Mahujaji 35 wafariki Makkah

Mahujaji 35 wafariki Makkah

In fact alikichukua kikiwa na miaka 6 akaona lol! Hakitahimili hiki. Akakipotezea hadi kilipofikisha 9 uzalendo ukamshinda.
Sasa sisi mbna serkali inatukataza mabint wa miaka 16

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
hivi kwa nini kila mwaka lazima watu wafe?
Hakuna mbinu za ziada kuzuia vifo?
ni bora kungekuwa na watu wachache kuliko kuwa na idadi kubwa ambayo inaweka uhakika wa uwezekano wa watu kufa.
kuhijj ni swala la ki imani.. kuna mtu anaomba akafie eneo hilo. hata kama anaumwa bora aende akutwe na umauti..pia watu zaid ya milioni 2 kuwa pamoja lazima kuwe na sababu ya vifo..hebu chukulia jiji lenye watu milioni 2 itaisha siku kumi bila kufa mtu?
 
Wizara ya Afya ya nchini Misri imeeleza kuwa Mahujjaj 35 wa nchi hiyo wamefariki dunia wakati wa siku ya kwanza ya Hijja iliyomalizika nchini Saudi Arabia kutokana na uchovu na umri mkubwa.

4cf7d6b2589a4948a0189dbc91cef2cd.jpg
0ae061512dc3dfe8577f047855ba5364.jpg


Afisa mmoja wa Wizara hiyo, Ahmed el Ansary, amesema umri wa Mahujjaji waliofariki ni kati ya miaka 60 hadi 85.

Katika Ibada ya Hijja ya mwaka huu zaidi ya Mahujaji milioni mbili walihudhuria wakiwemo milioni 1.8 kutoka nje ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yawezekana ile Kampuni iliyowatapeli wale waliokuwa wanaenda ' Kuhiji ' huko waliona mbali au walihisi kitu kama hicho kutokea ila walishindwa tu kuwaweka wazi ' waliotapeliwa ' na naamini sasa baada ya taarifa hii basi ' waliotapeliwa ' watazishukuru hizo Kampuni na ikibidi hata kusamehe tu zile Pesa / Hela zao na kuzidisha ' Dua ' huku huku Bongo Land.

R.I.P sana hao Ndugu zetu wote waliopoteza maisha huko.
 
Hilo ni jambo la Kheir kwasababu wamefia katika mji mtakatifu wakihiji.

Hakika pepo wataiona hao Waumi'ni na tunuku zile watazipata, Inshaallah

Wabillah Tawfiq,
??????(
 
mtu mweusi anapokuwa kama mlevi na kuabudu mambo ya waarabu na wazungu inanisikitisha sana
 
Sasa sisi mbna serkali inatukataza mabint wa miaka 16 ...
Sio Serikali inakataza Mkuu bali ni sheria tulizojiwekea wenyewe kama jamii. Kama zinakera au zinakiuka haki fulani, ni kufuata tu taratibu ili zibadilishwe ila sio utakavyo wewe bali jamii itakavyoridhia kwa faida ya jamii nzima. Kwa kuanzia, mwone mbunge wako umweleze "kero" hiyo na umwombe aiwasilishe Bungeni.
 
sikatai mkuu, ndio maana nasema kama kwa ground za kiimani, hata wakifa wote ni sawa.
Lkn kijamii, kila mwaka kufa watu wengi eneo lile lile, kwa sababu ileile na mazingira yaleyale lzm watu wazame waje na suluhisho.

Hata wasimamizi wenyewe wa huo mkutano ukirefer vifo vya mwaka 1990 na 2015 hawasemi ni thawabu, badala yake wakaja na njia za kuzuia vifo kama.
Crowd Management
Surveillance cameras ziliongezwa
electronic controls za njia na mageti
Watu kuvaa electronic robbon maalum ili kutambuliwa location zao.

Bado watu kufa huko sio sifa, na bado wanaweza kufanya vizuri zaidi ya hapo ili watu wakienda kwenye Mambo ya kiimani au kutimiza nguzo warudi salama majumbani kwao.
Unataka kusema katika watu milioni2 wakifariki 35ni kosa,jaribu kufikiri DSM mfano ina watu milioni3,ukipewa takwimu wanafariki watu hamsini kwa Siku utakataa?au nako watafute njia ya kuzuia vifo? Think twice brother

sent from kanyau
 
Back
Top Bottom