Mahusiano Vs Personality

That's exactly what I said. Umenisoma vibaya. Nilichosema ni kuwa utofauti mara nyingi ni mzuri ila si mara zote.
Kwa mfano hapo kwenye red,hauoni kwamba kwa kua mna personality zinazo fanana
*kwa mfano wote ni waongeaji sana,
*au wote mnapenda sana argument,....nk
*au wote mnapenda kuwa juu
hauoni ni rahisi sana kugombana na kupelekea ndoa kuvunjika?

na kwa upande mwingine mkiwa na personality zisizo sawa na ukawa una mfaham
tofauti ya personality zenu ni rahisi sana ndoa kudumu maana mwenzako akikosea kitu
utagundua ni kwakua yuko hivi na hivi,.....?
 
Back
Top Bottom