwa watu wasiokufahamu, unadhani wangesema nini kuhusu wewe?

Binafsi hua najitahidi kwa kiasi changu, hata kumshikia mtu aliyepo nyuma yangu mlango, kumuokotea kitu au kumwambia samahani nikimgonga. Na bahati nzuri na mie hua nafanyiwa, wiki hii tu nimedondosha vitu mara mbili nikaokotewa, kuna siku nilisahau kadi yangu ya benki dukani mtu akanikimbizia. . . vitu kama hivi hua vinanifanya nitabasamu hata kama sikua kwenye mood nzuri. Au rafiki anaekumbuka kukujulia hali siku ya pili baada ya kumwambia unaumwa, mtu anaekumbuka na kukumbusha mambo yako ya maana na vitu kama hivyo. It just makes me happy to know there are really nice, caring and decent people out there. I hope YOU are one of them.

Week end njema.

i have to admit,i have liked your thread..about me,just quiet i guess!
 
i have to admit,i have liked your thread..about me,am just quiet and down to earth,.
 
Lol! Kuna siku nilimuona kakangu wa pili aki-hold mlango wa ajili ya rafiki yake wa kike (sio GF), I was shocked! Nilienda kumsimulia mama! He is so self centered, ana upendo wa aina yake ila sio considerate hata kidogo! Nikamuuliza dada mmoja walishawahi ku-date, she told me he used to open car doors for her. Sijawahi muona akimfungulia mama mlango wa gari hata kama anampeleka hospitali,lol![/QUOTE]

Aha! Pamoja na kujitahidi sana kuwa binadamu wema kwa watu baki tusiwasahau wale walio karibu kama ndugu, mke, mume, watoto, wazazi n.k.
 
Wonders will never cease, talking of being two faced!
Ar u as kind to ur siblings as much as u ar to ur lady, Ngabu boy?

I don't have any siblings. I am the only golden child. But I have no doubt that if I had any siblings they would have been lucky to have me as their brother. I am kind, generous, and loyal to a fault.:lol:
 
Back
Top Bottom