madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 703
ID .... Ni fake
Picha .... Ni fake
Taarifa zingine .... Ni fake.
Wenye ID na picha genuine ni wachache....
Je unajuaje kama MTU anayempenda humu JF ni sahihi kwako?...
Je ni story zake,...
Je ni ujumbe wake....,
Nk.
Sina nia yoyote ILA wengi wanaweza kisaidika wasipate majanga.