Mahujaji 35 wafariki Makkah

Mahujaji 35 wafariki Makkah

Unataka kusema katika watu milioni2 wakifariki 35ni kosa,jaribu kufikiri DSM mfano ina watu milioni3,ukipewa takwimu wanafariki watu hamsini kwa Siku utakataa?au nako watafute njia ya kuzuia vifo? Think twice brother

sent from kanyau
Tukisema watu Millioni moja wakienda cocobeach kutatokea vifo vya watu 100.
nininkifanyike hao watu miamoja wasife?

utafanyaje mkuu, tuweke imani kando kidogo
 
Hilo ni jambo la Kheir kwasababu wamefia katika mji mtakatifu wakihiji.

Hakika pepo wataiona hao Waumi'ni na tunuku zile watazipata, Inshaallah

Wabillah Tawfiq,
Jidanganye eeeeee

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Hii ibada yenye kuambatana na vifo sidhani kama ni salama, hata ungefia wapi mahali Mungu atakuweka iwe motoni au Peponi haitazingatia eneo la kifo bali matendo ya mhusika.
 
Hata kwenye mechi tu pale Taifa,au wakati wa kampeni ambapo watu hata laki2 hawazidi lakini wanazimia,iwe kundi la watu million2!
 
Kuna ulazima wa kupata suluhisho la vifo vinavyotokea kila mwaka.
 
Hii habari niliitarajia...mungu anawajobu kwa matendo ya yao ya kupenda kuuaua binadamu wenzao

17 PHD these are results
 
hivi kwa nini kila mwaka lazima watu wafe?
Hakuna mbinu za ziada kuzuia vifo?
ni bora kungekuwa na watu wachache kuliko kuwa na idadi kubwa ambayo inaweka uhakika wa uwezekano wa watu kufa.
We hutaki waende peponi?au hujui kama ukifa ukiwa kwenye ibada ya hijja "unanyoosha goti" mpaka kwa Allah kula nae "bata"
 
Hawa jamaa wa baba na mama wamehemka kweli yaani we acha tu ila sishangai sana kwani ndio mafundisho ya dini yao yanewafundisha kila muislam anapopata tatizo wap kwao ni furaha kwenda mbele
 
Kufia mji mtakatifu wakati wa kuhiji ni thwawabu. Wengine wanaenda kwa ajili ya kujiulia huko
Uongo na UCHOKOZI wa kitoto kabisa hakuna anaekwenda kwa ajili ya kujiua si sawa kudhoofisha ibada na imani za dini nyingine kama huelewi
 
Back
Top Bottom