Mahusiano katika family - Ugeni wa Ndugu

Nimesema hivyo kwa sababu imetutokea sisi kwa ndugu wa Mama yetu na wanawe. Wao wameshindwa wenyewe kusoma kwa hasira Mama yao akawa anamchezea Mama yetu aachike ili amcheke pia akawa anatuchezea na sisi tusifanikiwe maishani. Matokeo yake sasa, watoto wake karibia ya wote ni wachawi na watu wanawacheka huko kwao.

Yaani hii imetokea km kwetu wametuchezea wee! Ila Mungu ni mwema sana tuliwagundua wameaibikanvibaya mno na umasikini ndio unazidi kuwaandama bila kusahau fedheha ya uchawi! People can be so stupid sometimes.
 
Itakuwa una shida wewe na sio wake zako mara tatu wote tu wanakosea wewe ni malaika?
Ngoja uolewe upate kimbembe cha ndoa kisha uzae watoto wa kiume ndio utajua hujui
Ushawahi sikia mtu anatoa TARAKA kwa shingo upande

Halafu wengne familia zetu hatujazoea kuishi na HAWALA kuzini
Kwa kifupi sipendi kuzaa watoto nje ya NJOA na kutumia CONDOM ni big NO
So kwangu NDOA ni kipaumbele namba 1
na nina watoto watatu wa mama tofauti lkn wote wa ndoa so nina HAKI kwao wote 7bu mi watoto wangu wa halali wa ndoa

Kwa ufupi tu NDOA ya kwanza nimeoa nina MIAKA 20 na sasa hii ndoa ya 3 nina miaka 33 nimedumu nayo kwa miaka 3
Huyu simuachi nakomaa nae hvyohvyo MAMBO yangu yakiwa mazuri naongeza mke wa pili kwisha habari yake
 
Una hitaji maombi ya kufunga na kusali ili hyo marry and remarry spirit ikutoke kabisa na hapo unafikiria kuongezeka mke mwingine loh, funga kizazi wallah
 
Nusu saa iliyopita nimepokea wageni sita ghafla bin vuu halafu wa jinsia tofauti. Hapa hata mke akinuna naweza kuelewa, ila yule kiongozi wa msafara nimemfokea sana. Mbaya zaidi siwajui yani undugu wenyewe wa kuunga unga imebidi niwapigie simu wazazi ili wanieleweshe. Shida sana
 
Nafikiri hili ndio tatizo kubwa hasa, kuna ka laana katika kufanya ule ujinga! Wao wanajiona ndio fashion ila kuna laana inaanziaga pale
Mtu toka siku ya kwanza amejikubalisha kuwa yeye ni bwege la mwanamke wazungu wanapiga magoti kuwaomba wanawake wawaoe kwasababu hawana nguvu za kiume so wanabembeleza
 
Tunatakiwa tuwe wakarimu kwa wageni kutoka pande zote kwa mke na kwa mume.Binaadamu hawakosi la kusema hata ufanye nini.Muhimu tenda wema kwa upande wako.Hata wakikusema ukweli unaujua wewe na malipo hutoka kwa Mungu.

Ningependa kujua uhusiano wa mke wako na ndugu zako upoje?

Inaonekana mkeo ni mbinafsi na ana makusudi maana wakija wageni kutoka upande wa ndugu zake anajitolea hata hela ya ziada mfukoni kwake awahudumie vyema lakini wakija wa kwako hajali huo sio ustaarabu.

Kaa chini uongee nae na umueleweshe kuwa kuna leo na kesho hujui nani atakustiri.Hata kama atatumia cha ziada wakija ndugu zako akwambie we utamuongezea ukirudi na wewe mkuu unajua wakija wageni gharama inaongezeka so inabidi ujitoe extra extra.
Hapendi tu ndugu wa upande wangu, mara wale viporo, wakati vitu vipo, inashangaza sana. Mtu anazaliwa na roho ya ubinafsi tu.
 
Huyo mkeo ni mbinafsi, unapokua mke ndani ya nyumba unatakiwa kuwapenda ndugu wa pwnde zote bila ubaguzi tena ndugu wa mume ndio wanakua ndugu zako maana umeolewa huko

Ukiona mke anawabagua ndugu wa mume basi ni mchoyo au mbinafsi

Sikatai kwamba ndugu wakati mwingine wana maneno lakini hayo ni mapungufu ya kibinaadamu ambayo tunapaswa kuishi nayo maana hao ndugu sio kwamba wanaishi kwenu milele bali wanasalimia na kupita

Zungumza na mkeo mweleze hiyo tabia anayoifanya haifai, kama maelewano hayapo weka sheria kwamba hakuna ndugu wa upande wowote kufika nyumbani kwenu, mkitaka kuwaona mnafunga safari mnawafata makwao ili kuweka usawa

Alipoolewa na wewe maana yake anajua kwamba una ndugu, sioni sababu ya yeye kutowakarimu wageni kutoka kiumeni, huo ni ubinafsi na roho mbaya
Safi sana ungekuwa hujaolewa ningekuoa mazima
 
Nusu saa iliyopita nimepokea wageni sita ghafla bin vuu halafu wa jinsia tofauti. Hapa hata mke akinuna naweza kuelewa, ila yule kiongozi wa msafara nimemfokea sana. Mbaya zaidi siwajui yani undugu wenyewe wa kuunga unga imebidi niwapigie simu wazazi ili wanieleweshe. Shida sana
Ha ha ha ha aisee
 
Mtu toka siku ya kwanza amejikubalisha kuwa yeye ni bwege la mwanamke wazungu wanapiga magoti kuwaomba wanawake wawaoe kwasababu hawana nguvu za kiume so wanabembeleza
Heheheh sie tunajidhalilisha
 
Ndugu wa mume vidomo domo sana na wana character ya ubabe kujionyesha wao ndio watawala. Ila ndugu wa mke hawana ubabe wanakua chini ya ndugu yao ndo maana mke anakua na amani
 
Yaani hii imetokea km kwetu wametuchezea wee! Ila Mungu ni mwema sana tuliwagundua wameaibikanvibaya mno na umasikini ndio unazidi kuwaandama bila kusahau fedheha ya uchawi! People can be so stupid sometimes.
Ndugu mchawi si mzuri kuishi naye hata kuwa karibu naye. Watoto wa Mama yetu mdogo waliobaki wako wanaishi na hasira tu na kupika majungu ili watu wawaonee huruma. Wazazi wao wote wamekufa kwa uchawi, haibu mpaka matakoni mwao.
 
Back
Top Bottom