Mahusiano: Usafi hustawisha mapenzi!

Jianzishie utaratibu wa kuwasafisha na sabuni ya unga kama Foma, Puff baadae unaanza kula tunda watanoga mara dufu.

Huo unga wenye sabuni utauingiza hadi shimoni? Maana nahisi tatizo si la nje la kule ndani huwa hawamalizi wanapoingia maliwatoni. Na hata kuna watu wazima wengine wanakuwa na hili tatizo, ukiona msichana anakwambia subiri kabla hamjaanza mambo na anaelekea chooni basi huyo ujue anaelewa ajali itakayofuata akijifanya kukomaa.
 
NYAMBAFUUU KABISA CHUKUA BAKORA ZAKO 60, Na usirudie kuchezea watoto wa shule.
 
Kama unampenda na anakupenda hutaona haya kumshauri vile anatakiwa kuwa,na kwavile anakupenda atakuelewa na kubadilia,mara nyingi malezi ya siku hizi ni mabovu,wamama hawana mda wa kukaana kutoa maelekezo kwa watoto badala yake wanawaachia wadada wa kazi na haya ndio matokeo yake,yy hajui kitu na ndio maana anaona kawaida.
 
Kama kweli wampenda mbadilishe wewe na atafaa hata kuwa mkeo mtarajiwa.
Ila unamuabisha humu sababu umedhamiria kumchezea tu binti wa watu.
 
Kama kweli wampenda mbadilishe wewe na atafaa hata kuwa mkeo mtarajiwa.
Ila unamuabisha humu sababu umedhamiria kumchezea tu binti wa watu.

Kwani unamjua huyo msichana mwenyewe au mi unanijua? Hapa natafuta ushauri wala sijamuabisha ila pia wapo wengine mmekutana na situation kama hii na itawasaidia kugundua tatizo mapema. Tatizo wasichana wa siku hizi hawatabiriki unaweza kumwambia kwa kumsaidia akachukulia unamtukana au kumdharau. Ila nakuhakikisha mkuu wala sina lengo la kumdhalilisha.
 
NYAMBAFUUU KABISA CHUKUA BAKORA ZAKO 60, Na usirudie kuchezea watoto wa shule.

Hivi unajua mtoto wa 90s sasa hivi atakuwa kafika miaka mingapi Bosi wangu? Mikwaju utanionea tu, hebu fikiria katoka kama kale kaigizaji sijui kanaitwa Ka-lulu....yaani ukikaa nae utahisi we ndo mtoto, hakuna asichojua sasa utafanyaje, tena na viwalo ndo usiseme. Tuwe wa kweli jamani wote tunawalamba sana
 
fiksiman

Ulijuaje harufu inatoka kwake na sio kwako? maana hata wanaume wako wanaokuka mikojo...
 
Last edited by a moderator:
Dawa ni kumwelewesha huyo mdada kuwa awe anajisafisha vuzuri na kubadili nguo zake za ndani,natumaini atakuelewa na hata kukushukuru.usipomwambia wewe unategemea nani atamwambia?
 
Ahhh ahhh pole kwa kimbilia mahouse girl kaka

Hiyo ni dharau kaka, kwani mahausi girl wadudu? Mbona ndo wanaowalisha na kuwalelea watoto/wadogo zenu? Tubadilike watanzania ukidharau kazi ya mwenzio wakati yako haimsaidii ni Kukosa heshima katika dunia ya ubinadamu. Either way, huyo mtoto ni mzuri, hata tabia sio tatizo sema kama alivyosema Mamy D hapo juu, wazazi wa siku hizi hawakai na watoto wao kuwaelimisha namna ya kujitunza. So we all end up CHAKA.
 
duh,pole sana nnakasubiri kamoja kwa hamu hapa dk 20 zimebaki,na hakanuki mikojo:bolt:
 
MMmh, naenda kujenga ua hata kama ni wa makutiNaongeza mbwa na paka kwa ajili ya kulinda wanangu
 
mwambie kistaarabu na kwa lugha ya mapenzi.ikibidi msafishe mwenyewe,muelezee huna nia mbaya na yeye.na ikibidi msafishe mwenyewe na miguno juu,ila isiwe fake.kama anakupenda atakusikiliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom