YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Umekumbuka nini shosti?
Umenikwaza, rekebisha na mshamba_hachekwi harakababa T
sijakudanganya babe,atakujibu yeye mwenyewe
Kwani hapa lengo la uzi ni chanzo cha ugomvi? Nitafungua uzi kabisa mkuu. Naamini kuna la kujifunzaHii story haitakuwa na maana yoyote kama hukutaja chanzo cha ugomvi wenu.
Daah shemu nisamehe tu mimi,cute wife ananiponza
shemeji yako nimemuuzi bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaanza kunirushia mpira shouga anguuuu khaaaaaaa!!!!
[emoji817]Hahahaha, chai sio [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji2960][emoji2960]Mimi sina [emoji23][emoji23][emoji23],, ndo nataka nianze na mimi nijaribu [emoji23][emoji23][emoji2960]
shemeji yako nimemuuzi bana
Nimekusamehe, japo umenivua nguo mkenisamehe mume wangu
Nimevuta Bench kabisa. Ndio Namna pekee ya kuongeza siku.Karibu tupunguze stress za maboss
😍😍😍nisamehe mume wangu
thnx dear[emoji7][emoji7][emoji7]
Napenda sana mke akiwa humble hivi kwa mumewe...
Umeviimba😂😂thnx dear
[emoji38][emoji38]hamna banaUmeviimba[emoji23][emoji23]
Nimekusamehe, japo umenivua nguo mke
Ulikutana na nini hadi tuanze kukupa maji Cute😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maake kwanza nicheke!!!
Nipeni maji ninywe kwanza, hebu nisikitike kidogo