YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
embu niambie basi ni nani
Kwani humjui?



Wewe unanitafuta maneno baadae useme mimi ndio nimekuponza km jana
embu niambie basi ni nani



Kwani humjui?
Wewe unanitafuta maneno baadae useme mimi ndio nimekuponza km jana


jaman sinataka nimjue shemeji yangu shouga angujaman sinataka nimjue shemeji yangu shouga angu



Nitakutambulisha usijali shouga angu, kuna vitu naweka sawa kwanzaNitakutambulisha usijali shouga angu, kuna vitu naweka sawa kwanza



akiii sikuweziakiii sikuwezi


Shemeji yako natakiwa nimuandae kisaikolojia hachelewi kukutongoza 


Umenigusa, ngoja niweke shuhuda. Mm nlicomment page fulan ambapo mtu alkua anatafuta mke. Kaweka kigezo asiwe kibonge. Basi nikacomment akitokea anayetaka vibonge mnishtue. Watu wakalike wakacheka palee. Nakuta dm asalaam aleykum ndo nmekuja. Nkaulza wap mana kama wiki imepta skumbuk ni about post. Akasema si ulisema wanaotaka vibonge waje ndo nmekuja. Nkachukulia masihara nkamwambia asinitanie nkawaza kaz yake m na watu wanaojulikana wap na wap. Nkahisi atakua mtu wa club etc loh asalalee. Thank God nlimpa namba. Chat sana sku tunaonana nlkua na butterflies tumbon balaa sijiamin. Aliponikiss uwiibest kisser. Kama aliona hofu yang ilichukua mwez ndo akala tunda. He is so caring. Sijawah pendwa vile toka nazaliwa. Mapepe yote nimeacha. Mungu alinde penzi letu inshallah. Asante insta




Ndo usiwe muoga mapenz kokoteKumbe shogare ulifanikiwa kupata kibonge wako na hukutupa tips wenzio khaaaaaaa!!![]()
Ndo usiwe muoga mapenz kokote



Si kuna picha jaman. Hata mm skujua ntapata mhb na ukanielewa na ubonge wangMwenzio naogopa kuibuka na kina kingwendu![]()
Hela unayo au hauna.......ukiwa na hela tunakuita daddddiii🤪Baada ya kusoma visa vingi humu nimegundua Vijana mmerahisishiwa sana maisha ya mahusiano na TEHAMA.
Ukiwa serious, unaweza kupata Mke au Mume humu humu mitandaoni, muhimu mjue lengo la mahusiano yenu ni yapi.
Kuna wakati hadi natamani Umri ungerudi nyuma kidogo walau namimi nijaribu kutupia Vocal huko PM walau nipate cha kuhadithia, lakini kwa umri huu wa miaka 78 Mdada gani atakubali kukutana na Mzee wa Umri wangu, Mvi za kutosha kichwani, Sura ina makunyazi, na hii miwani yangu mikubwa ya macho jamani si atasema namtisha 🤪
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hio ndio inatakiwa kinyele kama Jay MoHumu ndani kuna vituko sana 🤣
Mi first time nililoa migebuka ila thanks to God badae nilinasa Sato, nilileta feedback humu.
Siri sirini
Kwahio sie kina kingwendu🤣Mwenzio naogopa kuibuka na kina kingwendu![]()
Si kuna picha jaman. Hata mm skujua ntapata mhb na ukanielewa na ubonge wang





🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Muhimu sana.Video call muhimu kabla ya kujadili mahusiano, mnaweza kukimbiana![]()
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mambo haya ni imani jamaniPicha wanatupiga piem sio wao
Wanataka tuonane tukutane na vitu vya ajabu vinywaji visishuke tupaliwe![]()
Hii kali kmmmk🤣🤣🤣Nakupigia leo![]()