Mahusiano: Usafi hustawisha mapenzi!

Huo siyo utoto ni uzembe.Wako hata wenye miaka 40 wachafu!
mleta mada anawazungumzia waliozaliwa miaka ya 90...kama kazaliwa 1998 ana miaka mingapi?

aliezaliwa 1998 sio kesi ya ubakaji hiyo?
binafsi anyone under 21 ni crime.....
hata 20 kwangu naona sio sawa....
 
aliezaliwa 1998 sio kesi ya ubakaji hiyo?
binafsi anyone under 21 ni crime.....
hata 20 kwangu naona sio sawa....

Under age kwa Tanzania hata kwengine "hubakwa" kila siku na wabakaji hao hukubaliana na wasichana wenyewe.
 
siku hizi kuna miswaki spesho
haya kazi kwenu
masapulaya magomeni na k'ndoni.
 

Miezi 8? Ushapeleka posa au?

Halafu kwenye nineties kuna statutory rape huko, ohooo.
 
Under age kwa Tanzania hata kwengine "hubakwa" kila siku na wabakaji hao hukubaliana na wasichana wenyewe.

aliezaliwa 1998 sio kesi ya ubakaji hiyo?
binafsi anyone under 21 ni crime.....
hata 20 kwangu naona sio sawa....


Miezi 8? Ushapeleka posa au?

Halafu kwenye nineties kuna statutory rape huko, ohooo.

Hivi nyie watoto wa siku hizi mnawajua au mnawasikia? Niulize vizuri, hizo sheria ni maandishi ila hawa watoto maumbile yao acha kabisa yaani unaingia break Nyanya...sijui definition yenu inaangalia maeneo gani kama ni kule basi tafuteni tafsiri nyingine ya utoto. Na siku hizi sijui nani anawatoa bikra yaani laa!!!
 
ungesafiri hadi uvinza ukapiga deki eneo lote la tukio... baada ya hapo hiyo harufu wala usingeisikia

agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr! hii ni laaaaaaaaaaaaaaaaaaana sasa!
 
Nenda naye kuoga kwenye bath tub au shower katika hali ya mapenzi msafishe kwa kumdip finger na kuendelea; mwambie u love to clean her p..sy. To make it romantic muombe naye akuoshe! Ukifanya hivyo mara mbili tatu, then wakati wa mchezo ile harufu haipo atalearn. Pia kuna zile bomba za kutawadhia, sijui zinaitwaje zinafaa sana kila amalizapo kukojoa; kama hujafix kwenye bathrum yako do that!
 
NYAMBAFUUU KABISA CHUKUA BAKORA ZAKO 60, Na usirudie kuchezea watoto wa shule.

nyie vp? Kwahyo watoto wa shule ndo wasifunzwe kuoga..

Mtoa mada mfundishe huyu dogo Usafi. Kama vp tafuta cku ingia nae bafun.. Muoshe baraabbbaraa..
 


gud.. Now we r solvin the problem..
 
File not suported............
Download anyway.
 
mwambie we msafi-la sivyo atakuleta matatizo hata wewe
 

Ni kweli mkuu,wa 90s ni watamu,mi ninae mmoja wa 90s ila wangu ni msafi ile mbaya,cjawah sikia harufu kabisa cku zote nnazopiga mechi tena mechi zingne ni za dharura bila maandali lakin bado nakuta uwanja msafi,yan huyu bint yuko tofaut na niliwah kukutana nao,wengne likija suala la mechi tu m2 unaanza kufikiria
 
habari zenyu binafsi?
inasemekana watu wengi wanapenda kuonekana wasafi kwa nje, ila ndani ni disaster. utamkuta mdada/mkaka kapendeza mpaka anavutia lakini pata bahati ya kuona nguo yake ya ndani, yan haitamaniki,haijulikani ina rangi gani. mf. bra,pichu,fulana,skintight n.k. wengine misitu imestawi hata nguchiro anaweza jificha,hii ipo kwa wanaume wengi na wengine ni waume za watu,hivi we mwanamke unafurahiaje kuona msitu wa mumeo ukimea hovyo ilhali we upo? kina dada/kaka/mama/baba BADILIKENI. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…