Mahusiano, mapenzi, urafiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahusiano, mapenzi, urafiki

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by JF2050, Nov 19, 2011.

 1. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Naona kama hili jukwaa linahusiana na blog hii hapa chini:

  Jitafutie Rafiki / Mchumba wa Kitanzania

  Angalizo: Usianzishe uhusiano na mtu kwa ajili ya kumfanyia mzaha au kumpotezea muda, tumieni busara na mwombeni Mungu awaongoze katika mahusiano.
   
 2. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  imenikera kwa kuwa music aichezi,jaribu kutafuta programe ambayo music itakubali kuchecheza popote pale na pili mouse inafuatwa na vijimaneno neo..

  REKEBISHA..
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  duh, kimchina changu hata mie kimeshindwa fungua
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Utandawazi huo.
   
 5. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Haya mambo ya dot com bana, kila kitu ni deal!
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mh! kwa vijana wa leo cjui?
   
 7. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa mimi sio mmiliki wa hii blog wala sihusiani nayo, nimeiona kwa bahati tu nilikuwa nikisearch kitu kwa kutumia Google engine. Ahsante
   
Loading...