Mahujaji 35 wafariki Makkah

Mahujaji 35 wafariki Makkah

wazee wanaweza kupewa kipaumbele. Mbona hata mahospitalini,benk na sehemu za kawaida wazee,wajawazito na walemavu wanapewa fursa.

yote kwa yote kwa sababu ya mambo ya kiimani hayabishiwi, yote unayosema ni sawa tu sikubishii mkubwa
Yaani wasitembelee sehemu takatifu? Au wasiswali?au wasizunguke LKHABA?njia ya kukwepa ibada YA HIJJA ni kutokwenda tu ndy maana hiyo NGUZO ya UISLAM ikawekwa mwisho...kwenda kuhiji MAKKA kwa mwenye UWEZO....si LAZIMA kama huna UWEZO...mgonjwa ...huna PESA,..NK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni jambo la Kheir kwasababu wamefia katika mji mtakatifu wakihiji.

Hakika pepo wataiona hao Waumi'ni na tunuku zile watazipata, Inshaallah

Wabillah Tawfiq,
Mbona jitihada za kuzuia vifo zinafanyika?
 
wao wenyewe walitaka kufia huko hivyo hakuna wa kumlaumu

my game,my rules
 
hakika unaloliongea hulijui, na hujawa na familia, ila naamini usicheke mkunga angali unazaa, familia yako mmoja au wawili watakuja kuwa waislam...
Usiitukane dini ya mwenzako sababu hujui wewe hatima yako,
Mkuu sijamtukana mtu wala dini nimetuma salamu zangu... After all mm niwislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kuwa kuna wanaoenda vikongwe, wagonjwa n.k ila wote wanaenda ili hata ikitokea kafa ashaenda kuhiji. Mtu yupo tayari au anatamani afie huko ili awe amekufa katika mji mtakatifu wa MACCA,
Sasa kuna taratibu zozote zinafanywa ili kuzuia vikongwe na wagonjwa wasiende huko? Wewe unatamani kufia huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio maana watu wanasoma Risk and Disaster Management.
kuwa na system ambayo Lazima kila mwaka mtu afe bila kuja na suluhisho la kudumu ktk dunia hii ya kisasa lazima kuwe na shida mahala.
Hayo ni mambo ya kiimani, lkn ingekuwa burudani kama Soccer tayari wadau wangekwishakuja na suluhisho la Kudumu.
Mkuu huyu hawez kukuelewa atasema ni mpango wa Allah

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Hilo ni jambo la Kheir kwasababu wamefia katika mji mtakatifu wakihiji.

Hakika pepo wataiona hao Waumi'ni na tunuku zile watazipata, Inshaallah

Wabillah Tawfiq,
Yaani kuna watu wana akili za nyumbu haswa!!!.
Kwa hiyo huyo mungu wenu hana namna nyingine ya kuwachukua zaidi ya kufa mkiwa mnakanyagana kumpiga mawe shetani na kujitoa muhanga huku mkiua wengine?
mungu anaye furahia vifo vya watu wake ni Shetani huyo, shauri yenu!!!
 
Bwan Yesu fungua macho ya watu wako hawa, wafanye waone Kweli yako, na iwaweke huru kutoka vifungo vya hila ya shetani.Shetani anavuna roho kwa njia ya hila.
 
Yaani kuna watu wana akili za nyumbu haswa!!!.
Kwa hiyo huyo mungu wenu hana namna nyingine ya kuwachukua zaidi ya kufa mkiwa mnakanyagana kumpiga mawe shetani na kujitoa muhanga huku mkiua wengine?
mungu anaye furahia vifo vya watu wake ni Shetani huyo, shauri yenu!!!
We achana na Allah wetu.

Pambana na hali yako.
 
Back
Top Bottom