Mahusiano ya humu ndani yanawezekanaje?

Mahusiano ya humu ndani yanawezekanaje?

Hili ni jambo la kufanyia tafiti, waje wadada wazuri nifanye nao huo utafiti msimu huu wa sikukuu.
 
Kwani Facebook hakuna watu wenye picha? Unawataka wa humu tu? Facebook watu wamelizwa sembuse humu? Trust no one
 
Nina marafiki ambao wamekuwa sehemu ya familia yangu tuliokutana humu. Tunakula pamoja, tunalia na kucheka pamoja.

Unapotaka mpenzi kivuli kwa kuangalia avatar kabla ya kujenga urafiki, ndio utakapokosea. Get to know the person and their persona. Utashangaa
 
Back
Top Bottom