Mahusiano ya humu ndani yanawezekanaje?

Mahusiano ya humu ndani yanawezekanaje?

Nina marafiki ambao wamekuwa sehemu ya familia yangu tuliokutana humu. Tunakula pamoja, tunalia na kucheka pamoja.

Unapotaka mpenzi kivuli kwa kuangalia avatar kabla ya kujenga urafiki, ndio utakapokosea. Get to know the person and their persona. Utashangaa

Kuna watu wana avatar tamu sana na huo ndio ukweli sisi me tunaanzaga na izo avatar..

Kama yako hiyo inatia mzuka wa kutaka kukujua zaidi
 
Unajikonfyuzi tu baba. Utakapojua kutenganisha avatar, maneno ya Jf na mtu halisi ndipo utakapopata marafiki wa kweli

Aswaa vyote vina matter na hitma ya kwamba huyu atakua rafiki au mpenzi kivuli ni baada ya convo ya muda PM..

Lkn kwa hapa ni avatar mama
 
Back
Top Bottom