Mahusiano ya kimapenzi kupitia facebook

Mahusiano ya kimapenzi kupitia facebook

yaani wewe unashangaa,hio picha tu,watu humu wanazimia avatar na maandishi?

nimempenda sababu tunawasiliana kny simu baada ya facebook,ktk maongezi anaonekana ni charming na mpole kisha anajali maaana ananipigia/text siku nzima,baby umeamkaje,siku njema mke wangu na ulale salama ni maneno yake....lol kitu ukikipenda hata kama kiko mbali unajua,kama humpendi hata akiwa karibu unajua tena siku ya kwanza unajua.:der::der:

Kabla hajakupata hizo text na simu ni mpaka utakimbia simu yako, subiri akupate.....msg unapata kwa mgao

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
mkuu umeongea point bila chenga. asilimia kubwa ya wanaume kabla ya kumpata mwanamke hutumia njia zote fake azijuazo, akimpata tu ndo huanza excuse nyiingi,mara vikao,mara safar zisizoisha mara cm ilikuwa mbali,mara nlipitiwa na ucngz ckuckia. kha wanaume bana c wenzetu!
 
Hivi kuna mapenzi ya dhati au ni kudanganyana?maana mtu akiona picha anachanganyikiwa wakati picha hizo wanaendaga kupiga photopoint.

kwanza kudanganyana then ndiyo mapenzi ya kweli yafuate
 
wana jamii forum nilishindwa kulileta hili huku jamvini dhidi ya balaa lililowakuta wanafunzi wa chuo cha st AGUSTINE MWANZA ,WALIVYOPOTEA ,MMOJA ALIOZA MWILI KISHA AKAPOTEA NI LAST WEEK JAMANI.KISA NI HIKI HAPA HAWA WDADA ZETU UNAJUA NA TAMA ZETU TENA WALIPATA WAPENZU HUKU FACEBOOK WAKAANZA USWEEET,source inasema wakiomba10000 bumu limeisha wanapewa millioni moja ,ukiomba 50000 unapewa 900,000/= yule bwana kaja siku ya kwanza wakakutana guest huko mwanza mjini,kutoka pale yule msichana kaanza kuumwa tumbo alipomwambia swit wake ila siuku ya pili ile alikuta sio mtu wa kawaida kabisa bali ni jini akamwambia asiende hosptali wala asimwambie mtu akaanza kuoza sehemu za siri akiwa hospitali akatoweka haijulikani alipo yyte .na huyo mwingine naye kapotea tena .KUWENI MAKINI NDUGU ZANGU NA FACEBOOK SIO WOTE NI BINADAMU JAMANI HAO NDUGU WAMEPOTEA KABISA.[/QUOTE][/QUOTE]
 
mkuu umeongea point bila chenga. asilimia kubwa ya wanaume kabla ya kumpata mwanamke hutumia njia zote fake azijuazo, akimpata tu ndo huanza excuse nyiingi,mara vikao,mara safar zisizoisha mara cm ilikuwa mbali,mara nlipitiwa na ucngz ckuckia. kha wanaume bana c wenzetu!
ndo maana na sisi kama unavutiwa na mastori yake dawa huwa ni kumzungusha tu............................... unamvuna weeeeeeeeeeeeeeeee maana anakuwa hana choice ni kukuvuta tu. ukiona umesharidhika unafanya amuzi sasa, kukubali au kumwambia ukweli kuwa humtaki, LOL!
 
I don't wantcha number ha we can meet on facebook uh dabliyu dabliyu dabliyu hamia facebook dot com!
 
Dhambi mbaya sana na tamaa nayo mbaya sana kimsingi hakuna mapenzi katika fb ni uchafu tu wa kawaida na kudanganyana
 
mkuu umeongea point bila chenga. asilimia kubwa ya wanaume kabla ya kumpata mwanamke hutumia njia zote fake azijuazo, akimpata tu ndo huanza excuse nyiingi,mara vikao,mara safar zisizoisha mara cm ilikuwa mbali,mara nlipitiwa na ucngz ckuckia. kha wanaume bana c wenzetu!

Huwa wanasahau kuwa pengine wadada waliwapenda kwa kujali kwao, simu zao.
 
Hata kama hujamuona wala humjui unahisi kumpenda tu, lahaula....God forbid!!!

Hahahaha Remmy hujui mapenzi?
Mbona wapo walioonana kwa style hiyo na wameoana...!
Lol
 
Last edited by a moderator:
yaani wewe unashangaa,hio picha tu,watu humu wanazimia avatar na maandishi?

nimempenda sababu tunawasiliana kny simu baada ya facebook,ktk maongezi anaonekana ni charming na mpole kisha anajali maaana ananipigia/text siku nzima,baby umeamkaje,siku njema mke wangu na ulale salama ni maneno yake....lol kitu ukikipenda hata kama kiko mbali unajua,kama humpendi hata akiwa karibu unajua tena siku ya kwanza unajua.:der::der:

Mimi ninao kama kumi ninaowaandikia hayo maneno, kutoka Facebook......!!!!, Kuwa mwangalifu....!!!, mbona kila siku masomo yanatolewa hapa.....kwanini hamjifunzi....???; hizo ndio style zetu tukiwa hatujapata........!!!, usimkabidhi mtu moyo wako kabla hujamfahamu vyema, utakuja kupata jeraha ambalo litachukua muda kupona.
 
katika FB si kuna video calling,as such si mnaonana-sasa mara mimi mnene,mara wa kawaida hayo yote si yanatatuliwa na video call?????
 
methali mpya kabisa inasema: YANAYOANZIA FESIBUKU HUISHIA HUKOHUKO.
Akili mukichwa.
 
hebu tupen movie kwa yeyote aliwah anza mwanzo hadi mwisho...mlianzaje? mlikutanaje? je cku ya kwanza kukutana ilikuaje? then nini kiliendelea hadi leo.....tupeni hizo weekend love story.
 
Me binafsi naona hakuna kupendana huko jaman m2 anaku2mia friend req,ukiconfirm 2 anakuinbox "thanx 4add my love,i love u ma dia what do u say mamaa?am dying to hear ur answ plz ucniumize mpenzi"............jamni anakupamba na majina hayo ambayo hata mumeo au bf wako hakuit sasa ukiwa na moyo mwepes ndo umemezwa.
 
kwa style hii vilio vya kumegwa na kutoswa tutaendelea kuvisikia sana
 
yaani wewe unashangaa,hio picha tu,watu humu wanazimia avatar na maandishi?

sasa mbona unamkimbia akikwambia muonane? si ni kwa vile unajua kwamba picha ulizoweka haziendani na jinsi ulivyo kiuhalisia, so anaweza asi-appreciate atakachoona?

nimempenda sababu tunawasiliana kny simu baada ya facebook,ktk maongezi anaonekana ni charming na mpole kisha anajali maaana ananipigia/text siku nzima,baby umeamkaje,siku njema mke wangu na ulale salama ni maneno yake....lol kitu ukikipenda hata kama kiko mbali unajua,kama humpendi hata akiwa karibu unajua tena siku ya kwanza unajua.:der::der:

let's not be so naive... jamaa anaweza kusema au kuandika maneno kama hayo kwa watu hata mia... bado haikuthibitishii kwamba kuna mapenzi hapo... subiri tu apate anachotaka ndiyo utaisoma namba
 
Back
Top Bottom