msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,827
- 1,729
Darasa alilosoma na impact yake kwa taifa halafu linganisha na elimu yako ya chuo ama phd na ulichokifanya ktk nchi hii ndipo utajua msomi ni nani
Israel gani anaizungumza huyu,,, niko jordan la israel tuna office huenda mara kwa mara,, kwanza waisrael wengi sio wakristo tena wana mpinga yesu wao bora uwambie mussa kuliko yesu,,, wengine mpaka leo wanamsubiri masih wao,,, south sudan walijikomba kwa waisrael walichoambulia wanajuda,,, wamedhalilishwa sana wakimbizi wa kisudan wamerudi hoi baada jumuia ya kimataifa kupiga kelele kuhusu ubaguzi wa waisrael,,, tazizo letu watz kukariri na kutembea hakuna,,njoo midle east mujionee ,,, msikariri