Nimekutana na msichana mrembo kweli, totoz whitiiii na mashallah ameumbika hata yale mambo yangu ya uwani kulikuwa kumekucha kabisa. Nikatafuta mbinu tukaanza urafiki wa kaka na mdogo kichwani natengeneza mitego. Hamadi mtoto akanasa baada ya miezi 8 ya kumuandaa, mchakato uliofuata ni kukata kiu maana kinda linavutia hasa. Sikutaka haraka kama nimetoka balehe jana, baada ya wiki kadhaa hatimaye miadi ikatiki na mtoto akaanzisha mada mwenyewe. Basi wikiend moja mtoto akaja kitaa, na bila kujivunga tukaanza michanganuo. Mambo yalikuwa safi hatua zote, shida ilianza baada mpira kuingia uwanjani, kilichofuata hapo sikuwa na hamu hata ya raundi ya pili na ikabidi baadae nikimbilie supermarket kununua Air fresher. Chumba chote kilijaa harufu ya mikojo, sikujua cha kumwambia na wala sijamuona akitilia shaka mabadiliko ya hali ya hewa pale ndani. Hadi leo tunaendelea (anafaa sana kwa outing na show-off) lakini linapokuja suala la ile huduma huwa nakwepa, WADAU NAMSAIDIAJE HUYO MSICHANA, pole kama mpo mlioguswa ila ndo hali halisi:A S embarassed: