Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,125
- 190,541
Vile visendo vina ubaya ganiš¤£Wala tusiende mbali mama.... Me nipo kwaajili yako. Ila tu angalizo siku ya meeting usivae vile visendo vya manyoya
Vile visendo vina ubaya ganiš¤£Wala tusiende mbali mama.... Me nipo kwaajili yako. Ila tu angalizo siku ya meeting usivae vile visendo vya manyoya
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ Ulikutana na "tuongee kiume"Nlipataga mama humu moja
Comments za kipisi kali kingereza mingi
nikaona ewaa mtoto kaja Dm tukaongea mwsho namba zikatoka
Kwenda whatsap nkamtumia picha tufahamiane (that was a grave mistake)
Ving'ora vikaanza Wow wow wow
Kuja kutuma yeye nikabaki hiiiih
Sikuamini nkampgia video call La haula almanusura ntupe simu
Sjui yupo wapi saivi Aggy wa jukwaa la entertainment
Kutongoza demu wa jf ni kama kuchopeka mkono gizani. Unaeza ibua pisi au ukaibuka na mgebuka𤣠ila walevi wasinywe wasije kutoa siri za watu.Same to me š¤£
Nitarudi
HahahahahahaNi mwendo wa shuhuda tušš
Hadithi nzuriEnzi za Facebook imetaradadi
Nilipost kapicha kangu by that time ndyo nmemaliza advance nasubiri kwenda chuo
Mkaka mmoja akaja messenger tukaanza kuchat chat
Simu niliyokuwa nayo ikaharibika nikawa naenda kwa jirani nachat weee halafu narudisha simu
Siku hiyo akaniomba no ya simu nilikuwa na kitochi
Mahaba yakahamia huko
Tulikuwa tunachat na kuongea the whole night
Enzi za chombeza time tunaongea sanaaa
Yeye alikuwa yupo kilimanjaro Same ni muhasibu wa chuo fulani mimi nipo Arusha.
Wakati naaply chuo akasisitiza niombe vyuo vya kilimanjaro ili tuwe karibu..
Nikawzaa nimesoma kilimanjaro na Arusha kwanzia chekechea hadi advance na chuo nisome kilimanjaro......nikamuitikia tu ila vyuo nikaomba Dar
Hapo hatujawahi onana ila tumeiva kwenye hubaa na maokoto alikuwa anatuma hadi pesa ya kuapply alinitumia nikaibana maana nilikuwa na mama akalipa
Nikachaguliwa chuo dar.. alimind sana kwamba nmefanya makusudi
Baadae tukapatana vizuri hadi siku naenda Dar tukachaguliana hadi nguo za kuvaaš¤£š¤£š¤£
Nmefika chuo tukaendelea ila nikaona changes kwake
Kumbe kule nilikokuwa Naazima simu Kuna siku sikulogout huyo dada akaiba namba za simu kwenye chats za messenger wapo wanachat
Akampa uongo kibao kuhusu mimi hadi bwana yule akanichukiaa mwishowe tukaachana bila kuonana
Ikapita miaka bwana yule akanitafuta maana sijawahi badilisha number ndyo kunipa mkanda mzima alivyochat na jirani yangu hadi wakakutana na kunyaduana ššš
Akaomba turudiane hapo nshapata mupenzi nikamkatalia....sijui yupo wapi Johnson jamani ššš
Nimecheka, Muha kajiongeza![]()




Ulikutana na nini hadi tuanze kukupa maji Cute![]()

Kutongoza demu wa jf ni kama kuchopeka mkono gizani. Unaeza ibua pisi au ukaibuka na mgebukaila walevi wasinywe wasije kutoa siri za watu.



Mara paah! Nimeibuka na Kingwendu au braza KNlipataga mama humu moja
Comments za kipisi kali kingereza mingi
nikaona ewaa mtoto kaja Dm tukaongea mwsho namba zikatoka
Kwenda whatsap nkamtumia picha tufahamiane (that was a grave mistake)
Ving'ora vikaanza Wow wow wow
Kuja kutuma yeye nikabaki hiiiih
Sikuamini nkampgia video call La haula almanusura ntupe simu
Sjui yupo wapi saivi Aggy wa jukwaa la entertainment



best njoo umalizie storyUlikutana na "tuongee kiume"




ššKutongoza demu wa jf ni kama kuchopeka mkono gizani. Unaeza ibua pisi au ukaibuka na mgebuka𤣠ila walevi wasinywe wasije kutoa siri za watu.
Humu ndani kuna vituko sana š¤£Kutongoza demu wa jf ni kama kuchopeka mkono gizani. Unaeza ibua pisi au ukaibuka na mgebuka𤣠ila walevi wasinywe wasije kutoa siri za watu.
shemeji yangu hajamboyaishe shots
embu niambie basi ni naniWa afya kabisa![]()