Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

kweli kabisaaaa, yani mtu anakuwa provided kila kituuu, gari na matengenezo plus mafuta, nyumba na kila kitu ndani,shopping, world travelling, jamaa atapigiwa saa saba usiku na bado atamuacha mkewe na kuenda kwa mchepuko...jamani nyie wanaume nyieeee hm!

Hapo kuna namna lazima limbwata limetembea si bure. Wenye utimamu watafanya yote lakini heshima ya familia iko palepale
 
Aisee nimeona lakini nikitathimini naona bado nyumba kubwa ni nyumba kubwa, taking an example wa kale kabinti ka bongo movie kalikofiwa na bwana, we unadhani mume mbona asinunue nyumba huko masakini akaishia kumpangia wakati yeye na mkewe wanamiliki nyumba, ila walikokua wanaelekea angeipata maana wadada Kwa mazingaombwe hawajambo

kwani si kana nyumba tayari, kamejengea na hao hao waume za watu
 
Hapo kuna namna lazima limbwata limetembea si bure. Wenye utimamu watafanya yote lakini heshima ya familia iko palepale

ndio michepuko ya siku hizi..mtu analogwa hadi kiwanja atanunua..mh!
 
kwani si kana nyumba tayari, kamejengea na hao hao waume za watu

Inalingana na nyumba wanazoishi hao waume? Hiyo ndio ile bwana kapata mil 2, anatoa laki 3 Kwa kimada na mil 1 laki 7 anapeleka zikafanye maendeleo nyumbani.
 
Fact but why do just quite young ladies date marred and old enough mens - Let them end up dis appointed more and more much as possible
 
hahahahahaaaa...wenye husbands wamechukia haoooo hata hawajasoma vizuri, wamefuraaaa...anywy, kuna mdada namjua aisee anatoka na someones husband, the guy hadi anamsahau mkewe...jamani nyie wanaume nyie, khaaaaa, alafu wanawake wengne dont care, kuna something called "permanent side-chick" aisee nilivyosikia nilipigwa butwaa,and the ladies wanaridhika kabisaaaa, like totally fine with it, mtu hadi kujiita mke wa pili, kha!..this world is full of crazy, greedy people

Mume anauma jamani japo hana meno... Ndio ugundue sasa mwanamke mwingine kamdaka na malimbwata kamuwekea mweeh..... Mungu aniepushie kuchukua mume wamtu ama kuchukuliwa mume wangu aise
 
Mume anauma jamani japo hana meno... Ndio ugundue sasa mwanamke mwingine kamdaka na malimbwata ksmuwekea mweeh..... Mungu aniepushie kuchukua mume wamtu ama kuchukuliwa mume wangu aise

hahahaaa..Amen...mwanamke mwngne kuamua kumchezea akili boyfriend tu, hasira inapanda, sasa imagine mume, mh..ila michepuko hii..mh..
 
Fact but why do just quite young ladies date marred and old enough mens - Let them end up dis appointed more and more much as possible

Hii haiepukiki kwa vile tunaishi watu wenye mitazamo na tabia tofauti, labda kungekua na uwiano sawa kwa waume na wake halafu ikawekwa sheria ukifika umri fulani lazima uolewe/uoe. Lakini kwa hali hii ya kuzaliwa wakike saba wakiume watatu hapo lazima wengine wajekua michepuko.
 
Malaika mimi

By the way even when he gets infected with HIV, he will share the viral load with his wife.
You should just pray for the man instead of trying to feel good when another woman is being used.
Married women think they are special, the truth is when He fux every one and have kids with everyone there is nothing special than creating new orphans.
 
Last edited by a moderator:
Hyo point namba moja.. Sio tu tunahitaji sex.. Tunahitaji na blow job pia
 
kwani michepuko wanajali????
Humpi anampa
Humjali anamliwaza
Na anachotaka anapata
Hata aje nusu saa kwake kwa mkewe mwaka hawajali ilimradi accout inasoma
 
Kwa nini hukuandika kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili au ndio kukopi na kupesiti.
 
Hivi kwanza unajisikiaje kuwa mchepuko? What's goes around comes around..

W/ume tuwaheshimuni wake zetu, wana tujali sie na familia zetu.
 
...kuna wadada wamewekeza kwa waume za watu, huwaambii kitu...
hapo umewapigia mbuzi gitaa tu..!

Kama mimi nilivyowekeza kwako nitaambiwa nini nielewe? yanaingia kushoto yanatokea kulia......
 
kwani michepuko wanajali????
Humpi anampa
Humjali anamliwaza
Na anachotaka anapata
Hata aje nusu saa kwake kwa mkewe mwaka hawajali ilimradi accout inasoma

Hahahaaa kwa raha zao tena anaweza kuhonga alizopewa na mume wa mtu
 
Back
Top Bottom