Mahusiano bora eneo la kazi

Mahusiano bora eneo la kazi

ANTHONY KWEKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
956
Reaction score
380
Namna ya Kujenga Uhusiano Mzuri na Wafanyakazi Wenzako.

1.. *Wasaidie watu kufikia malengo yao - Usiwe kikwazo cha mafanikio ya wengine kikazi au binafsi.

2.. *Wafanye watu wajione wanakuzidi - Usitumie wadhifa, Umri au Taluma yako kujiinua kwa namna yoyote.

3... *Kubali kuanzia chini - Usiwe na haraka ya matokeo au mafanikio ya haraka kazini kwa kipato, Wadhifa au Taaluma. Kamwe usijilinganishe.

4... *Jitambulishe kwa matokeo _ timiza majukumu yako na manufaa chanya yawe bayana zaidi ya maneno kuzidi kazi.

5... *Linda heshima na Upekee wa wenzako - wafanye watu wajione wanathamania kama watu na watumishi wenzako.

6... *Ruhusu watu wakukosee - binadam kwa asili sio mtimilifu hivyo likitokea kosa lipokee kisha kosoa au onya kwa upendo na si kwa mabavu, kelele wala masimango.

7... *Sikiliza Hoja za wenzako kwa umakini - kamwe usijaribu kuwapuuzaa hata kidogo.

8... *Ishi maneno yako - Timiza Ahadi vema.

9... *Shirikisha na Shirikiana na watu - watu wazima hupenda kuwa sehemu ya mipango, maamuzi, utelezaji na matokeo "Matunda" hivyo kila jambo au hatua washirikishe au wape mrejesho hakika watakupenda.

10... *Usivuke mipaka ya majukumu yako ya msingi na Jali muda wa wenzako - kamilisha kazi zako kwa wakati. Pia usipuuzee muda na majukumu ya wenzako kwa mawanda yao.

KAZI NI FURAHA, KAZI AFYA, KAZI NDIO MAISHA BORA.
 
Dhana potofu sana et kubali kuwa chini pointless
 
Back
Top Bottom